environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
- Thread starter
- #61
wenye fujo ni wale wanaotoa watu kucha,kung'oa meno
Hata mwakyembe alinyeshwa sumu
wenye fujo ni wale wanaotoa watu kucha,kung'oa meno
utakua umepost wewe, bila shaka
Kuonyesha kuwa uzi wako umedharauliwa, umebaki peke yako unautetea. Haibu sana hiyo
Mfalme... bado huamini uko uchi? Eti fundi cherehani kakushonea vazi la dhahabu watu wema tu ndio wanaliona kwa upumbavu unatembea uchi.kazi ya chadema eti ndio wameshitaki poor chadema poor mbowe,poor slaa
Siamini kama Watanzania waishio USA wamefikia hali ya kujidhalilisha kiasi hiki!! Yaani unaenda kubandika mabango ya kuonewa Ughaibuni?! So what?! Yaani USA na CIA yake iache intel kutoka CIA na ichukue maamuzi kupitia mabango ya barabarani!! Poor Tanzanians!
Mfalme... bado huamini uko uchi? Eti fundi cherehani kakushonea vazi la dhahabu watu wema tu ndio wanaliona kwa upumbavu unatembea uchi.
Wewe siyo mzima wanafunzi walikuwa wanadai haki gani pale kama kweli unauepwezo wa kuchambua mabo bila ushabiki.Wala hayuko pekee yake kamanda tupo pamoja tena naona kama wewe ndo umetuamsha maana tunataka kuweka mabango yetu haraka sana. Nimengalia maji ya kuwasha waliokuwa wakimwqagiwa wanafunzi wanaodai haki yao nikajisikia kulia Mungu nipe nguvu nikiwa huku nje niweze kufanya kazi za ukamanda ili nchi iokolewe kwenye mikono ya mkolono mweusi. Ndio tumenza kazi hadi Jk akisikia nje ya nchi apaone kituo cha polisi
Zilianzia wapi? Tanzania? Acha kuota ndoto za mchana wewe!! Hivi kati ya JK na marais wa USA ni nani anatakiwa kufikishwa kwenye mahakama za uhalifu? Kama walishindwa kumfikisha Mkapa pamoja na mauaji ya wana-CUF 21 ndo wamfikishe JK?! Hivi unazani USA wanaweza ku-rely kwenye mabango ya mitaani wakati wana majasusi wao kila kona?! Yaani kwa ufahamu wako unazani USA hawafahamu kwamna Mwangosi aliuawa? Narudia, mnajidhalilisha!! Hii ni kuonesha kwamba mmeshindwa harakati na sasa mnasubiria hisani kutoka magharibi! Hakika ni aibu! Waasi wa Syria pamoja na kwamba wanakabiliwa na mapigano makali toka kwa wanajeshi wa serikali yao, lakini walikataa majeshi kutoka nje kuingilia!! Iran pamoja na kwamba walikuwa ndani ya conflict kubwa kati yao na Iraq ya Sadaam Hussein, lakini walikataa ardhi yao kutumika kumuondoa Sadam Hussein!! Walikataa coz' wanaheshimu utu wao!! Narudia tena, mnajidhalilisha coz' hao Wamerekani hawaezi ku-keep attention kupitia mabago ya barabarani coz' wana source zao hapa nchini!Kweli watz tumelala ivi wewe ulifikiri force ya mageuzi kwenye zilizoendelea zinaanzia wapi? Usiandike bila kufanya uchambuzi. Inabidi huo uongozi wa Jk ujiandae kwenda mahakama ya kialifu na hilo halina mjadala. Ila kazi kubwa nikuweka vigezo kwa nini apelekwe huko kwa kuonyesha hizi video na picha za mauaji na uzalilishaji. Tuko kazini hadi kieleweke
Wewe siyo mzima wanafunzi walikuwa wanadai haki gani pale kama kweli unauepwezo wa kuchambua mabo bila ushabiki.Wala hayuko pekee yake kamanda tupo pamoja tena naona kama wewe ndo umetuamsha maana tunataka kuweka mabango yetu haraka sana. Nimengalia maji ya kuwasha waliokuwa wakimwqagiwa wanafunzi wanaodai haki yao nikajisikia kulia Mungu nipe nguvu nikiwa huku nje niweze kufanya kazi za ukamanda ili nchi iokolewe kwenye mikono ya mkolono mweusi. Ndio tumenza kazi hadi Jk akisikia nje ya nchi apaone kituo cha polisi
hata hivyo sikuzaliwa na nguo mwanadamu hupo uchi sikuzote
Zilianzia wapi? Tanzania? Acha kuota ndoto za mchana wewe!! Hivi kati ya JK na marais wa USA ni nani anatakiwa kufikishwa kwenye mahakama za uhalifu? Kama walishindwa kumfikisha Mkapa pamoja na mauaji ya wana-CUF 21 ndo wamfikishe JK?! Hivi unazani USA wanaweza ku-rely kwenye mabango ya mitaani wakati wana majasusi wao kila kona?! Yaani kwa ufahamu wako unazani USA hawafahamu kwamna Mwangosi aliuawa? Narudia, mnajidhalilisha!! Hii ni kuonesha kwamba mmeshindwa harakati na sasa mnasubiria hisani kutoka magharibi! Hakika ni aibu! Waasi wa Syria pamoja na kwamba wanakabiliwa na mapigano makali toka kwa wanajeshi wa serikali yao, lakini walikataa majeshi kutoka nje kuingilia!! Iran pamoja na kwamba walikuwa ndani ya conflict kubwa kati yao na Iraq ya Sadaam Hussein, lakini walikataa ardhi yao kutumika kumuondoa Sadam Hussein!! Walikataa coz' wanaheshimu utu wao!! Narudia tena, mnajidhalilisha coz' hao Wamerekani hawaezi ku-keep attention kupitia mabago ya barabarani coz' wana source zao hapa nchini!
By the way, kama ingekuwa ni issue ambayo Wamarekani wangekuwa na interest nayo basi tungeona watu hapo wamejazana kusoma lakini ninachoona ni akina mama wakiwa hawana hata time huku Mmatumbi mmoja akionekana kusoma mabandiko yenyewe!!!!!!
Kwahiyo kwa uelewa wako wewe kibwete wanafunzi wa IAA walikuwa hawadai haki yoyote? Na walikuwa wanataka kuandamana kwenda kwa mkuu wa mkoa kuuza sura? Thinking hii ya CCM kwa kweli itakuja iwatokee puani. Kwa kuwa ninyi mnaishi mikocheni na msasani ambako hakuna vibaka, basi mnawaona wanaoandamana kudai kulindwa dhidi ya vibaka, hawadai haki ya msingi. Hata watoto wa Ghadafi walikuwa wana imani kama yenu. Ipo siku mtajuta nawaambieni.Wewe siyo mzima wanafunzi walikuwa wanadai haki gani pale kama kweli unauepwezo wa kuchambua mabo bila ushabiki.