Tanzania private sector foundation (tpsf)

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,713
1,263
Wapendwa wana JF,

Asalaam Aleykum/Bwana Yesu apewe sifa.

Natumai wote mu wazima wa afya.

Mimi ni mjasiliamali, katika pita pita zangu nilikutana hii kampuni (TPSF) ikitoa grant kwa wafanya biashara waliosajiriwa kihalali wakubwa kwa wadogo.

Mwaka 2009 nikapewa grant ya millioni 15 ambayo imeniwezesha kufanya mambo makubwa na kujiendeleza ki biashara.

Sasa basi wamerudi na miradi ifuatayo:

wale wenye miradi ya Tours, Food processing na Natural Resources sasa hivi ndiyo wanapewa GRANTS kuendeleza biashara zao. Mimi kama mwanaharakati nimeona ni vizuri tushirikiane ili wale wenye nia nao wakafaidike kama nilivyofaidi mimi.

Ofisi zao ziko Mwaya Road, Masaki. Ukifika pale utapata information na kitu gani ufanye. Nimeona na tangazo lao TBC1 jana.

Kila la kheri.

CD
 
CD ahsante kwa kutuelimisha ila naomba kidogo nawe tukupe somo, habari nzuri kama uliyoileta huchafuliwa na hukosa raha iandikwapo kwa lugha isiyo sahihi naomba jaribu kujirekebisha, wote sisi si "perfect" lakini kuelimishna kwa kila kidogo tulichonacho ni wajibu wa kila mmoja wetu:

mjasiliamali = mjasiriamali

waliosajiriwa = waliosajiliwa
 
toa boriti kwenye jicho lako kwanza
 
toa boriti kwenye jicho lako kwanza

Ahsante sana. Kama ulivyoona ni "typing error" lakini si kuweka "L" kwenye "R" na "R" kwenye "L".

Nafurahi kunijulisha, "I'll be extra careful".
 
Ndugu yangu tatizo lako na kuweka R penye L na L penye R ni tatizo la kuzaliwa nalo Hivyo hunabudi kukubali kilema chako kwani watu wa Bukoba na Mara wana tatizo kama la kwako ni sawa na watu wa Ntu badala ya Mtu.
 
Ahsante sana ndugu yangu kwa kunikosoa, next time nitaandika kwa ufasaha. Ubarikiwe sana.
 
Wapendwa wana JF,

Asalaam Aleykum/Bwana Yesu apewe sifa.

Natumai wote mu wazima wa afya.

Mimi ni mjasiliamali, katika pita pita zangu nilikutana hii kampuni (TPSF) ikitoa grant kwa wafanya biashara waliosajiriwa kihalali wakubwa kwa wadogo.

Mwaka 2009 nikapewa grant ya millioni 15 ambayo imeniwezesha kufanya mambo makubwa na kujiendeleza ki biashara.

Sasa basi wamerudi na miradi ifuatayo:

wale wenye miradi ya Tours, Food processing na Natural Resources sasa hivi ndiyo wanapewa GRANTS kuendeleza biashara zao. Mimi kama mwanaharakati nimeona ni vizuri tushirikiane ili wale wenye nia nao wakafaidike kama nilivyofaidi mimi.

Ofisi zao ziko Mwaya Road, Masaki. Ukifika pale utapata information na kitu gani ufanye. Nimeona na tangazo lao TBC1 jana.

Kila la kheri.

CD
Asante na heshima mbele mkuu.. Vipi kuhusu Retail and ICT business..una ufamu wowote wa fursa kama hii ulotaja?
 
Najaribu kuingia Tovuti ya TPSF lakini napata warning ya Virus. Yeyote anaefahamu jinsi ya namna TPSF wanatoa Grants aweke hapa iwe msaada kwa Wajasiriamali wengi wasioijua Taasisi hii
 
Wapendwa wana JF,

Asalaam Aleykum/Bwana Yesu apewe sifa.

Natumai wote mu wazima wa afya.

Mimi ni mjasiliamali, katika pita pita zangu nilikutana hii kampuni (TPSF) ikitoa grant kwa wafanya biashara waliosajiriwa kihalali wakubwa kwa wadogo.

Mwaka 2009 nikapewa grant ya millioni 15 ambayo imeniwezesha kufanya mambo makubwa na kujiendeleza ki biashara.

Sasa basi wamerudi na miradi ifuatayo:

wale wenye miradi ya Tours, Food processing na Natural Resources sasa hivi ndiyo wanapewa GRANTS kuendeleza biashara zao. Mimi kama mwanaharakati nimeona ni vizuri tushirikiane ili wale wenye nia nao wakafaidike kama nilivyofaidi mimi.

Ofisi zao ziko Mwaya Road, Masaki. Ukifika pale utapata information na kitu gani ufanye. Nimeona na tangazo lao TBC1 jana.

Kila la kheri.

CD
Bibie Caroline Danzi labda ungefunguka ni vipi ulifanya mpaka ukafanikiwa kupata Grants toka TPSF, utasaidia members Wajasiriamali wengi hapa. Karibu
 
Last edited by a moderator:
Ahsnte mkuu
CD ahsante kwa kutuelimisha ila naomba kidogo nawe tukupe somo, habari nzuri kama uliyoileta huchafuliwa na hukosa raha iandikwapo kwa lugha isiyo sahihi naomba jaribu kujirekebisha, wote sisi si "perfect" lakini kuelimishna kwa kila kidogo tulichonacho ni wajibu wa kila mmoja wetu:

mjasiliamali = mjasiriamali

waliosajiriwa = waliosajiliwa
 
Bibie Caroline Danzi labda ungefunguka ni vipi ulifanya mpaka ukafanikiwa kupata Grants toka TPSF, utasaidia members Wajasiriamali wengi hapa. Karibu

CD, mimi naomba unielekeze vizuri jinsi ya kufika ili niende mwenyewe nikahojiane kwa undani. Bila shaka utazingatia muda na siku wanazofanya kazi.
 
Caroline Danzi Ahsante sana umenipa hamasa ya kuwaambia wadau kitu kwenye kikao kijacho.
Naaomba tuwe na moyo kama huu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom