Tanzania tunatakiwa tubrand chips mayai

Tanzania tunatakiwa tubrand chips mayai

Mkuu, I am educated,,,,,sijakujibu kishabiki, I know what I am talking about.
Unajua kama viazi ni carbohydrates na mayai ni protein sasa kuna kosa gani mtu akil kwa pamoja kama chakula

Unatumia metric ipi ya kitaalamu kusema havifai
 
Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo

Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai

CHIPS MAYAI INAJUMUISHA VIAZI AMBAVYO NI CARBOHYDRATES NA MAYAI AMBAYO YANA PROTEIN, MTU ALIYEKULA CHIPS MAYAI HANA TOFAUTI NA ALIYEKULA UGALI MAHARAGE

Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani

Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao

CHANGAMOTO KUBWA YA TANZANIA MTU ANAONA UGALI ULIVYOKUWA MGUMU BASI ANAAMINI NDO CHAKULA CHENYE NGUVU NI CHANGAMOTO SANA
Mama ni msikivu sana

Hili nalo amelisikia na atatenga bajeti, akina Mwijaku na wenzie watakaa kamati kujadili
 
Pale nini inavunja nguvu za kiume? Mayai ni afya na tunayala daily,
Viazi ni wanga ile, sasa ni kipi hasa? mafuta au?
Mafuta mixed with wanga is a danger in the making na mafuta ambayo wapishi wengi wanatumia yako overused, not safe for human consumption.
 
CHIPS ZINA HATIMILIKI TAYARI,ZILIVUMBULIWA NA MWAFRIKA MPISHI WA MGAHAWA HUKO MAREKANI MIAKA MINGI ILIYOPITA,MPAKA KUVUMBUA KISA CHAKE KINACHEKESHA kuna mteja alilalamika kwamba ameweka mapande makubwa ya viazi jamaa akampikia tena ilikumkomoa akakata vipande vidogo vidogo kinyume na matarajio mteja yule alikipenda sana chakula kile watu wakaanza kujaa sana kwenye mgahawa wake wakitaka wapikiwe chipsi basi ndo ukawa mwanzo wa chipsi duniani
 
Unajua kama viazi ni carbohydrates na mayai ni protein sasa kuna kosa gani mtu akil kwa pamoja kama chakula

Unatumia metric ipi ya kitaalamu kusema havifai
Si unataka evidence si ndiyo, jaribu kula hiki chakula kila week at least mara 3 kwa mwezi tu kisha njoo hapa ulete mrejesho. Uliza Daktari yeyote unayemjuwa wewe juu ya hiki chakula, usione kama nakuonea wivu mkuu.
 
Sema hata chainizi huku mtaani wanaume tunaikimbia,wanasema inavuruga nguvu za kiume pia!!!
 
😂😂yua finishingi mi oooooh bai laughingi,, nmekuja sijakuona
Donti du mi laiki zati bebi buuu. Zerizi samuthingi ai wanna giviti to yu. Samuthingi vere spesho ende pasono. Ai emu hia standingi ati ze doa lidingi tu yua hati weitingi fo yu. Pulizi du ze raiti thingi. Kamu! 😂
 
Si unataka evidence si ndiyo, jaribu kula hiki chakula kila week at least mara 3 kwa mwezi tu kisha njoo hapa ulete mrejesho. Uliza Daktari yeyote unayemjuwa wewe juu ya hiki chakula, usione kama nakuonea wivu mkuu.
Ebu jibu kitaalamu nimekuambia viazi ni carbohydrates na mayai ni protein kuna kosa gani mtu akila kama chakula mbona swali lipo direct sana
 
CHIPS ZINA HATIMILIKI TAYARI,ZILIVUMBULIWA NA MWAFRIKA MPISHI WA MGAHAWA HUKO MAREKANI MIAKA MINGI ILIYOPITA,MPAKA KUVUMBUA KISA CHAKE KINACHEKESHA kuna mteja alilalamika kwamba ameweka mapande makubwa ya viazi jamaa akampikia tena ilikumkomoa akakata vipande vidogo vidogo kinyume na matarajio mteja yule alikipenda sana chakula kile watu wakaanza kujaa sana kwenye mgahawa wake wakitaka wapikiwe chipsi basi ndo ukawa mwanzo wa chipsi duniani
Asili ya Chips (Fries) ni Ubelgiji, hii ya Marekani ni hadith tu.
 
Even a plain kiepe yai by itself is a Tanzanian Brand. Basi tu kila kitu chetu kinachukuliwa. Mlima kimanjaro wameuchukua. Madini wanachukua. Mbuga zimechukuliwa. Bandari. Mwendo kasi. Hadi chips mayai zetu zitachukuliwa.
Chipsi mayai sio chakula cha kipekee sana, ingredients zake ni aina ya chakula ambacho utakikuta nchi mbalimbali kwa majina tofauti
 
Donti du mi laiki zati bebi buuu. Zerizi samuthingi ai wanna giviti to yu. Samuthingi vere spesho ende pasono. Ai emu hia standingi ati ze doa lidingi tu yua hati weitingi fo yu. Pulizi du ze raiti thingi. Kamu! 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 if there's food I'm going to be zea,,ai emu e fuudi lava esipeshali miti.
 
CHIPS ZINA HATIMILIKI TAYARI,ZILIVUMBULIWA NA MWAFRIKA MPISHI WA MGAHAWA HUKO MAREKANI MIAKA MINGI ILIYOPITA,MPAKA KUVUMBUA KISA CHAKE KINACHEKESHA kuna mteja alilalamika kwamba ameweka mapande makubwa ya viazi jamaa akampikia tena ilikumkomoa akakata vipande vidogo vidogo kinyume na matarajio mteja yule alikipenda sana chakula kile watu wakaanza kujaa sana kwenye mgahawa wake wakitaka wapikiwe chipsi basi ndo ukawa mwanzo wa chipsi duniani
Tembea nchi zote hakuna nchi ambayo chips mayai ipo common kama Tanzania hii inakupa picha ni moja ya popular dish ya Tanzania

Watalii siwanakuja huku na ukiwapikia chips mayai wanashangaa

Wamarekani weusi popular dish yao ni fried chicken mfano wa zile zinazopikwa KFC

Nenda KFC kutoka marekani ni ngumu kukuta wanaipromote chips mayai
 
Chipsi mayai sio chakula cha kipekee sana, ingredients zake ni aina ya chakula ambacho utakikuta nchi mbalimbali kwa majina tofauti
Mimi nilishakaa sana na wapish wa watalii ni ngumu sana kumkuta mtalii anasema umpikie chips mayai labda ujiongeze umpire

Unasema sio chakula cha kipekee na mda huo huo hawakijui na hakipo kwenye popular dish yao
 
Tatizo Kyepe kinasingiziwa mengi sana na wataalamu uchwara wa afya ya uzazi. Ila Kyepe na mirinda baridi no combo noma sana.
 
Kuna mtu nimemwambia viazi ni carbohydrates na mayai ni protein huyu mtu anatofauti na mtu aliyekula ugali na maharage sababu wote wamekula protein na carbohydrates

Ila kwa Tanzania watu wanaamini kwa sababu ugali ni mgumu basi utakuwa na nguvu kuliko chips ni changamoto sana jamii yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra
 
Kabisa
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 if there's food I'm going to be zea,,ai emu e fuudi lava esipeshali miti.
Yu wili iti ende drinki enethingi yu wanti. Delishazi miti izi oso availabo. Iti izi apu tu yu bebi buu 😂
 
Ukipika mayai ukayachanganya na chochote (ikiwemo vipande vya viazi) huitwa kwa kiingereza omelette. Ni chakula cha asili wazungu ambacho walikileta Afrika along with colonialism.
 
Back
Top Bottom