Wewe siyo mzima wanafunzi walikuwa wanadai haki gani pale kama kweli unauepwezo wa kuchambua mabo bila ushabiki.
Aisee!! Yaani hadi leo wanaendelea na uchunguzi na hawajafahamu ni nani kwa yakini alimuua Mwangosi? Naomba ujibu swali langu la msingi.....Unazani USA wanaweza ku-rely kwenye mabango ya barabarani wakati wana majasusi wao hapa nchini? Unazani USA hawakupata hizo habari kupitia majasusi wao?! Kama bado walikuwa hawajapata then am sorry to say US IS DEAD!!Wewe jipe moyo tuu time will tell. Mimi niko kwenye nchi ya amani na inayojali haki ya kila mmoja. Siku nilipomwonyesha mmoja ile report hajaamini hadi leo na bado wanaendelea na uchunguzi usifikiri watu tumelala tunafanya kazi ijapokuwa tuko nje ya nchi hadi kieleweke.
Nazani wana-magwanda wote wangekuwa na akili kama yako basi hili jamvi lingenoga and am very sure hata viongozi wakuu kama JK ingekuwa wanakuja humu na kukumbana na hoja za msingi!! Tatizo, ni wana-magwanda wenzako ndio wameliharibu hili jukwaa!! Wengi wao bila kutoa matusi na kugha chafu hawaridhiki kuonesha kwamba hawaipendi serikali iliyopo madarakani!Usitukane unapomwambia mwenzako sio mzima unamaana gani ivi niwaulize watz bila kutukana kwani mada yako haitafikisha ujumbe kwa mlengwa. Nadhani ni wakati Mods kuangalia hili jukwaa upya kuna watu badala kutoa hoja wanabaki kuwatukana wenzao watu kama hawa wanatakiwa wafungiwe for 2 months at least they will understand the meaning of JF.
Aisee!! Yaani hadi leo wanaendelea na uchunguzi na hawajafahamu ni nani kwa yakini alimuua Mwangosi? Naomba ujibu swali langu la msingi.....Unazani USA wanaweza ku-rely kwenye mabango ya barabarani wakati wana majasusi wao hapa nchini? Unazani USA hawakupata hizo habari kupitia majasusi wao?! Kama bado walikuwa hawajapata then am sorry to say US IS DEAD!!
Mimi hoja yangu ili-base USA coz' mtoa mada ndo anakosema kwamba hayo mabandiko yapo!! Kwa nchi zingine inawezekana wasifahamu coz' intelligence system ya nchi zingine ni tofauti na ile ya USA ambayo wao kutokana na sababu za kiusalamu; kila waliko lazima watakuwa na majasusi attached as diplomats, business execs and the like!!Sina uhakika kama walipata hizo habari na kama ndo basi ni heri kwa watanzania wote wanaopenda mageuzi. Wanaweza ku rely on bandos mfano mzuri ni kwangu hapa nilipoipeleka ile report ofisi moja nchi ninayoishi sio USA walishtuka sana wakaniuliza are sure this is from Tz the beautiful country and i replied to him yes from Tanzania. Aliichukua ile report na kuendelea kuisoma. Kwa hiyo unaweza kuona kwamba sio nchi au watu wote wanaweza kupata informations fulani kwenye nchi husika.
Ni kweli kwamba hali ya nchi yetu inakera hivi sasa. Lakini kuweka mabango kama haya ulaya na marekani na japan na kwingineko kwingi, wala hatuisaidii Tanzania badala yake tunaiumiza. Kama tuna uwezo tuandike barua za moja kwa moja kwa Obama na marais wengine wa ulaya kueleza hali halisi ya maisha na ukandamizaji wa demokrasia unaofanywa na serikali ya CCM. Lakini kuweka mabango ni kujiumiza wenyewe. Maana hata wale waliokuwa hawajui chochote kuhusu Tanzania, sasa watajua, tutakosa watalii, tutaharibu jina la nchi yetu kimataifa etc. Tuwe wazalendo, tuombe hayo mataifa makubwa yamshughulikie mtu binafsi ambaye ni Kikwete. Na njia nzuri isiwe sasa ni ya kujidhalilisha, bali ni ya kutumia utaratibu mzuri ambao utashirikisha third party bila kuathiri status yetu.
Kule kwetu, mwanamke akipigwa na mmewe ndani halafu akatoka anapiga kelele mtaani kwamba amepigwa, huwa inakuwa ni aibu yake yeye aliyepigwa. Lakini akitoka kimya kimya kwenda kuwaita wazee waje wamuonye mme wake, huwa ni aibu ya mme, kwa kuwa wazee wakija watamsema sana huyu mme. Lakini kama mwanamke huyu atatoka na kupiga kelele mtaani, watu wote watamcheka kwamba huyu huwa anadundwa na mmewe. Tuchukue mfano huo. Kupiga kelele njiani, ni kuidhalilisha nchi yetu.
Mabango kama haya ni sawa na PLACEBO kwa watanzania wanamchukua Rais Kikwete na Serikali yake. Hayana impact yoyote kwenye Obama Administration foreign policy kuhusu Tanzania zaidi ya kufurahisha wapita njia na watalii kwenye mtaa huo.
Obama Adminstration inafahamu kila kinachofanyika Tanzania zaidi ya hao walioweka mabango yao hapo njiani. Balozi zao za nchi za nje zimejaza makachero kwa kazi kama hizi. Foreign policy za wenzetu hazibadiriki badiriki kama za kwetu kwamba kadri ya mapenzi na utashi wa Rais. Watu wajinga walidhani Obama angebadilisha foreign policy toward Middle East na jinsi ya kushughurikia wafungwa wa kijasusi, what happen now!.
Kuna huyu jamaa hapa Uk alikuwa akiitwa Brian Haw aliweka mabango kama hayo kwa muda wa karibia miaka 12 mbele ya mlango wa bunge akilala na kuamuka hapo hapo na kwa siku nzima akihutubia wapita njia na wabunge kuhusu mateso ya Palestine na uvamizi wa Iraq na unyanyasaji unaofanywa na UK na USA kwa nchi maskini lakini mwishowe serikali wakamchoka na kwenda mahakani kupata kibari cha kumwondoa na akaondolewa.
truth be said this is a problem in Tanzania hivi kwanini?Wahinndi. Ndio wanathaminiwa
Wanataka Fujo chadema hapa USA banaa.mtaanza kujikita mnafuatiliwa kwa uchochezi wa Fujo Kwenye Nchi Za watu .Dah mbona chadema mna fujo
Nimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.