Tanzania yafikiria uwezekano wa kufuta mradi wa ujenzi wa Bomba la gesi kwenda Kenya kupitia mombasa


Serikali ya Tanzania imeomba maelezo toka kwa serikali ya Kenya kufuatia Kitendo cha wakenya huko Paris kuandamana kupinga ujenzi wa Bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira.

Serikali ya Tanzania inataka kujua endepo serikali ya Kenya inawatambua raia hao wa Kenya huko Paris na kutaka kujua msimamo wa serikali ya Kenya kuhusu Kitendo hicho kilichofanywa na raia hao wa Kenya nchini ufarasa.

Tanzania imeshangazwa na Kitendo cha raia hao kwasababu raia hao hawajapinga hatua za ujenzi wa Bomba la gesi toka Tanzania kwenda Kenya ambalo pia linaweza kuleta athari za kimazingira Kama ilivyo kwa Bomba la Uganda - Tanzania.

Katika watu wa hovyo ni kenyans hawa jamaa wana ukabila na chuki ni ngumu kuishi nao
 
Back
Top Bottom