Mkuu mimi ni wa kwanza nilishawahi kuipeleka ile report kwenye ofisi moja ila kama unavyojua hawa watu huwa hawakurupuki wanafanya utafiti wa kina soon you will see everthing will be open. Utawala huu umetushinda sasa tulioko nje na ndani ya nchi tuukatae kabisa. Juzi amekuja hapa na cheka yake anasema anao utawala bora yeye anafikiri sisi ni wajinga hatusomi humu JF na kuyaona matukio ya kikatili yanayofanywa chini ya uongozi wake. Unafikiri yeye hayaoni haya kafunga masikio ila mahakama ya kihalifu yanamsubiria. Naapa nitafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huu uhalifu wote nauanika hapa niliko hadi wajue utawala ulivyo kwa sasa. Twende kazini