Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Pole mkuu, ingawa umemsingizia mtu mwingine, lakini nakushauri vumilia hapo hapo pata uzoefu huku ukiwa unacheki na fursa zingine.Moja na watu waliyoitwa kwenye interview ya TPB na hatimae kupata nafasi ya kazi hapo kama Team Leader amedai kuwa wameambiwa kuwa ofisi haitakuwa ikiwalipa mshahara bali itakuwa ikiwapa commission kutokana na idadi ya wateja ambao watakuwa wakiwaleta katika bank yao.
Ambapo kwa kile mteja ambaye utakuwa ukimpeleka utakuwa ukipewa kamisheni ya sh. 1000/ elfu moja yaani BUKU.
Pole mkuu, ingawa umemsingizia mtu mwingine, lakini nakushauri vumilia hapo hapo pata uzoefu huku ukiwa unacheki na fursa zingine.
Pole mkuu, ingawa umemsingizia mtu mwingine, lakini nakushauri vumilia hapo hapo pata uzoefu huku ukiwa unacheki na fursa zingine.
kazi ninayoifanya mimi nina uwezo wa kulipa bill zako zote kwa miaka mitatu mfululizo huku nikikusomesha uongeze kiwango chako cha elimu. Halafu, kipindi natafuta kazi sikuwa naomba kazi wanazoziomba watu wengi. Mtu anayeomba kazi zenye post nyingi sana huyo mtu hajiamini halafu pili hafam kuwa kazi zenye post nyingi mara nying mshahara wake ni mdogo. OGOPA SANA UKIONA KAZI IMETANGAZWA MOJA AU MBILI japo si zote za kuziogopa.
Stress mbaya sana.kazi ninayoifanya mimi nina uwezo wa kulipa bill zako zote kwa miaka mitatu mfululizo huku nikikusomesha uongeze kiwango chako cha elimu. Halafu, kipindi natafuta kazi sikuwa naomba kazi wanazoziomba watu wengi. Mtu anayeomba kazi zenye post nyingi sana huyo mtu hajiamini halafu pili hafam kuwa kazi zenye post nyingi mara nying mshahara wake ni mdogo. OGOPA SANA UKIONA KAZI IMETANGAZWA MOJA AU MBILI japo si zote za kuziogopa.
waje kwangu ni waajili kwenye kilimo kwanza..Moja na watu waliyoitwa kwenye interview ya TPB na hatimae kupata nafasi ya kazi hapo kama Team Leader amedai kuwa wameambiwa kuwa ofisi haitakuwa ikiwalipa mshahara bali itakuwa ikiwapa commission kutokana na idadi ya wateja ambao watakuwa wakiwaleta katika bank yao.
Ambapo kwa kile mteja ambaye utakuwa ukimpeleka utakuwa ukipewa kamisheni ya sh. 1000/ elfu moja yaani BUKU.
Duh bora aokote chuma chakavu. BUKU!!???
Moja na watu waliyoitwa kwenye interview ya TPB na hatimae kupata nafasi ya kazi hapo kama Team Leader amedai kuwa wameambiwa kuwa ofisi haitakuwa ikiwalipa mshahara bali itakuwa ikiwapa commission kutokana na idadi ya wateja ambao watakuwa wakiwaleta katika bank yao.
Ambapo kwa kile mteja ambaye utakuwa ukimpeleka utakuwa ukipewa kamisheni ya sh. 1000/ elfu moja yaani BUKU.