Tanzania tuache unafiki, Polepole ni mzalendo kuliko wote?

Tanzania tuache unafiki, Polepole ni mzalendo kuliko wote?

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,090
Reaction score
4,060
Moja kwa moja kwenye mada:

Kama Polepole upo humu kwa akaunti fake, naomba usiache kujibu hili swali langu:

Hivi Watanzania tutaacha lini unafiki wa kujifanya tunaguswa na yanayoendelea nchini ikiwa hatupo katika maslahi hayo?
Polepole ni mgeni hapa nchini? Alikaa miaka mingapi Cuba?

Mimi si CCM wala CHADEMA, ila sipendi aina ya watu ambao wana double face kama huyu kiumbe. Alikuwa CCM way back — alikuwa juu sana. Kila kitu anajua yeye; mara shule ya uongozi, mara darasa huru — ilimradi tu, hata haeleweki.

Leo hii mambo yamebadilika. Hayupo tena katika sehemu za umate umate mwingi; anaona wenzie wanafaidi sana. Watu aina ya Polepole mnaweza kuwa mnaongea points nzuri za kufuatwa, ila historia yenu nyuma inawahukumu.

Kwa hiyo, kama kuna wengine mna ideas kama za Polepole, tokeni kabisa CCM mkiwa bado mpo "hot." Sio mkishaanza kuona mambo yatawageuka ndio mnaanza kuja na ujuaji mwingi mbele giza.

Halafu anachofanya Polepole ni kudhani kuwa kila Mtanzania anamsikiliza — ndiyo maana anajipa umuhimu ambao hata hana!

Kwa hiyo, Polepole na genge lako: acheni UKHANITHI.
 
Moja kwa moja kwenye mada

Kama Polepole upo humu kwa account fake naomba usiache kujibu hili swali langu ????

Hivi watanzania tuta Acha lini unafiki wakujifanya tunaguswa na yanayo endelea nchini ikiwa hatupo katika maslahi hayo ??? Pole pole ni mgeni hapa nchini ?? Alikaa miaka kumi na ngapi Cuba??

Mimi sio CCM wala CHADEMA ila sipendi aina ya watu ambao wana double face kama huyu kiumbe. Alikuwa CCM way back alikuwa juu sana kila kitu anajua yeye mara shule ya uongozi mara darasa huru .ili mradi tu hata haeleweki

Leo hii mambo yamebadilika hayupo katika sehemu za umate umate mwingi anaona wenzie wanafaidi sana. Watu aina ya Polepole mnaweza kuwa mnaongea points nzuri za kufatwa ila historia yenu nyuma ikawahukumu.

Kwahiyo kama kuna wengine mna ideas kama za Polepole tokeni kabisa CCM mkiwa hot. Sio mkishaanza kuona mambo yatawageuka ndio mna kuja na ujuaji mwingi mbele giza.

Alafu anachofanya pole pole ni kudhani kuwa kila mtanzania anamsikiliza ndio maana anajipa umuhimu ambao hata hana.!

Kwahiyo pole pole na genge lako acheni UKHANITHI.
Ungeweza kujibu hoja yake hata Moja, ungekuwa umefanya jambo la msingi sana
 
Back
Top Bottom