Tanzania uchi wa mnyama sasa...

Tanzania uchi wa mnyama sasa...

Inabidi Tanzania iwekewe vikwazo vitatu.
watawala wetu kutoruhusiwa kusafiri ulaya na marekani kwani wanafuja pesa zetu
Japan kutoiuzia serikali ya Tanzania magari ya kifahari
Nchi wahisani kukatiza misaada yao ya fedha kwani misaada hiyo inaliwa na wachache huku tukibakiwa na deni kubwa la taifa fedha ambazo hazijulikani zimetumikaje.
Tuna madini ya kila aina, gesi,utalii na kilimo, tukinyimwa misaada tutatia akili.
ukisoma hii post kuna mijitu inapinga kila kitu kwa vile imetumwa kuharibu jukwaa letu.
copy kwa mlengo wa kati, stroke, M23, bungeni na wengineo wasio na haya ya kuitakia mema nchi kwa vile wanashiba matumbo yao.
time will tell.

Mkuu, hata mabomu ya machozi wasiuziwe kwasababu wanaya-misuse kwa kuyapiga kwenye matumbo ya watu!
 
Bado tumejiandaa kuweka kongamano kila kona ya washington DC,Kumbe wamarekani walikuwa hawajui.sasa watajua msikonde
 
Hii mbona bado sisi ndo tunajiandaa kumalizia mabango yetu na kuyatandaza hapa hakuna kulala hadi kieleweke. JK asifikiri huku nje tumelala anakuja hapa anasema yeye anao utawala bora akarudi nyumbani week haijaisha akaanza utawala wa kidectater shame. Sisi wote tulioko nje ndo tunasambaza huu ujumbe na tutahakikisha Jk na utawala wake wataenda mahakama ya kihalifu full stop
Poleni sana nyie wakimbizi. Rudini nyumbani mshiriki shughuli za kimaendeleo. Huko marekani hakuna anayewajali. Watu wako busy na maisha yao
 
kama hakuna katiba mpya na ya ukweli basi Magamba umekwishaaaaaaaaaaaaaaaa.tutatembea nyumba hadi nyumba.ili congress wafute kila kitu na pia wawasahwishi nchi zingine zilizo marafiki wa marekani pia kutotoa misaada
 
misaada gani tulishaipata ikatunifaisha watanzania kama ilivokusudiwa?
una mfano labda tushee hapa?[
fedha za miradi ya ukimwi zinaliwa na wasio na ukimwi
misaada ya hospitali madawa fedha zimeliwa na wachache
fedha za maji zimeshaliwa kitambo.
misaada kutoka norway ililiwa na wakadai hela zao.
katika bajeti inayoisha ya serikali wahisaniwengi hawakutimiza ahadi zao
nami nawapongeza na ni bora wakasitisha kabisa kutupa misaada.
tunawapa madini yetu kisha tunanyoosha bakuli ni aibu.

UOTE=Natalia;6232557]Mtakosa misaada muwe Kama Zimbabwe .viongozi Watabakia kula nyie Haya[/QUOTE]
 
mbona wewe mkimbizi hapo tanzania???????????????????????//.wewe kabila ganiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii????????
 
Nimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.

ubao wa kubandika hayo matangazo malekani haupo umekula ukashiba ndiyo ukaona ufanye hii kazi lakini umesahau mambo mawili mauwaji ya wangwe,video ya lwakatare na kuvamiwa mama zito.
 
kama hakuna katiba mpya na ya ukweli basi Magamba umekwishaaaaaaaaaaaaaaaa.tutatembea nyumba hadi nyumba.ili congress wafute kila kitu na pia wawasahwishi nchi zingine zilizo marafiki wa marekani pia kutotoa misaada
Tanzania hatutegemei congress kuendesha mambo yetu. Kwanza hakuna taifa bahiri duniani kama marekani
 
madawa feki ,na wachina kujaa hapo Tanzania ni kweli nakubaliana na wewe kuwa wachina ni ndugu zetu wa kweli
 
ubao wa kubandika hayo matangazo malekani haupo umekula ukashiba ndiyo ukaona ufanye hii kazi lakini umesahau mambo mawili mauwaji ya wangwe,video ya lwakatare na kuvamiwa mama zito.
Sure mkuu. Wamesahau pia kuweka picha ya ben saanane ambaye anatembea na sumu usiku na mchana
 
kama hakuna katiba mpya na ya ukweli basi Magamba umekwishaaaaaaaaaaaaaaaa.tutatembea nyumba hadi nyumba.ili congress wafute kila kitu na pia wawasahwishi nchi zingine zilizo marafiki wa marekani pia kutotoa misaada

too bad papers zako zikiisha unakimbilia ubalozini kuomba wakusaidie, sasa kama kidume, kaombe ukimbizi kabisa huko, hatuhitaji wasaliti kama wewe..
 
marekani ilikuwa ina train polisi wa Tanzania.Sasa itakuwa basi tena.Tanzania ipo uchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Bado tumejiandaa kuweka kongamano kila kona ya washington DC,Kumbe wamarekani walikuwa hawajui.sasa watajua msikonde
Umesahau pia kuandaa kongamano na maandamano ya kupinga mimba zisizotarajiwa za wabunge wa viti maalum wa chadema zilizosababishwa na umalaya wa baadhi ya viongozi wakuu wa chadema
 
wewe najua ni yule shushu ambaye alisomea kule ulaya mashariki .najivunia sana akili zao.yaani utafurahia sana.ndio wanamshauri rais hadi tumefika hapo.tuwapongeze jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii
 
marekani ilikuwa ina train polisi wa Tanzania.Sasa itakuwa basi tena.Tanzania ipo uchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwa hiyo kama marekani ndo wanatrain polisi wa tanzania, wanayofanya polisi wetu naamini wanaapply walichofundishwa. Hapo usitegemee serikali ya marekani ichukue hatua.
 
wewe najua ni yule shushu ambaye alisomea kule ulaya mashariki .najivunia sana akili zao.yaani utafurahia sana.ndio wanamshauri rais hadi tumefika hapo.tuwapongeze jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii
Na wewe uliyezamia marekani kufanya ushoga mbona mawazo yako ni mufilisi sana. Utangoja sana ili slaa awe rais ahalalishe ushoga hapa bongo ndo urudi. Hilo halitatokea kamwe
 
asante sana ridwan kwa kutuletea wachina na sasa tunajivunia kwani wachina wanauza mpka ice scream mitaani.
 
Hhahahaha Mkimbizi wa Washington anajaribu kuja na propaganda za kizamanii! Endelea na ujinga wako huko huko kuivua nguo Tanzania

Kama ni kweli hayo unayosema, basi hana tofauti na CCM. Toka 1961 mpaka sasa propaganda zile zile bila hata maendeleo?
 
Nimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.
Ona unavyojiaibisha, tangazo lako hakuna mzungu hata mmoja anayelisoma. Wao wanaangalia mambo yanayowahusu tu
 
Back
Top Bottom