Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,644
- 23,274
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾Yu wili iti ende drinki enethingi yu wanti. Delishazi miti izi oso availabo. Iti izi apu tu yu bebi buu 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾Yu wili iti ende drinki enethingi yu wanti. Delishazi miti izi oso availabo. Iti izi apu tu yu bebi buu 😂
Mr. President. Shida ya chips ipo katika mafuta yanayotumiwa katika kuzikaanga. Mafuta hayo huchemshwa sana na mara nyingi hurudiwa rudiwa. Hii ni hatari sana kwa afya ya mfumo wa usambazaji damu mwilini (cardiovascular system).Nimekuuliza swali unajua vyakula vya carbohydrates na protein au unaishi kimazoea
Unajua mtu aliyekula chips mayai ni sawa na aliyekula ugali maharage sababu wote wamekula protein na carbohydrates
Minaongelea mambo kitaalamu wewe unaleta story za vijiweni
Huyu jamaa anahitaji msaada kuna nut imelegezwaKipara unawaza maharisho tu
Naipataje hiiSiku hizi kuna air fryer, viazi unanyunyizia tu mafuta zinatoka chips fresh kabisa. Hoja ya chips zina mafuta si hoja tena.
Kweli mimi mtu wa Mara niseme habari za chipsi mayai dah. Tusameane kakaKuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo
Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai
CHIPS MAYAI INAJUMUISHA VIAZI AMBAVYO NI CARBOHYDRATES NA MAYAI AMBAYO YANA PROTEIN, MTU ALIYEKULA CHIPS MAYAI HANA TOFAUTI NA ALIYEKULA UGALI MAHARAGE
Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani
Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao
CHANGAMOTO KUBWA YA TANZANIA MTU ANAONA UGALI ULIVYOKUWA MGUMU BASI ANAAMINI NDO CHAKULA CHENYE NGUVU NI CHANGAMOTO SANA
Umesema kuna nuts zimelegea mda huo huo unachukua ushauri kwenye uzi niliuouanzisha seriousNaipataje hii
Maduka ya home appliances.Naipataje hii
Huyo mtu anasema kuna nuts zimelegea na mda huo huo anachukua ushauri kwenye uzi niliouanzishaMaduka ya home appliances.
The one we have tuliletewa na wale waarabu wanauza electronics door to door
Ignore them Mr. PresidentHuyo mtu anasema kuna nuts zimelegea na mda huo huo anachukua ushauri kwenye uzi niliouanzisha
Mkuu una uhakika uko sawa?Huyo mtu anasema kuna nuts zimelegea na mda huo huo anachukua ushauri kwenye uzi niliouanzisha
umenisadia,Ebu jibu kitaalamu nimekuambia viazi ni carbohydrates na mayai ni protein kuna kosa gani mtu akila kama chakula mbona swali lipo direct sana
Watu wanaongea vitu wasivyovijua au kuwa na ufahamu navyo.Pale nini inavunja nguvu za kiume? Mayai ni afya na tunayala daily,
Viazi ni wanga ile, sasa ni kipi hasa? mafuta au?
Kwani ni kosa kufungua nyuzi mfululizo mbona jamiiforums hawalalamikiMkuu una uhakika uko sawa?
Mbona nyuzi mfululizo
Kama namuona Ms R akijishika hips baada ya yeye kula chips Yai 😋 Ms Rivi ni flampen au frying pan!?
Bahati mbaya sina hips mimi ni huzuni kwakweli
Ebu jibu kitaalamu nimekuambia viazi ni carbohydrates na mayai ni protein kuna kosa gani mtu akila kama chakula mbona swali lipo direct sana
[/QUOHawana chakula ambacho ni moja kwa moja lakini Wana equivalentMimi nilishakaa sana na wapish wa watalii ni ngumu sana kumkuta mtalii anasema umpikie chips mayai labda ujiongeze umpire
Unasema sio chakula cha kipekee na mda huo huo hawakijui na hakipo kwenye popular dish yao
Mifano 👇👇👇
🇺🇬 Uganda – Rolex
Maelezo: Chapati iliyojazwa na mayai yaliyochanganywa na mboga (kama vile vitunguu, nyanya, hoho). Ni tofauti kidogo kwa kuwa haina viazi, lakini muundo wa "carbs + mayai + mafuta" ni karibu kabisa na chipsi mayai.
Tofauti kuu: Badala ya viazi, wanatumia chapati, lakini ni vyakula vya barabarani, bei nafuu, vinavyopendwa na watu wa tabaka la kati na chini.
🇫🇷 France – Omelette avec Frites (omeleti na viazi)
Maelezo: Hii ni sahani ya kawaida kwenye mikahawa midogo (brasseries) – omeleti ikihudumiwa na chips kando.
Tofauti kuu: Si mchanganyiko mmoja kama chipsi mayai, lakini kiini cha chakula – mayai na viazi – kiko pale pale.
🇪🇸 Spain – Tortilla Española
Maelezo: Ni omelette nzito sana iliyojaa viazi vilivyokatwakatwa na wakati mwingine vitunguu. Wanaipika kama mkate na kuikata kama keki.
Tofauti kuu: Haikaangwi na kuwa crunchy kama chipsi, lakini ni mchanganyiko wa mayai na viazi.
🇮🇳 India – Egg and Aloo Roll (hasa Kolkata)
Maelezo: Chapati au paratha yenye mchanganyiko wa mayai yaliyokaangwa na viazi vya kukaanga, mara nyingine pamoja na chutney.
Tofauti kuu: Ni roll, lakini bado inakutanisha viambato kama vya chipsi mayai.
🇳🇬 Nigeria – Yam and Egg Sauce
Maelezo: Viazi vikuu (yam) vilivyochemshwa au kukaangwa, vinahudumiwa na yai lenye mchuzi wa nyanya, vitunguu na pilipili.
Tofauti kuu: Sio viazi vya kukaanga, na yai sio omeleti ya moja kwa moja, lakini kuna vibe ya "yam and egg" ambayo inalingana na idea ya chipsi mayai.
🇵🇪 Peru – Salchipapas
Maelezo: Viazi vya kukaanga vikiwa vimechanganywa na vipande vya sausage, mara nyingine juu yake huwekewa yai.
Tofauti kuu: Kwenye baadhi ya matoleo, mayai huongezwa, na kuwa karibu kabisa na chipsi mayai.
Uko sahiiMr. President. Shida ya chips ipo katika mafuta yanayotumiwa katika kuzikaanga. Mafuta hayo huchemshwa sana na mara nyingi hurudiwa rudiwa. Hii ni hatari sana kwa afya ya mfumo wa usambazaji damu mwilini (cardiovascular system).
Tafiti mbalimbali zimeanza kuonyesha kuwa mafuta yanayotokana na mbegu (mf. Karanga, alizeti, zabibu, canola, pamba, mahindi) siyo mazuri maana yana kiasi kikubwa cha Omega 6. Omega 6 ikizidi mwilini inaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Na mafuta haya yanapaswa kuandaliwa katika joto la kawaida na kamwe hayatakiwi kutumiwa zaidi ya mara moja. Sasa chips zetu hizi unakuta mafuta yamerudiwa rudiwa mpaka yamekuwa meusi kama oil ya kwenye gari. Hii ni hatari sana!
Mafuta pekee yanayopigiwa upatu ni Virgin Olive oil na yale yanayotokana na mbegu za maparachichi. Hata haya inabidi yaandaliwe katika joto la kawaida (olive oil) na yasirudiwe rudiwe kupikiwa.
Chips yai zikipikwa kwa moto wa kawaida kwa kutumia mafuta salama (virgin olive oil au avocado seed oil) na zikaliwa mara moja moja ni chakula salama.
View attachment 3386788
![]()
Seed Oils: Are They Truly Toxic?
Have you heard the claim that seed oils are “toxic”? A registered dietitian explains what they are, what they can do to your body, and whether you need to cut them out forever or just focus on a healthy, balanced diet. (Hint: It’s the latter.)health.clevelandclinic.org
Ina muda gani ikiwa inafanya kazi? Kama ni durable na haina vipengele vya mara kwa mara, unaweza kuniambia ni brand gani mkuu? ASANTE 🙏🏿Maduka ya home appliances.
The one we have tuliletewa na wale waarabu wanauza electronics door to door