Tanzania tunatakiwa tubrand chips mayai

Tanzania tunatakiwa tubrand chips mayai

Usiwe mpuuzi mkuu, hiki chakula si kizuri kiafya.....hakifai hata kidogo. Kama hutaki kuamini jitahidi kula kila week uone kama hujaanza kuomba kushikishwa ukuta au demu wako akaanza kuona mabadiliko ya mapigo yako kupungua.
Nimesoma Id yako tu basi nimeamua kukukalia kimya
 
Sijasoma ulicho andia, ila kichwa cha uzi tu kimenifanya nikupe heko .

wazo Zuri.
 
kipindi inavumbuliwa ubeligiji ulikuwepo? unabishana na historia?
Historia hiyo hiyo unayoiamini wewe inakuambia 'Fries' asili yake ni Ubelgiji, mbona unakuwa na akili za kijana wa Kiislam kutopenda ukweli na kuamini hadithi za vijiweni tu?
 
Mkuu jaribu kufanya nyumbani kwako huo mchanganyo, baada ya hapo uje utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom