Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,413
- 8,913
Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa hivyo Communism lkn Tanzania ukaitwa ujamaa na ukapewa defination yake kwamba ni Communism ya Kiafrika kwa nini kuwe na communism ya Kiafrika ?
Ujamaa hiyo social experiment ilishindwa na ndiyo maana Mwalimu Nyerere alijiuzulu, sasa hivi kuna social experiment nyingine pia tunapitia, waanzilishi wa hizi experiments ambao ni Wazungu globalist wanajaribu kuangalia jinsi ambavyo experiment itakwenda, ikifanikiwa wataitumia kwa Afrika nzima ikishindwa, well itakuwa kama ujamaa, lkn mwisho wa siku wanaoumia ni wananchi.
Mambo yanavyokwenda Tanzania sasa hivi hauhitaji high IQ kujua kwamba kuna mkono mrefu sana, …