Tanzania sio Mwanza pekee Rais Magufuli!

Tanzania sio Mwanza pekee Rais Magufuli!

Madikteta wengi ung'ang'ania madarakani sio kwamba wanapenda ni Kwa sababu wanajua wakiachia tu Madaraka jela inawahusu sababu ya kuwatendea mabaya wengine,grace mugabe anamlalamikia mugabe kwamba ananyanyaswa na mugabe yuko hai akifa si ndo ataikimbia nchi maana mbuyu wake mizizi ishakatika mda wowote anaicha dunia.Muda wa kuishi ni mwingi sana baada ya utumishi,kuna watu watakuwa wadogo km piritoni,mbuyu ukiondoka,watavuna waliyopanda.
Hasa Bashite,yule atapata shida sanaaaaaa. Maana umri wake bado mdogo sana,ana maadui kila kona ndani na nje ya mfumo na bado anaendelea kujitengenezea maadui wapya.

Babake akimaliza muda wake labda ahame nchi la Sivyo watamla nyama.
 
Robert Mugabe ni Mbowe!
Yani me huyu mzee kadri anavyozidi kuboronga au kuleta kituko kipya ndo nazidi kufurahi maana hiyo inazidi kuwafungua macho wale vipofu waliozibwa macho,yani ile true color yake inazidi kudhihirika hadharani. Kama hii issue ya Mwanza naona watu wengi wanalalamika sana,yani karibuni watanzania tutaanza kuongea lugha moja.
Wanalalamika wachaga wa Kimara walibomolewa kwa kuvamia maeneo ambayo yalisalipwa wanataka walipwe tena!
 
Hasa Bashite,yule atapata shida sanaaaaaa. Maana umri wake bado mdogo sana,ana maadui kila kona ndani na nje ya mfumo na bado anaendelea kujitengenezea maadui wapya.

Babake akimaliza muda wake labda ahame nchi la Sivyo watamla nyama.
Utaliwa wewe!
 
Declaration of Interest

Mimi kwa kabila ni Msukuma na nafurahia kuwa Msukuma lakini nililelewa kutambua kila kanda, mkoa, eneo Tanzania lina haki sawa kimaendeleo, kiuchumi, kisiasa etc.

Nimeanza kudeclare interest ili wale wasukuma wenzangu msije anza kejeli na matusi.
**********************************

Leo nimesikia habari mheshimiwa JPM katua Mkoani Mwanza na kafika uwanja wa Ndege Mwaka akakataza Mamlaka ya Usafiri wa Anga na Viwanja vya ndege kutohamisha watu kupisha ujenzi wa uwanja wa Ndege Mwanza!, moja ya hoja niliyoisikia ni kwamba walimpigia kura halafu ni kaya nyingi sana!.

Mheshimiwa kwa hili umekosea sana na kumbuka kila unalosema linaingia kwenye record sasa haya mambo ya kila kinachoendelea kanda ya ziwa unayaangalia kwa jicho la upole lakini ukija sehemu nyingine unaona kama wanaishi watoto wa nje ya ndoa hii sio haki kabisa!

Hao watu wa Mwanza ni nusu ya watu wote Tanzania ambao waliamini wanachagua Raisi mchapakazi ma sio mkanda!. Leo unatuletea ukanda baada ya kupata madaraka. Ilianza wamachinga watu tukakaa kimya tukiamini kawaida ikaja bomoa ya wananchi Mwanza ukazuia kisa wapiga kura wako, Mara uwanja wa ndege Chatto ambao wengine tunaweza tusiutembelee japo tumejifunga macho tukiamini umelenga madini yetu!

Wananchi wa jangwani walibomolewa nyumba zao bila fidia na ukali kalia kimya bila tamko lolote, walikuwa na familia zao, wengine wajawazito leo hii wamegeuka omba omba na watangaji wasiokuwa na uhakika wa pakulala. Kimara kulikuwa hakuna ulazima wa kuhamisha watu kwa nguvu bila malipo lakini kilichofanyika inajulikana. Ubungo mkaja na matamko ya kukinzana mara "usipobomoa tukaja bomoa, utatulipa!" watu tukaogopa tukabomoa wenyewe vibanda vyetu baadae linakuja jitu na barua eti "sikuwapa taarifa mbomoe niliwaambia subirini utaratibu" shubaamit!.

Kagera umekaa kimya fidia na michango ya watu, wameteseka wakazoea lakini kidonda kinapoanza kupona unawatonesha kwa kutetea wengine kiboya kabisa!.. Mheshimiwa wengine ni watu pia na Tanzania sio Mwanza pekee ni Sehemu zote zina haki sawa!. 2020 utakuja na mbinu gani?

[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]! naona ni kama [HASHTAG]#HapaMwanzaTu[/HASHTAG]. Halafu wote tuna furastuesheni kama wewe hebu tusaidie tuone wajukuu zetu mheshimiwa!..Wale masikini ulioamini wataweza ishi kama wafanyakazi wa malaika tumekua majinamizi kabisa leo!

Vile vihela tulivyojibana enzi za vasco da gama kuweka labda tuje panda ndege zetu wakati wa kuja kusalimia Mwanza leo ukiuliza vimeenda wapi hatutakueleza lakini bado hakyanani Mungu anajua hatukuwa wezi au mafisadi!

Ifike kipindi huu mchakato wa Katiba tuufanyie hima raisi apunguziwe madaraka yake naona kwa wengine inakua too much sasa!

TOO MUCH POWER CORUPT ABSOLUTELY!

Hivi kuna tofauti kati ya neno CORUPT uliloliandika katika sentensi ya Signature yako ya ID na lile neno halisi na lenye maana haswa la CORRUPT? Sasa kama kuandika tu vizuri neno limekushinda hivi utakuwa na ushawishi gani wa kumshauri Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Jembe na Jemedari wa ukweli Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Ndio maana wasukuma wanajifill inferior sana popote wanapokua, ile lafudhi yao ni MBAYA sijapata kuona hutamani aongee mara 2
 
Hivi kuna tofauti kati ya neno CORUPT uliloliandika katika sentensi ya Signature yako ya ID na lile neno halisi na lenye maana haswa la CORRUPT? Sasa kama kuandika tu vizuri neno limekushinda hivi utakuwa na ushawishi gani wa kumshauri Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Jembe na Jemedari wa ukweli Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Hivi unajua kwetu wasukuma hatuna mazoea/shobo/matumizi/unafiki na herufi 'R' au ndio nakuwa wa kwanza kukuambia!?.
 
Duh had unamuombea kifo kabisa aisee

Hayo maeneo ya airport kuna nyumba yetu tuliachiwa na mama yetu lakin tumeweka wapangaji hivyo nimefurah sana aisee

Asante rais magufur

Asipokuumiza hapa atakuumiza kwingine, mapigo yanatofautiana
 
Nashukuru kwa declaration yako!..In the long run these acts may ruin our reputations!...Mpare kuitwa bahili haikuwa just a one night trip!.
Ni kweli mkuu, hii inaharibu sifa za kabila LA wasukuma. Ingawa Mimi sio Msukuma.
 
Usishoboke na lugha yetu matumizi ya "R" kwetu hayana umuhimu!..'Rachel' tutaita 'lecho' and nobody will give a damn bout it!..[HASHTAG]#Tick[/HASHTAG]

Eti ' CORUPT ' ptuuuuuuuuuuuuu.................
 
Eti ' CORUPT ' ptuuuuuuuuuuuuu.................
Nimeshakwambia wasukuma hatuna shobo na herufi ( R ) kama unaona ndio ya maana saana go on with yah belief!..Ila hata raisi anajua WDGF bout its usage!..
 
Back
Top Bottom