MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
Mbiti Yaza= Fisi Mwekundu
Mbona me sio mbishi, tutake ladhi! otalatolwa!
Heeeeeeeehhh mlebachilo sana
Mbiti Yaza= Fisi Mwekundu
Mbona me sio mbishi, tutake ladhi! otalatolwa!
Madikteta wengi ung'ang'ania madarakani sio kwamba wanapenda ni Kwa sababu wanajua wakiachia tu Madaraka jela inawahusu sababu ya kuwatendea mabaya wengine,grace mugabe anamlalamikia mugabe kwamba ananyanyaswa na mugabe yuko hai akifa si ndo ataikimbia nchi maana mbuyu wake mizizi ishakatika mda wowote anaicha dunia.Muda wa kuishi ni mwingi sana baada ya utumishi,kuna watu watakuwa wadogo km piritoni,mbuyu ukiondoka,watavuna waliyopanda.Ila watawala wakumbe..watu wanaweka record...ipo siku hata kama ni miaka 20 ijayo...watakuja kuhukumiwa...
Kuna mifano ya Marais wastaafu wa nchi za nje wamepandishwa vizimbani kwa madhambi waliyoyatenda pindi wakiwa madarakani....wengine imetokea after 40 years wakidhani wapo salama
Ipo ssiku...ipo siku...ipo siku...
Mbitiyaza nyanoko!! Yaani ulikasaji gente!! Nautakufa kwanza wewe muda si mrefu!! Mungu hataniwi...!!
Viongozi wazuri wengi wametokea fani za siasa,ualimu,uchumi,au sheria.Kwa hili Raisi wangu umeniangusha, Matamko kama haya yanagawanyisha watu, Hata Mimi nimeskia, Ungetumia lugha nyingine ya Kisiasa Ila hapa Umedhoofisha Roho yangu..
Wasalimie malampakakawaida ya wanaume wa kisukuma huwa wabishi kushaurika !lile jitu gumu sana kushaurika !likafie mabwepande huko
Sikulaumi, ukabila kaanzisha magufuli sio wewe.Wewe sio Msukuma. Msukuma hawezi kutoa lawama kwa kuangalia sentensi moja tu. Tafuta kabila lako huko huko chadema.
NepotismDouble standard
Aliona mbali sanaNdo mana Nyerere alisema alisema kuna makabila haifai kuwapa uongozi.
No Bhabha wako nchilo?? nolo hamo ate nsukuma oo ng'oi??Heeeeeeeehhh mlebachilo sana
Nisingepata furaha lakini nachotaka kusema ni kwamba kama anavyotujali nyumbani basi awajari na wengine ili kuondoa double standardWewe ni wa misungwi kijiji gan mkuu
Je ungepata furaha gan endapo sisi wasukuma wenzio tungebomolewa nyumba zetu maana sisi wengine tuna nyumba maeneo hayo
Kweli aisee.. Ndugu yangu huyu kaniangusha sana aisee.. Kura sio kigezo cha kupendelea wananchi wako, wengine hawakuridhika na Maendeleo yaliyofanyika kwa kipindi cha nyuma, ni kazi yake kuwaonyesha Kwamba hawakua Sahihi kutompigia kura kwa kuwaletea Maendeleo ya kweli..Viongozi wazuri wengi wametokea fani za siasa,ualimu,uchumi,au sheria.