GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,575
- 127,912
Kuna hoja zingine ni vema ukakaa kimya tu, kuliko kujiaibisha. Ulitakiwa kukosoa hoja kama unataka kutetea sio kukosoa maandishi kwani wewe hujawahi kukosea au wewe unajua kiingereza kuliko watanzania wote?
Sijui Kiingereza ila sipendi Mtu akikosee Kiingereza tafadhali. Kwani angeandika tu neno ' Rushwa ' au ' Ufisadi ' kwa Kiswahili tusingejua kwamba nae alisoma soma kidogo?