palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Kuonyesha kuwa uzi wako umedharauliwa, umebaki peke yako unautetea. Haibu sana hiyowewe najua ni yule shushu ambaye alisomea kule ulaya mashariki .najivunia sana akili zao.yaani utafurahia sana.ndio wanamshauri rais hadi tumefika hapo.tuwapongeze jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii
Wanataka Fujo chadema hapa USA banaa.mtaanza kujikita mnafuatiliwa kwa uchochezi wa Fujo Kwenye Nchi Za watu .Dah mbona chadema mna fujo
Bado tumejiandaa kuweka kongamano kila kona ya washington DC,Kumbe wamarekani walikuwa hawajui.sasa watajua msikonde
Sure mkuu. Wamesahau pia kuweka picha ya ben saanane ambaye anatembea na sumu usiku na mchana
too bad papers zako zikiisha unakimbilia ubalozini kuomba wakusaidie, sasa kama kidume, kaombe ukimbizi kabisa huko, hatuhitaji wasaliti kama wewe..
Hatuna mpango na marekani,nyie kwa vile mnachokitafuta kwa marekani na denmark endeleeni ila hamtofanikiwa watanzania waliwajua nia na mazumuni yenu kazi mnayo,kwetu sisi hamwashi ila wenyewe nyota inawaka na tunazidi kuishi hamtopata mnalopata.Huu ni muziki mkubwa sasa hivi,haturudi nyuma sasa .tutatoa elimu kokote ,mpaka katiba mpya itakapokuwa ni ya kweli bila lawama kutoka kila kona.nani ananufaika na utalii unaosema .kama sio magamba ambao ni wachache.sasa ni zamu yao kulala na njaa.
Huyu naye kaja na lingine jiiiiiiiiiiiiiiiiiipya mbona mbowe anawaongoza akina zito au hujuwi.nyie watu wa TISS.Najua ndio mnaongea hapa.sasa nawashauri kuwa mkasome ili mbadilike na tujenge taifa.Na sio kama mnavyofanya sasa.akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa kamwe