Tanzania uchi wa mnyama sasa...

Tanzania uchi wa mnyama sasa...

Mkuu mimi ni wa kwanza nilishawahi kuipeleka ile report kwenye ofisi moja ila kama unavyojua hawa watu huwa hawakurupuki wanafanya utafiti wa kina soon you will see everthing will be open. Utawala huu umetushinda sasa tulioko nje na ndani ya nchi tuukatae kabisa. Juzi amekuja hapa na cheka yake anasema anao utawala bora yeye anafikiri sisi ni wajinga hatusomi humu JF na kuyaona matukio ya kikatili yanayofanywa chini ya uongozi wake. Unafikiri yeye hayaoni haya kafunga masikio ila mahakama ya kihalifu yanamsubiria. Naapa nitafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huu uhalifu wote nauanika hapa niliko hadi wajue utawala ulivyo kwa sasa. Twende kazini

Pole yako mkuu,
Kumbe taarifa unazipata kutoka humu JF? kwa hiyo unamhukumu mtu kwa taarifa kutoka JF?? hujui kama humu ndani ya JF kuna wazandiki, wafitini na wanafiki??
Well mkuu, hiyo kazi unayodai unaifanya ucku na mchana ni kwa ajili ya kuwanufaisha hao uliowakusudia lakini kamwe sio kwa ajili ya Watanzania. Na kwa yamkini wewe ndie muhalifu na unafanya kazi ya kuuanika uhalifu wako hapa bila hata haya.
Unataka kubadilisha utawala kwa kuwatumia wazungu na wasiokuwa watanzania?? kisha manajiita wazalendo, lengo lenu ni kuiuza hii nchi. Yeyote atakayeingia madarakani kwa msaada wa mataifa ya magharibi daima atakuwa ni kibaraka na mtumwa wa mataifa hayo, na ama kweli hiyo ndio sera yenu.
 
Hii k2 imewachoma magamba sana, nao ni jinsi gani hela za wazungu zinawanufaisha wachumia tumbo sasa kamba inataka kukatwa, wanaliaje!
Hapa hawako kwenye mada tena ni kujibu comments za watu, they're totally frustrated
 
Wanataka Fujo chadema hapa USA banaa.mtaanza kujikita mnafuatiliwa kwa uchochezi wa Fujo Kwenye Nchi Za watu .Dah mbona chadema mna fujo

Wamejisahau, wanadhani wako Tanzania kumbe wako nchi za watu. Yaani inashangza watu kutafuta madaraka na utawala kupitia nchi za watu na wanataka kuhamishia maandamano huko sasa.
 
Bado tumejiandaa kuweka kongamano kila kona ya washington DC,Kumbe wamarekani walikuwa hawajui.sasa watajua msikonde

Pamoja na huo uzushi wenu, na hata kama ni kweli wakijua itawasaidia nini??? wao ndio watakuja kuwapigieni kura? au wao ndio watawapeni vifaa vya majeshi muje kuitoa serikali iliyopo madarakani kwa vita vya msituni? na mkifanikiwa gharama ya kuwalipa ni kuiuza nchi kwa hao wamarekani.
Kumbe nyie ndio vibaraka na watumwa wa marekani???
 
Nakujua we upo njiro haupo USA,mara ya mwisho ulikuwa unatoka disco usiku na marehemu mwanachuo,kudadadeki.
 
Mpaka Mdini amalize kipindi chake tutakuwa salama

Mdini kwelikweli huyu jamaa,kajaza WAKRISTO kibao serikalini kama walivyofanya waliomtangulia.kwamfano,Mawaziri wengi wakristo,wakuu wamikoa na wilaya wengi wakristo,Wakurugenzi,Ma rpc's,wakuu wa mashule woooooote wakristo hivyo hufanya 90% Mfumo KRISTO.Udini umezidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Zilianzia wapi? Tanzania? Acha kuota ndoto za mchana wewe!! Hivi kati ya JK na marais wa USA ni nani anatakiwa kufikishwa kwenye mahakama za uhalifu? Kama walishindwa kumfikisha Mkapa pamoja na mauaji ya wana-CUF 21 ndo wamfikishe JK?! Hivi unazani USA wanaweza ku-rely kwenye mabango ya mitaani wakati wana majasusi wao kila kona?! Yaani kwa ufahamu wako unazani USA hawafahamu kwamna Mwangosi aliuawa? Narudia, mnajidhalilisha!! Hii ni kuonesha kwamba mmeshindwa harakati na sasa mnasubiria hisani kutoka magharibi! Hakika ni aibu! Waasi wa Syria pamoja na kwamba wanakabiliwa na mapigano makali toka kwa wanajeshi wa serikali yao, lakini walikataa majeshi kutoka nje kuingilia!! Iran pamoja na kwamba walikuwa ndani ya conflict kubwa kati yao na Iraq ya Sadaam Hussein, lakini walikataa ardhi yao kutumika kumuondoa Sadam Hussein!! Walikataa coz' wanaheshimu utu wao!! Narudia tena, mnajidhalilisha coz' hao Wamerekani hawaezi ku-keep attention kupitia mabago ya barabarani coz' wana source zao hapa nchini!

By the way, kama ingekuwa ni issue ambayo Wamarekani wangekuwa na interest nayo basi tungeona watu hapo wamejazana kusoma lakini ninachoona ni akina mama wakiwa hawana hata time huku Mmatumbi mmoja akionekana kusoma mabandiko yenyewe!!!!!!

You are my friend, from now on you are my friend humu JF,
SIjapata kumuona mtu anajenga hoja kama wewe hapa JF.
Ubarikiwe mkuu.
 
Ni kweli kwamba hali ya nchi yetu inakera hivi sasa. Lakini kuweka mabango kama haya ulaya na marekani na japan na kwingineko kwingi, wala hatuisaidii Tanzania badala yake tunaiumiza. Kama tuna uwezo tuandike barua za moja kwa moja kwa Obama na marais wengine wa ulaya kueleza hali halisi ya maisha na ukandamizaji wa demokrasia unaofanywa na serikali ya CCM. Lakini kuweka mabango ni kujiumiza wenyewe. Maana hata wale waliokuwa hawajui chochote kuhusu Tanzania, sasa watajua, tutakosa watalii, tutaharibu jina la nchi yetu kimataifa etc. Tuwe wazalendo, tuombe hayo mataifa makubwa yamshughulikie mtu binafsi ambaye ni Kikwete. Na njia nzuri isiwe sasa ni ya kujidhalilisha, bali ni ya kutumia utaratibu mzuri ambao utashirikisha third party bila kuathiri status yetu.

Kule kwetu, mwanamke akipigwa na mmewe ndani halafu akatoka anapiga kelele mtaani kwamba amepigwa, huwa inakuwa ni aibu yake yeye aliyepigwa. Lakini akitoka kimya kimya kwenda kuwaita wazee waje wamuonye mme wake, huwa ni aibu ya mme, kwa kuwa wazee wakija watamsema sana huyu mme. Lakini kama mwanamke huyu atatoka na kupiga kelele mtaani, watu wote watamcheka kwamba huyu huwa anadundwa na mmewe. Tuchukue mfano huo. Kupiga kelele njiani, ni kuidhalilisha nchi yetu.

Umesema kweli mkuu, ila kuna kitu kimenifurahisha,
Kwa hiyo una maana CCM = Mmme & CDM = Mke,
Nimeipenda hii.
 
Hhahahaha Mkimbizi wa Washington anajaribu kuja na propaganda za kizamanii! Endelea na ujinga wako huko huko kuivua nguo Tanzania

Je ni kweli ama si kweli,hoja hapa ni mauji na TISS kutumika kudhoofisha CHADEMA.Nani alimua mwangosi na kwa nini?nani alimteka Dr ulimboka na kwa nini,Nani alimteka Kibanda na kwanini?Nani alitekeleza mauji ya Nyamongo na kwa nini?Nani alieua Arusha,Morogoro na ni kwa nini?Nani aliewapiga risasi wafugaji kule Mkoa wa morogoro na kwa nini?Songea ilikuwaje na kwa nini?
 
Lukolo hizo hela zinazotokana na mapato ya utalii kijijini kwenu wangapi zinawafikia?unakumbuka tulianza lini kupokea watalii je ni kwa nini mpaka leo watoto hawana madawati,ni kwa nini hadi leo wagonjwa wana lala chini,ni kwa nini hadi leo akina mama waja wazito wana-share vitanda?Ni kwa nini hadi leo tumeshindwa kusambaza nishati ya umeme hadi vijijini?hayo mapato yanayotokana na utalii wewe inakuuma kuyapoteza kwa namna gani?je una maslahi kwenye hili,Acha wasije tena watalii ili tulingane wote na wale wanaotumia mapato hayo kwa manufaa yao.Kuna madudu mengi yamekuwa yakifumbiwa macho lakini mwisho wa siku wananchi tunakuja kuumia,kama hata hizo pesa tunafadhiliwa na zingine tunakopeshwa nani atakuja kulipa kama sio watanzania wenyewe?leo fedha zinatumika kuwaumiza au kuuwa watu halafu unataka wakae kimya.NAWAPONGEZA WALIBANDIKA MABANGO HUKO MAREKANI
 
kazi ya chadema eti ndio wameshitaki poor chadema poor mbowe,poor slaa

Mbona husomeki? Ama ndo kusema unakubaliana na ung'oaji kucha na sasa wanaofanya uovu huu unawakumbatia alafu wanaowatetea ndo vile hutaki hata kuwasikia
 
USA wenyewe sasa wanatafuta mbinu ya kwenda kuivamia syria,eti wanasema anatumia silaha za kemikali,mbona iraq hadi leo hatuoni silaha za maangamizi? zipo wapi?
waende kwanza korea,maana kijana kasema anazo silaha za maangamizi na yupo tayari kuwamaliza,sasa kwanini hawapeleki jeshi lake korea ambao tayari wamesema wana silaha za maangamizi?
Haya matatizo yetu ya ndani,tutayamaliza wenyewe na wala hatuhitaji mabomu toka USA wala UK,watatue matatizo yao kwanza ya watu kupigwa risasi kila kukicha.
 
kama hakuna katiba mpya na ya ukweli basi Magamba umekwishaaaaaaaaaaaaaaaa.tutatembea nyumba hadi nyumba.ili congress wafute kila kitu na pia wawasahwishi nchi zingine zilizo marafiki wa marekani pia kutotoa misaada

Mkuu hapo ukifanya hivyo sanasana utakamatwa tu kwa kosa la uzururaji nchi za watu!Waache kutoa misaada Tanzania wakati walishaingia mikataba hotelini london ya kuzoa madini hadi udongo na kuacha mashimo wanapiga 97% sisi 3% wakiitenga tanzania watapata wapi nchi nyingine kichwa cha mwendawazimu kama hii waingie mkataba wa aina hiyo??
 
Mabango kama haya ni sawa na PLACEBO kwa watanzania wanamchukua Rais Kikwete na Serikali yake. Hayana impact yoyote kwenye Obama Administration foreign policy kuhusu Tanzania zaidi ya kufurahisha wapita njia na watalii kwenye mtaa huo.

Obama Adminstration inafahamu kila kinachofanyika Tanzania zaidi ya hao walioweka mabango yao hapo njiani. Balozi zao za nchi za nje zimejaza makachero kwa kazi kama hizi. Foreign policy za wenzetu hazibadiriki badiriki kama za kwetu kwamba kadri ya mapenzi na utashi wa Rais. Watu wajinga walidhani Obama angebadilisha foreign policy toward Middle East na jinsi ya kushughurikia wafungwa wa kijasusi, what happen now!.

Kuna huyu jamaa hapa Uk alikuwa akiitwa Brian Haw aliweka mabango kama hayo kwa muda wa karibia miaka 12 mbele ya mlango wa bunge akilala na kuamuka hapo hapo na kwa siku nzima akihutubia wapita njia na wabunge kuhusu mateso ya Palestine na uvamizi wa Iraq na unyanyasaji unaofanywa na UK na USA kwa nchi maskini lakini mwishowe serikali wakamchoka na kwenda mahakani kupata kibari cha kumwondoa na akaondolewa.

Serikali kuna na taarifa pengine huchelewa kuwafikia watalii ambao si wote wenye nafasi ya kupata tahadhari ya safari zao. Ili bughudha inayoweza kuwapata hao watalii wawapo arusha, wadau wamerahizisha kwani kuna wapita njia wengi wamekutana na hili katika pita pita zao jiji la DC, wa kutoka Virginia, Maryland, Pennislivania, West Virginia, Kentucky, Carolina, Tennessee, Delaware, na kwengineko na hawa jamaa si wachache kwa kuchukua taswiras na kuinua simu zao tujuavyo Route 100 na Express Highway #95 Interstate toka Maine hadi Florida imepita pale. Bora tu Kikwete aeleweke ni mhogo mchungu uliojificha ndani ya tabasamu.
 
Hata mkibeza hizo harakati za kuweka bango mtaani kufikisha ujumbe, huku mnachekacheka nchi yenu ilivyo ombaomba mnaonekana wa hovyo. Mtanzania ni mtu wa hovyo sana, mtanzania ni maskini, mttanzania ni fukara, ni ombaomba, anatembeza bakuli dunia nzima huku ana rasilimali kibao. Wakati wapiga debe mnabeza kuvuliwa nguo kwa kikwete kuwa ni dikteta, tumieni muda huo kumshauri ajifunze kujitegemea, wanaharakati wamegonga shambulizi Ikulu, wamegonga kule Kikwete anakoenda kuomba. Hii itasaidia akinyimwa misaada huko ajifunze kujitegemea.
 
Watanzania tunajidhalilisha bure, hapo wenyewe wanaona kama picha ya masokwe tu yanarukaruka juu ya mti!!
Hebu fanyeni mambo kisomi nyie wapiga box!!
 
Serikali kuna na taarifa pengine huchelewa kuwafikia watalii ambao si wote wenye nafasi ya kupata tahadhari ya safari zao. Ili bughudha inayoweza kuwapata hao watalii wawapo arusha, wadau wamerahizisha kwani kuna wapita njia wengi wamekutana na hili katika pita pita zao jiji la DC, wa kutoka Virginia, Maryland, Pennislivania, West Virginia, Kentucky, Carolina, Tennessee, Delaware, na kwengineko na hawa jamaa si wachache kwa kuchukua taswiras na kuinua simu zao tujuavyo Route 100 na Express Highway #95 Interstate toka Maine hadi Florida imepita pale. Bora tu Kikwete aeleweke ni mhogo mchungu uliojificha ndani ya tabasamu.
Candid Scope ,
Hebu tuongee kama watu ambao sehemu ya maisha yetu tunaitumia kwenye nchi zao. Hivi kuna mtu wa Western countries ambaye huwa anafunga safari kwenda nchi za mbali ambazo hata hazifahamu vizuri bila kuangalia kwenye tovuti zao au kupata maelezo kutoka idara za safari.

Tovuti za wenzetu kama Welcome to Travel.State.Gov ya wana USA na www.GOV.UK ya wana UK zinakuwa UPDATED kila mara kiasi kwamba hawahitaji kupata habari za barabarani.

Sikatai, kuna watu wawili watatu wanaweza kuwa alerted na picha hizo lakini sidhani kama zinaweza kuleta impact kwenye foreign policy yao kuhusu Tanzania.

Usije kushangaa utakapo muona Obama mwaka huu anatembelea Tanzania. Hawa jamaa kama hugusi maslahi yao hawana matatizo.

Hawa jamaa wanatembea na TWO FACE. Angalia kwa sasa yanavyotokea Kenya, wakati kesi tayari ilikuwa imeisha somwa mahakamani, na hii inatokea kwa sababu wanaona kuendelea na kesi kutawaathiri kimaslahi.
ICC judge withdraws from Kenyan leaders' case
Christine Van Den Wyngaert criticises prosecutors for failing to disclose evidence against President Uhuru Kenyatta.
Last Modified: 27 Apr 2013 22:33

Van Den Wyngaert said the prosecution introduced evidence and witnesses that had not been disclosed before [EPA]
A judge for the International Criminal Court has asked to be excused from hearing a crimes-against-humanity case against the Kenyan president and his deputy after questioning the conduct of the prosecution.

Christine Van Den Wyngaert said on Saturday she had doubts the prosecution had carried out proper investigations into charges against Uhuru Kenyatta and William Ruto, but there was no suggestion her resignation was linked to her criticism of the prosecution, according to the Reuters news agency.

"There are serious questions as to whether the prosecution conducted a full and thorough investigation of the case against the accused prior to confirmation," Van Den Wyngaert said.

"I believe that the facts show that the prosecution had not complied with its obligations at the time when it sought confirmation and that it was still not even remotely ready when the proceedings before this chamber started."

Uhuru won presidential elections in March with Ruto as his running mate. The charges against the two men, who went ahead with their campaigns even after being indicted by the court, are related to post-election violence in 2007-8, which killed more than 1,000 people.

Van Den Wyngaert's colleagues also criticised prosecutors for failing to tell Kenyatta's defence lawyers a crucial witness was not present at a meeting where prosecutors alleged acts of violence were planned, saying the prosecution made a "grave mistake" in not doing so.

New witnesses

The loss of that witness's testimony contributed to the acquittal earlier this year of Francis Muthaura, Kenya’s former head of the civil service who was Kenyatta's co-accused.

Similar charges still stand against Kenyan deputy president William Ruto.

"I stress the concerns expressed in the decision about the overwhelming number of post-confirmation witnesses and the quantity of post-confirmation documentary evidence, as well as the very late disclosure of the latter," she said.

Van Den Wyngaert said that even though the prosecution faced challenges, it had not justified how so many witnesses were interviewed after charges against Kenyatta were confirmed.

"The prosecution offers no cogent and sufficiently specific justification for why so many witnesses in this case were only interviewed for the first time post-confirmation," Van Den Wyngaert said.

"The mere invocation by the prosecution of generic problems with the security situation in Kenya, without explaining how this situation affected each of the individuals involved, does not adequately justify the extent and tardiness of the post-confirmation investigation," she said.

However, in her concurrence with the other two judges, she explained that the hitches on the side of the prosecution were not weighty enough to warrant a referral to the pre-trial chamber or withdrawal of charges against Kenyatta.

The Kenyan cases now will be heard in The Hague-based court by Judge Robert Fremr, who replaces Van Den Wyngaert, presiding Judge Kuniko Ozaki and Judge Chile Eboe-Osuji.

In a majority decision the trial chamber agreed that charges against Kenyatta will remain as confirmed for the trial set for July 9 this year.
 
Back
Top Bottom