Kipokola
Senior Member
- Apr 16, 2013
- 175
- 93
Una wivu mbaya saaaaaana du .Pole maana usingizi unapata wewe kweli jamani ,upo USA unawaza Chadema pole mnooooo
Natalia una upeo mdogo sana hasa kwa comment zako.. nashangaa US wew ulifika vp??? rudi kwa jukwaa la mapenzi ndo kuna kufaa, huku unatuharibia thread.. kuwa marekani haiondoi utanzania wako na ni dhahiri wew ni kati ya watu wanaokuwa mwili tu huku akili ikidumaa..