Tanzania sio Mwanza pekee Rais Magufuli!

Tanzania sio Mwanza pekee Rais Magufuli!

Nashukuru ndugu yangu kutoka mwanza maana naona kuna watu wantaka kutugawa hapa. Katika suala la kulinda utanzania na misingi yake niko tayari kufa.
Huyu raisi nilikuwa nampigania sana sema ananiboa kwa mambo mengi hasa la ukanda.
Hii dhambi asidhani kuwa itamwacha. Sisi ni watz sio wanyarunda wala sio wakongo au wanigeria.
Kuna watu wanatugawanya sisi watz wakiongozwa na raisi wa jamuhuri ya Tanzania
May Tanzania live forever and her enemies perish.
 
Yaani nilipomsikia ktk taarifa ya habari nilisikitika sana. Yaani kazuia amri ya Lukuvi kuondoa watu eti kisa ni wengi na ndo wapiga kura hivi wale wa kimara kumbe sio watu aisee na hawakuwa wengi. Dahh watakuja watetezi wake watatuambia tumemuelewa vibaya hakumaanisha hivyo. Siku si nyingi utasikia tu marekebisho ya kauli.
 
Hivi kuna tofauti kati ya neno CORUPT uliloliandika katika sentensi ya Signature yako ya ID na lile neno halisi na lenye maana haswa la CORRUPT? Sasa kama kuandika tu vizuri neno limekushinda hivi utakuwa na ushawishi gani wa kumshauri Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Jembe na Jemedari wa ukweli Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Kuna hoja zingine ni vema ukakaa kimya tu, kuliko kujiaibisha. Ulitakiwa kukosoa hoja kama unataka kutetea sio kukosoa maandishi kwani wewe hujawahi kukosea au wewe unajua kiingereza kuliko watanzania wote?
 
Abakie Mwanza. Katiba inaruhusu tuchague rais mwingine endapo aliyepo madarakani amewakana wapiga kura wake.
Lakini let's be serious huyu mtu kuna tatizo mahali au ni ubabe tu.. sijawahi ona mtu asiye na haya huruma woga wala heshima kama huyu mtu. Maskini akiokota matako hulia mbwata *** hawakukosea kwa usemi huu maana dah!
 
Hata mi nishamuona huyu jamaa ana ka ukabila fulani hasa baada ya kumchagua AG msukuma......kumbuka hata mi ni msukuma ila sifurahishwi na haya anyoyafanya
Wasukuma tusio muunga mkono tuko wengi balaa na huku usukumani mtu asiwadanganye eti ni ngome yake si kweli labda ngome zake ziko sehemu nyingine lakini si usukumani licha ya usukuma wake.

Kuanzia Igunga, Nzega, Shinyanga na wilaya zake zote, Bariadi, Magu, Geita, Chato ndiyo usiseme watu wanachuki kubwa sana na CCM lakini nguvu inayatumika huku kuficha jambo hilo ni kubwa sana na niliwahi kuwaambia watu wa Arusha na Dar kuwa hujuma zinazofanywa ili kuaminisha watu eti sisi tunawaunga mkono CCM kama zikifanywa huko hata ujumbe tu wa mtaa CHADEMA haiwezi shinda lakini bado watu hawakuelewa. Hujuma ambazo hufanyika huku sasa zimefanywa Kinondoni na kule Kilimanjaro mmeona matokeo yake.

Kwakifupi wasukuma tunajielewa sana tu licha ya kuwapo wajinga wachache wanaomsapoti mtu wakimsikia anaongea kisukuma katika majukwaa ya kisiasa.
 
Huyu mzee anawagawa watanzania na kusababisha chuki zisokuwa na msingi. Hii njia ilutumiwa na wajerumani walipoitawala Tanganyika - divide and rule.
 
Unamtishia 2020 alokwambia anategemea sanduku la kula kushinda n nani? wanambinu mbadala hawa ndiyo mana wanakuwa na kiburi.
 
Hivi niulize Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songea mara ya mwisho kutembelewa na mheshimiwa ilikuwa ni lini?
Aende kufanya nn wakati hiyo mikoa sio kipaumbele chake na wala sio sehemu ya familia yake. Kama iringa tuvagaisida ndaa na alemekusa miaka mbejili ja utawala wake. Katuharibia kabisa maendeleo ya mkoa wetu kwa kufunga mipaka ili tusiuze mazao tuliolima kwa mikono yetu
 
Cjui kwanin,ila waliompigia kula ni wananchi wrote wakiwemo wa kusini.ifike mahali abadilishe mtazamo lasivyo,watu hawahawa wakusini ndo watakao amua hatima ya uchumi wake baada ya mwaka huu!!
Point umenena bosi wangu.
 
Idadi ya watu waliopo Mwanza ni nusu ya Watanzania wote?
 
Nisingetoa declaration nazani ungekuja uliza mie wa wapi au ungenihukumu mie mchaga!...
Usipende kuja na majibu ya mfukoni kwenye mada za watu!.
By the way mie wazazi wangu walikuwa CCM na hadi leo wapo CCM niliwahi jitoa kipindi fulani wakati wa M4C lakini 2015 nikarudi CCM nikijua tumepata mtu sahihi all in all he's also a human being anahitaji marekebisho anapokosea!.
Mimi ni mchaga kaka umesema kweli na ila mungu yupo nawe tunawasoma wasukuma vibaya ila kwa asili yake ni mhambwe was kibondo
 
Kuna watu humu wanafurahia ukabila wakati hata wanaonufaika na teuzi za upendeleo sio ndugu zao au jamaa zao. Waskuma wengi wako Mbeya, Iringa,Mtwala n.k na hawana mpango wa kurudi kwao, hivyo fursa zote zkipelekwa Mwanza hata wao watazkosa km ss, hivyo anaeshangilia hili tatzo hajielewi kabsa na huenda anamtindio wa ubongi. Mleta mada umefikilia mbali sn!!!
 
Back
Top Bottom