Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Hatua ya Tanzania kushtakiwa kwenye mitaa ya mamtoni ninaipinga kwa mikono miwili.Tuna weaken our countries sovereignity wenyewe.Mbona hakuna kinachoshindikana hukuhuku?
Wazungu wanabaki kutuchora na kutujadili watanzania wote na si kundi la watu.Forum kama hii ni moja wapo ya maeneo huru kuijadili serikali,vyama na uongozi,sasa kwenye mitaa ya mamtoni tunajipendekeza ya nini?TUBADILIKE
Mkuu nakubaliana na wewe ktk yote hayo lakini nini kifanyike?
Tangu mauaji ya mwandishi Mwangosi kumekuwa na matukio kadhaa ya ukiukwaji haki za binadamu kimakusudi kwa mgongo wa'liwalo na liwe', ' wapinzani si wezi kuwaksbizi nchi, na udini. Kundi dogo la watawala wenye kiburi limeteka vyombo vys dola huku wengi wakinyanyaswa na maisha yakiwa magumu zaidi.
CDM wamekuwa wapole na wanademokrasia lakini wenzao ni ubabe kila kukicha...
Cha muhimu hapa nikuwa sisi wote ni watanzania na hakuna aliyebora zaidi ktk masuala ya msingi. wakiendelea kumwaga mboga kuna watakao mwaga ugali ili heshima iludi....re EL alivyotaka kumwaga maji ya ugali unga ukiwa tayari wakaogopa kumvua gamba.