Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,352
- 29,534
Ni zamu yetu sasa...
Ziiiiip...
Ziiiiip...
Kwa mzee nani ili tutulije mzee wako!! Wewe ni mchaga acha kuzuka!!We lofa mie ni msukuma tena wa misungwi!!.. Halafu sijaangalia sentensi moja tu hebu nambie tamko gani mheshimiwa alilitoa watu wa jangwani dsm walipovunjiwa nyumba, watu wa ubungo alitoa tamko?, je watu wa kimara alisema nini?.. iweje inapokuja Mwanza anasimama!..
Na mie nimesimamia ishu hii ya kuijali sana Mwanza sikatai Nyumba ni Nyumbani lakini hakukuhitajika nguvu inayotumika hadi tunaona!.
Matokeo yake nikisimama na kujiita msukuma naonekana mkanda/katili/mbinafsi wakati hatupo hivyo!..
Wasukuma tupo almost Tanzania yote na tunajulikana wapole wajali maendeleo ya sehemu tulizopo lasivo tungekua tumeujenga sana ukanda huo kuliko mikoa tuliyopo!.
Nvya ya kila!We lofa mie ni msukuma tena wa misungwi!!.. Halafu sijaangalia sentensi moja tu hebu nambie tamko gani mheshimiwa alilitoa watu wa jangwani dsm walipovunjiwa nyumba, watu wa ubungo alitoa tamko?, je watu wa kimara alisema nini?.. iweje inapokuja Mwanza anasimama!..
Na mie nimesimamia ishu hii ya kuijali sana Mwanza sikatai Nyumba ni Nyumbani lakini hakukuhitajika nguvu inayotumika hadi tunaona!.
Matokeo yake nikisimama na kujiita msukuma naonekana mkanda/katili/mbinafsi wakati hatupo hivyo!..
Wasukuma tupo almost Tanzania yote na tunajulikana wapole wajali maendeleo ya sehemu tulizopo lasivo tungekua tumeujenga sana ukanda huo kuliko mikoa tuliyopo!.
Duh, hongera wewe msukuma bwana!!Wewe sio Msukuma. Msukuma hawezi kutoa lawama kwa kuangalia sentensi moja tu. Tafuta kabila lako huko huko chadema.
Nisingetoa declaration nazani ungekuja uliza mie wa wapi au ungenihukumu mie mchaga!...Kama inakuuma jitundike!! Nani kakuuliza wewe kabila gani?? Nyanoko!!
Nyanoko!Nisingetoa declaration nazani ungekuja uliza mie wa wapi au ungenihukumu mie mchaga!...
Usipende kuja na majibu ya mfukoni kwenye mada za watu!.
By the way mie wazazi wangu walikuwa CCM na hadi leo wapo CCM niliwahi jitoa kipindi fulani wakati wa M4C lakini 2015 nikarudi CCM nikijua tumepata mtu sahihi all in all he's also a human being anahitaji marekebisho anapokosea!.
Nashukuru kwa declaration yako!..In the long run these acts may ruin our reputations!...Mpare kuitwa bahili haikuwa just a one night trip!.Hata mi nishamuona huyu jamaa ana ka ukabila fulani hasa baada ya kumchagua AG msukuma......kumbuka hata mi ni msukuma ila sifurahishwi na haya anyoyafanya
Anaita ushauri wa kipumbavuMkuu unadhani huwa anashaurika huyo, wastaafu, viongozi wa dini na wasomi mbalimbali wakijaribu kumshauri wanadhalilishwa hadharani, sasa wanamuangalia tu
Mkuu, kama taifa tunalo jaribu kubwa sana.Kuna wakati unadhanani labda anatania tu ila siku zinavyozidi kwemda mbele unaona kauli hizi zikijirudia tena eneo lile lile.
Nahisi yale maombi yamekataliwa mbona kila siku watu wanamuombea lakini nafuu hakuna kabisa zaid ya matatizo.