Tanzania tunatakiwa tubrand chips mayai

Tanzania tunatakiwa tubrand chips mayai

Sikubaliani na hilo ombi lako maana hakuna chakula kibovu kama hiki, hakifai kwa afya hata kidogo na ukweli ni kwamba ndicho kinachovunja nguvu za wanaume wengi na kuwatamanisha kushikishwa ukuta na wenzao.
Nilitaka kusema , hiki chakula hata sijui watu wanakipendea nini ni uchafu tu ma kujaza mafuta ya alizeti tumboni
 
Sikubaliani na hilo ombi lako maana hakuna chakula kibovu kama hiki, hakifai kwa afya hata kidogo na ukweli ni kwamba ndicho kinachovunja nguvu za wanaume wengi na kuwatamanisha kushikishwa ukuta na wenzao.
Kila jambo
Utabrandije chakula cha maskini wa Dar es salaam ?
KILA JAMBO TANZANIA LINAPONDWA KWANINI TUNAKUA NA NEGATIVITY KUBWA HIVI
 
Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo

Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai

Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani

Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao
Kwa aasa zinapikwa hadi Kenya huko na Uganda, too late
 
Sikubaliani na hilo ombi lako maana hakuna chakula kibovu kama hiki, hakifai kwa afya hata kidogo na ukweli ni kwamba ndicho kinachovunja nguvu za wanaume wengi na kuwatamanisha kushikishwa ukuta na wenzao.
Pale nini inavunja nguvu za kiume? Mayai ni afya na tunayala daily,
Viazi ni wanga ile, sasa ni kipi hasa? mafuta au?
 
Pale nini inavunja nguvu za kiume? Mayai ni afya na tunayala daily,
Viazi ni wanga ile, sasa ni kipi hasa? mafuta au?
Jamii yetu bado inachangamoto sana mtu akiona ugali ulivyo mgumu anaamini ndo chakula chenye kujenga mwili kumbe ile ni carbohydrates na sio hata protein
 
Usiwe mpuuzi mkuu, hiki chakula si kizuri kiafya.....hakifai hata kidogo. Kama hutaki kuamini jitahidi kula kila week uone kama hujaanza kuomba kushikishwa ukuta au demu wako akaanza kuona mabadiliko ya mapigo yako kupungua.
Nimekuuliza swali unajua vyakula vya carbohydrates na protein au unaishi kimazoea

Unajua mtu aliyekula chips mayai ni sawa na aliyekula ugali maharage sababu wote wamekula protein na carbohydrates

Minaongelea mambo kitaalamu wewe unaleta story za vijiweni
 
Mkuu, I am educated,,,,,sijakujibu kishabiki, I know what I am talking about.
 
Back
Top Bottom