MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
Hivi ni msukuma vile ee?
Au anajua tu kuongea kisukuma!
mi mwenyewe mgeni
Hivi ni msukuma vile ee?
Au anajua tu kuongea kisukuma!
q'wa mayu, zugu ibizamata tulye masangu ga mdege
Bulongo
Ni mgonjwa upstairs tumsamehe bureMkuu unadhani huwa anashaurika huyo, wastaafu, viongozi wa dini na wasomi mbalimbali wakijaribu kumshauri wanadhalilishwa hadharani, sasa wanamuangalia tu
Duh had unamuombea kifo kabisa aiseekawaida ya wanaume wa kisukuma huwa wabishi kushaurika !lile jitu gumu sana kushaurika !likafie mabwepande huko
Kairudia kauli hio kumaanisha,Bora angetoa kauli nyingine lakini sio Eti Hawa ndio walionipa kura[emoji41]
Wewe ni wa misungwi kijiji gan mkuuWe lofa mie ni msukuma tena wa misungwi!!.. Halafu sijaangalia sentensi moja tu hebu nambie tamko gani mheshimiwa alilitoa watu wa jangwani dsm walipovunjiwa nyumba, watu wa ubungo alitoa tamko?, je watu wa kimara alisema nini?.. iweje inapokuja Mwanza anasimama!..
Na mie nimesimamia ishu hii ya kuijali sana Mwanza sikatai Nyumba ni Nyumbani lakini hakukuhitajika nguvu inayotumika hadi tunaona!.
Matokeo yake nikisimama na kujiita msukuma naonekana mkanda/katili/mbinafsi wakati hatupo hivyo!..
Wasukuma tupo almost Tanzania yote na tunajulikana wapole wajali maendeleo ya sehemu tulizopo lasivo tungekua tumeujenga sana ukanda huo kuliko mikoa tuliyopo!.
Hata wakoloni kuna makabila hayakusomeshwa ili wawe manamba aliliona hiloNdo mana Nyerere alisema alisema kuna makabila haifai kuwapa uongozi.
Ukosefu wa elimu tu ndio unampa shida mkuu wa nchi,anaropokwa bila kufikiri...kawaida ya wanaume wa kisukuma huwa wabishi kushaurika !lile jitu gumu sana kushaurika !likafie mabwepande huko
Ulindukila umamiyokawaida ya wanaume wa kisukuma huwa wabishi kushaurika !lile jitu gumu sana kushaurika !likafie mabwepande huko
Wasukuma waungwana sana,wanyeykevu wana busara....huyu mkuu wa nchi labda familia yake ilihamia tu usukumani maana hana sifa yoyote ya kuwa msukuma..We lofa mie ni msukuma tena wa misungwi!!.. Halafu sijaangalia sentensi moja tu hebu nambie tamko gani mheshimiwa alilitoa watu wa jangwani dsm walipovunjiwa nyumba, watu wa ubungo alitoa tamko?, je watu wa kimara alisema nini?.. iweje inapokuja Mwanza anasimama!..
Na mie nimesimamia ishu hii ya kuijali sana Mwanza sikatai Nyumba ni Nyumbani lakini hakukuhitajika nguvu inayotumika hadi tunaona!.
Matokeo yake nikisimama na kujiita msukuma naonekana mkanda/katili/mbinafsi wakati hatupo hivyo!..
Wasukuma tupo almost Tanzania yote na tunajulikana wapole wajali maendeleo ya sehemu tulizopo lasivo tungekua tumeujenga sana ukanda huo kuliko mikoa tuliyopo!.
Ukosefu wa elimu tu ndio unampa shida mkuu wa nchi,anaropokwa bila kufikiri...
Wasukuma waungwana sana,wanyeykevu wana busara....huyu mkuu wa nchi labda familia yake ilihamia tu usukumani maana hana sifa yoyote ya kuwa msukuma..
Galichene amabhiti iyiniyi mbiti nkima yaza ulu ni yali yape nilinamasalaMbitiyaza nyanoko!! Yaani ulikasaji gente!! Nautakufa kwanza wewe muda si mrefu!! Mungu hataniwi...!!
Kila mtu ana PHD Tz,hata Kabudi,Lipumba wana PHD......angalia matendo yao...sijui hivi PHD zinauzwa wapic mnadai ana Phd
Hapa ndipo ccm ilipotufikisha...kuanza kutafutana kwa kabila zetu!!Wewe sio Msukuma. Msukuma hawezi kutoa lawama kwa kuangalia sentensi moja tu. Tafuta kabila lako huko huko chadema.
Galichene amabhiti iyiniyi mbiti nkima yaza ulu ni yali yape nilinamasala