Tanzania yafikiria uwezekano wa kufuta mradi wa ujenzi wa Bomba la gesi kwenda Kenya kupitia mombasa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Serikali ya Tanzania imeomba maelezo toka kwa serikali ya Kenya kufuatia Kitendo cha wakenya huko Paris kuandamana kupinga ujenzi wa Bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira.

Serikali ya Tanzania inataka kujua endepo serikali ya Kenya inawatambua raia hao wa Kenya huko Paris na kutaka kujua msimamo wa serikali ya Kenya kuhusu Kitendo hicho kilichofanywa na raia hao wa Kenya nchini ufarasa.

Tanzania imeshangazwa na Kitendo cha raia hao kwasababu raia hao hawajapinga hatua za ujenzi wa Bomba la gesi toka Tanzania kwenda Kenya ambalo pia linaweza kuleta athari za kimazingira Kama ilivyo kwa Bomba la Uganda - Tanzania.
 
MK254---ni kweli mpo hivyo??!🤣

Hehehe!! Yeah!!! sisi ni manyang'au na tunakunyang'au ukiwa mjinga.....

Hivi hili bomba mlishindikana wapi?? Nakumbuka mwendazake akitia jiwe la msingi na kuzindua zindua kila mwezi, sijui kwanini huyo mzee alikua na gubu, kila alichokijaribu kilibuma.
Binafsi hili bomba ningependa lijengwe hata kama ni huko Tanzania maana trickle-down economic itatukuta tu huku Kenya kwa namna fulani, sasa sijui kwanini mpaka leo mnapigishana makelele tu.

Nimepitia huu uzi huku comments za Watanzania hadi nimecheka sana Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania
 
Waache wajifurahishe kelele za chura hazitazuia tembo kunywa maji.

Wazungu wanataka mafuta ya uganda na gesi ya Tanzania , wamewekeza mabilioni ya dola na hivi vita vya 🇺🇦 ukraine walitamani uzalishaji uanze kesho
 
Serikali ya Tanzania imeomba maelezo toka kwa serikali ya Kenya kufuatia Kitendo cha wakenya huko Paris kuandamana kupinga ujenzi wa Bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira.

Serikali ya Tanzania inataka kujua endepo serikali ya Kenya inawatambua raia hao wa Kenya huko Paris na kutaka kujua msimamo wa serikali ya Kenya kuhusu Kitendo hicho kilichofanywa na raia hao wa Kenya nchini ufarasa.

Tanzania imeshangazwa na Kitendo cha raia hao kwasababu raia hao hawajapinga hatua za ujenzi wa Bomba la gesi toka Tanzania kwenda Kenya ambalo pia linaweza kuleta athari za kimazingira Kama ilivyo kwa Bomba la Uganda - Tanzania.

hawa wakenya huwa wanafiki sana na wana wivu na roho mbaya sana

kifupi ni wachawi
Kenya ni ovyo sana wivu wa kishamba

Shida hapa si maandamano, Shida ni wana CCM mmezoea Tanzania kila kitu kina controliwa na serekali, Huku Kenya si hivyo, kila kikundi kina fikra zake na matakwa yake, Serekali ya Kenya haina uwezo wa ku control wanainchi Kenya, sembuse huko paris?
Hivi mnajua kwamba wawekezaji walikua washatoa $2Billion kujengwe kiwanda cha 1050MW coal plant kule Lamu na mwishowe hao wanamazingira walishinda kesi kotini hadi kusababisha hio project kutupiliwa mbali na serekali baada ya wawekezaji kujitoa? China’s plan to help build Kenya’s first coal plant has been stopped—for now

Hivi mnajua ni project ngapi hapa Kenya ambazo zimefanyiwa maandamano kupigwa kisa mazingira?

Na kama hamniamini nilichosema, Angalia hii video hapa chini, Wakenya wakiandamana kumpinga Rais Uhuru Kenyatta mbele yake!!! sasa kama tunaweza kumfanyia Rais wetu hivi huko ughaibuni, sembuse hilo bomba lenu ambapo hata Rais wenu hayuko huko?

Anyway,mawaidha yangu kwenu ni kwamba mchukulie hayo maandamano kama kelele za chura, as long as hawataenda kotini kupinga mradi....
Huku kwetu tushayazoea hakuna project kubwa hua yafanyika bila kupingwa na wanamazingira , hao jamaa walipinga hadi Wind Power firm (ambayo ni 100% clean energy) kujenga turbines kule Ngong wakisema eti wakati wa ujenzi mazingira yatachafuliwa alafu zile turbines blades zitaua ndege zinapozunguka!
 
ila mkuu huoni kama kuna chembechembe za unafiki hapo kwa hao wakenya huo uhuru wa kuandama sijui kupinga najua upo ila sio lazima kwa nchi zote
 
Kuna wakati flani ilikua inasemekana bomba litapitia mbuga ya Serengeti ambayo inashare eco-system na mbunga ya Masai mara huku Kenya, nafikiri hapo ndo wanamazingira toka Kenya waliingia kwa hili jambo.....

Anyway, hawezi ukasema eti hao waandamanaji wote huko Paris ni Wakenya, Watanzania wapo pia, kwahivyo huo si unafik, hao wanamazingira wameungana mikono na ku support agenda moja ya kulinda mazingira ukanda huu wa mashariki... Kama kuna unafik wa aina yoyote kutoka kwa wakenya basi haujatoka kwa serekali ya Kenya,(Kumbuka hao jamaa wanapinga mradi kama huo huku Kenya) itakua ni wazungu wanatoa hela kusupport kupinga miradi ya aina hii lakini sio serekali ya Kenya.
 
Serikali ya Tanzania imeomba maelezo toka kwa serikali ya Kenya kufuatia Kitendo cha wakenya huko Paris kuandamana kupinga ujenzi wa Bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira.

Serikali ya Tanzania inataka kujua endepo serikali ya Kenya inawatambua raia hao wa Kenya huko Paris na kutaka kujua msimamo wa serikali ya Kenya kuhusu Kitendo hicho kilichofanywa na raia hao wa Kenya nchini ufarasa.

Tanzania imeshangazwa na Kitendo cha raia hao kwasababu raia hao hawajapinga hatua za ujenzi wa Bomba la gesi toka Tanzania kwenda Kenya ambalo pia linaweza kuleta athari za kimazingira Kama ilivyo kwa Bomba la Uganda - Tanzania.
Kuwashwa kwa pilipili ya shamba
 
Shida hapa si maandamano, Shida ni wana CCM mmezoea Tanzania kila kitu kina controliwa na serekali, Huku Kenya si hivyo, kila kikundi kina fikra zake na matakwa yake, Serekali ya Kenya haina uwezo wa ku control wanainchi Kenya, sembuse huko paris?
Hivi mnajua kwamba wawekezaji walikua washatoa $2Billion kujengwe kiwanda cha 1050MW coal plant kule Lamu na mwishowe hao wanamazingira walishinda kesi kotini hadi kusababisha hio project kutupiliwa mbali na serekali baada ya wawekezaji kujitoa? China’s plan to help build Kenya’s first coal plant has been stopped—for now

Hivi mnajua ni project ngapi hapa Kenya ambazo zimefanyiwa maandamano kupigwa kisa mazingira?

Na kama hamniamini nilichosema, Angalia hii video hapa chini, Wakenya wakiandamana kumpinga Rais Uhuru Kenyatta mbele yake!!! sasa kama tunaweza kumfanyia Rais wetu hivi huko ughaibuni, sembuse hilo bomba lenu ambapo hata Rais wenu hayuko huko?

Anyway,mawaidha yangu kwenu ni kwamba mchukulie hayo maandamano kama kelele za chura, as long as hawataenda kotini kupinga mradi....
Huku kwetu tushayazoea hakuna project kubwa hua yafanyika bila kupingwa na wanamazingira , hao jamaa walipinga hadi Wind Power firm (ambayo ni 100% clean energy) kujenga turbines kule Ngong wakisema eti wakati wa ujenzi mazingira yatachafuliwa alafu zile turbines blades zitaua ndege zinapozunguka!
We uko kenya ya jiran yanakuwasha, mwenye shamba hata hawashwi
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kuna wakati flani ilikua inasemekana bomba litapitia mbuga ya Serengeti ambayo inashare eco-system na mbunga ya Masai mara huku Kenya, nafikiri hapo ndo wanamazingira toka Kenya waliingia kwa hili jambo.....

Anyway, hawezi ukasema eti hao waandamanaji wote huko Paris ni Wakenya, Watanzania wapo pia, kwahivyo huo si unafik, hao wanamazingira wameungana mikono na ku support agenda moja ya kulinda mazingira ukanda huu wa mashariki... Kama kuna unafik wa aina yoyote kutoka kwa wakenya basi haujatoka kwa serekali ya Kenya,(Kumbuka hao jamaa wanapinga mradi kama huo huku Kenya) itakua ni wazungu wanatoa hela kusupport kupinga miradi ya aina hii lakini sio serekali ya Kenya.

Hilo hapo kwa mkono wangu niliwapiga makofi ya uso kwa kuwaambia, wanapinga kitu ambacho hawakijui. Kijiografia bomba la EACOP linapita mbali sana na mbuga ya Serengeti. Walivyopigwa na kitu kizito wakarudi nyuma.
 
Shida hapa si maandamano, Shida ni wana CCM mmezoea Tanzania kila kitu kina controliwa na serekali, Huku Kenya si hivyo, kila kikundi kina fikra zake na matakwa yake, Serekali ya Kenya haina uwezo wa ku control wanainchi Kenya, sembuse huko paris?
Hivi mnajua kwamba wawekezaji walikua washatoa $2Billion kujengwe kiwanda cha 1050MW coal plant kule Lamu na mwishowe hao wanamazingira walishinda kesi kotini hadi kusababisha hio project kutupiliwa mbali na serekali baada ya wawekezaji kujitoa? China’s plan to help build Kenya’s first coal plant has been stopped—for now

Hivi mnajua ni project ngapi hapa Kenya ambazo zimefanyiwa maandamano kupigwa kisa mazingira?

Na kama hamniamini nilichosema, Angalia hii video hapa chini, Wakenya wakiandamana kumpinga Rais Uhuru Kenyatta mbele yake!!! sasa kama tunaweza kumfanyia Rais wetu hivi huko ughaibuni, sembuse hilo bomba lenu ambapo hata Rais wenu hayuko huko?

Anyway,mawaidha yangu kwenu ni kwamba mchukulie hayo maandamano kama kelele za chura, as long as hawataenda kotini kupinga mradi....
Huku kwetu tushayazoea hakuna project kubwa hua yafanyika bila kupingwa na wanamazingira , hao jamaa walipinga hadi Wind Power firm (ambayo ni 100% clean energy) kujenga turbines kule Ngong wakisema eti wakati wa ujenzi mazingira yatachafuliwa alafu zile turbines blades zitaua ndege zinapozunguka!
Hivi kama mnashindwa kukontrol vikundi vya watu wachache sasa serikali kazi yake ni nini au kula pesa. Hivi unajua maana ya governance?
 
Wacha wee, kadanganye watoto. Hapo lazima kuna mkono wa serikali. Ile circumnavigation mlipigwa na jiwe lazima government yenu inahusika huko Paris.
 
Serekali haishindwi Ku kontrol vikundi vidogo... hio si issue, issue ni kwamba serekali haina wakati kupambana na vitu vyengine... Hio ni tofauti nyengine Kati ya Sisi na nyinyi... Nyinyi huko mlilelewa na serekali ya kiujamaa ambayo mwongozo wa serekali ni mmoja na hakuna sauti pingamizi inaruhusiwa kwenda kichume na mwongozo wa serekali... mtu yeyote alie na ushawishi akiamua kwenda kinyume na serekali basi inaonekana ni kama msaliti au anataka kupendua serekali....

Huku Kenya tulilelewa kwa vita vya upinzani, kila kitu serekalini (hata ule wakati wa Moi) kutakua na mpinzani mkali nje ya serekali na mara nyengine hata ndani ya serekali... Kwahivyo serekali imeshazoea kupingwa kila siku mpaka imekua sugu...
 
Wacha wee, kadanganye watoto. Hapo lazima kuna mkono wa serikali. Ile circumnavigation mlipigwa na jiwe lazima government yenu inahusika huko Paris.
Hayo mambo tulishasahau kitambo... Hivi haujui tuligundua mafuta ambayo ni mengi kuliko Yale walionayo Uganda?

Alafu alietupiga circumnavigation sio Tz, Uganda na Total ndo walikua na uamuzi.... Kenya na Tz tulikua wachezaji, hatuezi tukawalaumu Kwa kushinda game fare and square.....
Alafu ukumbuke pia Sisi tuna bomba letu la mafuta ambalo linafaa kujengwa kutoka Turkana Hadi lamu... Hapo Lamu penyewe ni UNESCO heritage site kumaanisha mazingira yake lazima yalindwe..... Hatuezi kuchangia maandamano kupinga Bomba la Tanzania kwasababu ya mazingira huku Sisi wenyewe tunatafuta mfadhili apitishe bomba letu katikati ya UNESCO site!
 
Kenya imegundua mafuta mengi kuliko Uganda?
Huu ni wendawazimu wa kujitakia au ni unyang'au umekuzidia?
 
Back
Top Bottom