Tanzania sio Mwanza pekee Rais Magufuli!

Declaration of Interest

Mimi kwa kabila ni Msukuma na nafurahia kuwa Msukuma lakini nililelewa kutambua kila kanda, mkoa, eneo Tanzania lina haki sawa kimaendeleo, kiuchumi, kisiasa etc.

Nimeanza kudeclare interest ili wale wasukuma wenzangu msije anza kejeli na matusi.
**********************************

Leo nimesikia habari mheshimiwa JPM katua Mkoani Mwanza na kafika uwanja wa Ndege Mwaka akakataza Mamlaka ya Usafiri wa Anga na Viwanja vya ndege kutohamisha watu kupisha ujenzi wa uwanja wa Ndege Mwanza!, moja ya hoja niliyoisikia ni kwamba walimpigia kura halafu ni kaya nyingi sana!.

Mheshimiwa kwa hili umekosea sana na kumbuka kila unalosema linaingia kwenye record sasa haya mambo ya kila kinachoendelea kanda ya ziwa unayaangalia kwa jicho la upole lakini ukija sehemu nyingine unaona kama wanaishi watoto wa nje ya ndoa hii sio haki kabisa!

Hao watu wa Mwanza ni nusu ya watu wote Tanzania ambao waliamini wanachagua Raisi mchapakazi ma sio mkanda!. Leo unatuletea ukanda baada ya kupata madaraka. Ilianza wamachinga watu tukakaa kimya tukiamini kawaida ikaja bomoa ya wananchi Mwanza ukazuia kisa wapiga kura wako, Mara uwanja wa ndege Chatto ambao wengine tunaweza tusiutembelee japo tumejifunga macho tukiamini umelenga madini yetu!

Wananchi wa jangwani walibomolewa nyumba zao bila fidia na ukali kalia kimya bila tamko lolote, walikuwa na familia zao, wengine wajawazito leo hii wamegeuka omba omba na watangaji wasiokuwa na uhakika wa pakulala. Kimara kulikuwa hakuna ulazima wa kuhamisha watu kwa nguvu bila malipo lakini kilichofanyika inajulikana. Ubungo mkaja na matamko ya kukinzana mara "usipobomoa tukaja bomoa, utatulipa!" watu tukaogopa tukabomoa wenyewe vibanda vyetu baadae linakuja jitu na barua eti "sikuwapa taarifa mbomoe niliwaambia subirini utaratibu" shubaamit!.

Kagera umekaa kimya fidia na michango ya watu, wameteseka wakazoea lakini kidonda kinapoanza kupona unawatonesha kwa kutetea wengine kiboya kabisa!.. Mheshimiwa wengine ni watu pia na Tanzania sio Mwanza pekee ni Sehemu zote zina haki sawa!. 2020 utakuja na mbinu gani?

[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]! naona ni kama [HASHTAG]#HapaMwanzaTu[/HASHTAG]. Halafu wote tuna furastuesheni kama wewe hebu tusaidie tuone wajukuu zetu mheshimiwa!..Wale masikini ulioamini wataweza ishi kama wafanyakazi wa malaika tumekua majinamizi kabisa leo!

Vile vihela tulivyojibana enzi za vasco da gama kuweka labda tuje panda ndege zetu wakati wa kuja kusalimia Mwanza leo ukiuliza vimeenda wapi hatutakueleza lakini bado hakyanani Mungu anajua hatukuwa wezi au mafisadi!

Ifike kipindi huu mchakato wa Katiba tuufanyie hima raisi apunguziwe madaraka yake naona kwa wengine inakua too much sasa!

TOO MUCH POWER CORUPT ABSOLUTELY!
Otena masala nyanda bhebhe. Ole nchilochilo sana
 
unajisumbua bure..
magufuli yupo sahihi.
na amelirudia hili jambo kwa Mara ya pili.
nilishasema kama wewe sio msukuma na unamfagilia magufuli.
JUA UNAJIPENDEKEZA.
udina masala u muntwe amadikile masangu duhu..!!
 
Ifike kipindi huu mchakato wa Katiba tuufanyie hima raisi apunguziwe madaraka yake naona kwa wengine inakua too much sasa!
Kamanda, kama wewe ni msukuma naomba ututafsirie hiyo aya niliyonakiri hapo juu kwa kisukuma. Msukuma hawezi kuwa na hasira za kikibosho!
 
Ancestors wangu walitokea Bariadi na nilishawahi kwenda zamani kidogo!..Tulipitia wilaya ya Maswa kama lilivyo jina lako Maswa 1 sasa hivi nasikia lami imeishia maswa wilayani mwaka ujao wa fedha inaenda hadi bariadi lami!..Kuna ndugu zangu maswa hapo huwa nakuja when emergency calls!.. Tusipandikize chuki tukaonekana wasukuma ni watu wa visasi, viroja n.k
Sawa samahani wewe ni mfugaji wa kinyamrutu upo sawa kusema hivyo naming nakuunga mkono wafugaji mungu kawabariki hakika
 
Kwahiyo wewe kinachokuuma ni kitu gan? Tuliza bol mkuu

miaka ya nyuma wasukuma waliteseka sana kwa kuonewa na uongoz uliokuwagepo hukuliona hilo? Hujui kuwa wafugaj wa kisukuma walikuwa wakifukuzwa kwenye nchi yao kama wakimbizi?
Mkuu samahani wewe sio mfugaji
 
Mimi siamini mwenye clip aweke ni mrate rais wangu
 
Chagueni tu jamaa lenu n.a. mliunge mkono hata kuvuruga uchumi.

Mkija kushtuka mmebaki n.a. maumivu kede kede!
 
Kamanda, kama wewe ni msukuma naomba ututafsirie hiyo aya niliyonakiri hapo juu kwa kisukuma. Msukuma hawezi kuwa na hasira za kikibosho!
Kuna "Jukwaa la Lugha" jisikie amani kaipost nije kutafsiri, hapa niliileta kwa watanzania wote sio wasukuma pekee!..Halafu usiniite [HASHTAG]#Kamanda[/HASHTAG]!.
 
Sawa samahani wewe ni mfugaji wa kinyamrutu upo sawa kusema hivyo naming nakuunga mkono wafugaji mungu kawabariki hakika
Mie ni 'Msukuma wa kinyantuzu' Babu yetu alikuwa mfugaji hodari lakini vile vile alihakikisha watoto wake wanasoma na kweli walisoma na hadi wazaz wanastaaf wameitumikia serikali!..Effects za mawazo ya Babu ikatupata hadi wajukuu tumesomeshwa mikoa tofauti na Nyumbani na tumejionea maisha tofauti na usukumani. Kuna wasukuma wapo mahenge/malinyi huko kilombero ifakara nimesoma huko!.
Kuna wasukuma wapo mbeya usangu hadi leo wanalima mashamba, kuna wasukuma wapo Bahi Dodoma mashamba ya mpunga!.. Sikonge tabora na tumbaku, Pwani na kibaha sisahau Mtwara na Ruvuma hadi mbinga songea.
Wote hawa ukisema unawaangalie kwa ukabila basi Tanzania nzima itaendelea!.
 
Ndo mana migogoro haiishi
 
Declaration of Interest

Mimi kwa kabila ni Msukuma na nafurahia kuwa Msukuma lakini nililelewa kutambua kila kanda, mkoa, eneo Tanzania lina haki sawa kimaendeleo, kiuchumi, kisiasa etc.

Nimeanza kudeclare interest ili wale wasukuma wenzangu msije anza kejeli na matusi.
**********************************

Leo nimesikia habari mheshimiwa JPM katua Mkoani Mwanza na kafika uwanja wa Ndege Mwaka akakataza Mamlaka ya Usafiri wa Anga na Viwanja vya ndege kutohamisha watu kupisha ujenzi wa uwanja wa Ndege Mwanza!, moja ya hoja niliyoisikia ni kwamba walimpigia kura halafu ni kaya nyingi sana!.

Mheshimiwa kwa hili umekosea sana na kumbuka kila unalosema linaingia kwenye record sasa haya mambo ya kila kinachoendelea kanda ya ziwa unayaangalia kwa jicho la upole lakini ukija sehemu nyingine unaona kama wanaishi watoto wa nje ya ndoa hii sio haki kabisa!

Hao watu wa Mwanza ni nusu ya watu wote Tanzania ambao waliamini wanachagua Raisi mchapakazi ma sio mkanda!. Leo unatuletea ukanda baada ya kupata madaraka. Ilianza wamachinga watu tukakaa kimya tukiamini kawaida ikaja bomoa ya wananchi Mwanza ukazuia kisa wapiga kura wako, Mara uwanja wa ndege Chatto ambao wengine tunaweza tusiutembelee japo tumejifunga macho tukiamini umelenga madini yetu!

Wananchi wa jangwani walibomolewa nyumba zao bila fidia na ukali kalia kimya bila tamko lolote, walikuwa na familia zao, wengine wajawazito leo hii wamegeuka omba omba na watangaji wasiokuwa na uhakika wa pakulala. Kimara kulikuwa hakuna ulazima wa kuhamisha watu kwa nguvu bila malipo lakini kilichofanyika inajulikana. Ubungo mkaja na matamko ya kukinzana mara "usipobomoa tukaja bomoa, utatulipa!" watu tukaogopa tukabomoa wenyewe vibanda vyetu baadae linakuja jitu na barua eti "sikuwapa taarifa mbomoe niliwaambia subirini utaratibu" shubaamit!.

Kagera umekaa kimya fidia na michango ya watu, wameteseka wakazoea lakini kidonda kinapoanza kupona unawatonesha kwa kutetea wengine kiboya kabisa!.. Mheshimiwa wengine ni watu pia na Tanzania sio Mwanza pekee ni Sehemu zote zina haki sawa!. 2020 utakuja na mbinu gani?

[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]! naona ni kama [HASHTAG]#HapaMwanzaTu[/HASHTAG]. Halafu wote tuna furastuesheni kama wewe hebu tusaidie tuone wajukuu zetu mheshimiwa!..Wale masikini ulioamini wataweza ishi kama wafanyakazi wa malaika tumekua majinamizi kabisa leo!

Vile vihela tulivyojibana enzi za vasco da gama kuweka labda tuje panda ndege zetu wakati wa kuja kusalimia Mwanza leo ukiuliza vimeenda wapi hatutakueleza lakini bado hakyanani Mungu anajua hatukuwa wezi au mafisadi!

Ifike kipindi huu mchakato wa Katiba tuufanyie hima raisi apunguziwe madaraka yake naona kwa wengine inakua too much sasa!

TOO MUCH POWER CORUPT ABSOLUTELY!
Ila tufikirie tena.
JPM ana kazi kubwa kuendeleza kwao.
Wazungu wslisema Charity begins at Home.
Waswahili wakamaliza, Mcheza kwao hutuzwa.
 
Pole sana mtoa mada.

1. Hakuna msukuma anayeweza kumuita Magufuli kwamba ni boya.

2. Chato ni Geita sio Mwanza.

3. Wasukuma tunampenda, tunamheshimu na tutamlinda Magufuli kwa gharama yoyote. Hiyo Sacco's yenu ya Kaskazini mwisho 2020

Kama hamjengi ofisi kipindi hichi mtakosa hata pango, mjiandae kuhamishia ofisi sebuleni kwa Mbowe.... Tafuneni Ruzuku kijingajinga tu
 
Back
Top Bottom