kwa hiyo untaka usema Wasukuma hawawezi kufikir kama mtoa mada,ina maana unatka kusema Wasukuma wote wanafurahia yanayotokea nchini?....Lumumba mna matatizo mazitoWewe sio Msukuma. Msukuma hawezi kutoa lawama kwa kuangalia sentensi moja tu. Tafuta kabila lako huko huko chadema.
Hakumaanisha kwamba zivunjwe kama maeneo mengine bali lugha yake ya kejeli na yeye ubaguzi ndani yake kuwa wasibomolewe maana ni wapiga kura wake! Of course hata watu wa Mwanza wangebomolewa Nyumba zao bila Fidia Tanzania yote ingelaani.Wewe ni wa misungwi kijiji gan mkuu
Je ungepata furaha gan endapo sisi wasukuma wenzio tungebomolewa nyumba zetu maana sisi wengine tuna nyumba maeneo hayo
Ancestors wangu walitokea Bariadi na nilishawahi kwenda zamani kidogo!..Tulipitia wilaya ya Maswa kama lilivyo jina lako Maswa 1 sasa hivi nasikia lami imeishia maswa wilayani mwaka ujao wa fedha inaenda hadi bariadi lami!..Kuna ndugu zangu maswa hapo huwa nakuja when emergency calls!.. Tusipandikize chuki tukaonekana wasukuma ni watu wa visasi, viroja n.kWasukuma ndio kila kitu nchi hii,
Zamu yetu mlitutesa sana malofa nyie
Kwan magufuli ni msukuma (mtanzania) au mnyarwanda ?kawaida ya wanaume wa kisukuma huwa wabishi kushaurika !lile jitu gumu sana kushaurika !likafie mabwepande huko
Tusi kubwa sana hilo mkuu,c vemaKama inakuuma jitundike!! Nani kakuuliza wewe kabila gani?? Nyanoko!!
Ila ni kweli mkuu hata wewe asipokufurahisha hapa atakuraahisha kwingineAsipokuumiza hapa atakuumiza kwingine, mapigo yanatofautiana
Wewe nkoy alishokela uliyomba gekee? Kinehe?Nyo yako ilinunha jaga ukoge mayu!!
Mbiti tafadhali sana ole wahe obhebhe, lekanaga na ba jogolikawaida ya wanaume wa kisukuma huwa wabishi kushaurika !lile jitu gumu sana kushaurika !likafie mabwepande huko
Kwahiyo wewe kinachokuuma ni kitu gan? Tuliza bol mkuuNisingepata furaha lakini nachotaka kusema ni kwamba kama anavyotujali nyumbani basi awajari na wengine ili kuondoa double standard
Ila ni kweli mkuu hata wewe asipokufurahisha hapa atakuraahisha kwingine
Mbwa mkubwa!Ndio maana wasukuma wanajifill inferior sana popote wanapokua, ile lafudhi yao ni MBAYA sijapata kuona hutamani aongee mara 2
Tunajua hukumpigia acha kutoka mapovuhakika majuto ni mjukuu.. zilee kiki zote za mwaka 2016 mwanzoni where is it now... me ambae nipo Lindi inamaana sikumpigia kura
Kwenda huko!! Mfyuuu!!Nimeshakwambia wasukuma hatuna shobo na herufi ( R ) kama unaona ndio ya maana saana go on with yah belief!..Ila hata raisi anajua WDGF bout its usage!..
Kwenda huko!! Mfyuuu!!Nimeshakwambia wasukuma hatuna shobo na herufi ( R ) kama unaona ndio ya maana saana go on with yah belief!..Ila hata raisi anajua WDGF bout its usage!..