Tanzania opposes AU intervention force in Burundi, pushes 'political solution'

Kuna baadhi ya masuala unatakiwa kuyajadili ukiwa na jicho la tatu ukilikosa lazima utakuwa unaropoka.Nadhani mkuu Kituko yuko sahihi sana sema wewe umezoea siasa za CDM na CCM.
Umeona unakuta watu hatasiasa yenyewe hawaijuikazi kufuata mkumbo
 
Last edited by a moderator:
Unahitaji kuwa na roho ngumu tu kuongea uongeayo. Hebu isome hiyo root hapo ubavuni mwa hiyo hiace. Umbali wote huo wa Kisii hadi Nairobi unawezaje kusafurisha abiria ndani ya hivyo viberiti!! Ninyi watu ni burw sana, mmejitahidi sana kuijenga Nairobi lakini the rest of your country when compared to Tanzania up countries, Tanzania is far better.
Shida yetu ni kwamba hata tukiiongelea Mtwara au Tabora basi ninyi mtataka kuifananisha na Nairobi

Mkuu wakenya kwa kujisifu kawaida yao unaweza kuta tambo zote hz za MK254 ukakuta anaishi kibera kwenye nyumba ya mabati,juzi kati lilipotokea lile tukio la alshabab kuteka lile bus lenye chasis la lori,nilishangaa sana ile barabara yao ya vumbi,nbi to mandera sidhani km ni zaidi ya km 300,barabara km ile huwezi ikuta bongo hata usafiri dar to kigoma almost km 2800 huwezi kukutana na barabara ya tope!!
 
Last edited by a moderator:
Kule visiwa vya Comoro bila hata kutumwa na mtu, Tanzania tulipeleka Askari wa kutosha na kufanya mapinduzi, hakutaka siasa. Sasa leo Burundi ambako kunanuka damu za watu wanaouwawa kila siku, Eti Tanzania inapinga jeshi la AU la kulinda Amani lisipelekwe, badala yake siasa zitumike!

Uwendazimu huu.

Visiwa vya Comoro viko chini ya Tanzania, tofauti ya nchi yako ya Zanzibar na Comoro ni kuwa Zanzibar iko rasmi ndani ya Muungano wakati Comoro haiko rasmi
 
Nimepata mambo mapya hapa...nadhan tukijadiliana kwa namna hii tutafika mbali sana....Lakini mbona naona...mizigo mingi sana ya kwenda congo DRC kutoka bandarini inapita mpaka wa rusumo.....ambao uko Rwanda....kati ya border ambayo imepooza sana ni border ya Kabanga iliyopo wilayani Ngara....Lakini hata ukija kuangalia baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe kumalizika nchini Rwanda na Burundi wilaya za pembezoni mwa Tanzania zimekufa kabisa kimaendeleo...na wananchi wa sehemu hizo cha kushangaza wanaomba watu wavurugane ili wanufaike kiuchumi kwa kupokea wakimbizi.
Kwa aliewahi kwenda wilaya hizo wakati wa vita ilipokuwa imepamba moto burundi anaweza kuelewa ninachosema.
Lakini pamoja na hayo yote nadhan viongozi wa juu wanafahamu what is behind Burundi Conflicts.
DR Magufuli will take care of everything....

Unachokiongea kina ukweli kabisa, Mizigo mingi inayoenda DRC hasa north Kivu (Goma na sehemu jirani) na part ya south Kivu (Bukavu) inapitia Rwanda, kuliko Kabanga, na hapo sio sana issue ya umbali bali miundo mbinu ya DRC ni mibovu sana, kutoka Kabanga mpaka DRC ni karibu zaidi ya kutoka Rusumo mpaka DRC, ila ukipitia Kabanga mpaka ufike Goma ni shughuli Pevu

Swali itakuwaje ikiwa Rwanda na Burundi wakiamua kufunga njia zao au wakiamua kuweka kodi kubwa ya Maroli yanayopita kama transit?, Rwanda anaweza kufanya hivyo na aalishawahi fanya hivyo, so anajulika kwa hilo, vipi tuipoteze pia Burundi?, na hapa swali ni kwa nini Uganda na Rwanda ndio wanataka kumuweka mtu wao madarakani? Ili iweje? Wanaplan gani?
 
Kituko kuna kitu unalazimisha sana kiwepo wakati sio kweli.
Burundi ni mali ya warundi wenyewe, wao ndio mwenye mamlaka na nchi yao, regardless kamaa Uganda, Rwanda, Kenya, Tanzania nk tuna maslahi hapo.
Hoja ya msingi ni hizi hapa.
1/Hali ya usalama nchini Burundi ni tete sana, watu wanazidi kuuwawa. Hakuna usalama wa maisha ya warundi na mali zao. Ni muhimu na lazima jeshi la AU la kulinda amani liende sasa, wakati taratibu zingine za kutatua mzozo zikiendelea. Hili ni kwa maslahi ya warundi wote na pande zinazovutana.

2/Piere Nkurunzinza anadaiwa amevunja makubaliano ya Amani ya Arusha na Pia amevunja katiba ya Burundi kwa kutaka kuendelea kutawala. Na hichi ndio kiini cha Mzozo wote. Sasa hizo story za kuitaja Rwanda au Uganda ndizo hizo hizo Zinaitaja Tanzania pia katika kuivuruga Amani ya Burundi. Tusikwepe kiini cha Tatizo ili kutaka kuharalisha mauaji na ukandamizaji wa warundi.
 
Umeiweka sawa sana, hongera.
 
You have said it all.

huyo mkikuyu ndivyo alivyo, huwa anajifanya anajua kila kitu..lakini hana lolote...empty debes make the loudest noise...a fact is tht kenyans cannot even coexist in a single forum of their own without tribalism...yaani ukiingia hata fb pages zao utashangaa tuu...ila lijitu liko hapa mda wote, mambo ya wabongo yanamsumbua sana huyu kike..
 
Kituko kuna kitu unalazimisha sana kiwepo wakati sio kweli.
Burundi ni mali ya warundi wenyewe, wao ndio mwenye mamlaka na nchi yao, regardless kamaa Uganda, Rwanda, Kenya, Tanzania nk tuna maslahi hapo.
Hoja ya msingi ni hizi hapa.
1/Hali ya usalama nchini Burundi ni tete sana, watu wanazidi kuuwawa. Hakuna usalama wa maisha ya warundi na mali zao. Ni muhimu na lazima jeshi la AU la kulinda amani liende sasa, wakati taratibu zingine za kutatua mzozo zikiendelea. Hili ni kwa maslahi ya warundi wote na pande zinazovutana.

2/Piere Nkurunzinza anadaiwa amevunja makubaliano ya Amani ya Arusha na Pia amevunja katiba ya Burundi kwa kutaka kuendelea kutawala. Na hichi ndio kiini cha Mzozo wote. Sasa hizo story za kuitaja Rwanda au Uganda ndizo hizo hizo Zinaitaja Tanzania pia katika kuivuruga Amani ya Burundi. Tusikwepe kiini cha Tatizo ili kutaka kuharalisha mauaji na ukandamizaji wa warundi.

kwa akili yako AU wakiingiza majeshi hali itatulia?
 
Last edited by a moderator:
haujitambui! kwa hiyo Tanzania is against AU? why? naona hauelewi kinachoendelea... haya mazungumzo yanaenda sambamba na utumaji wa majeshi ya AU kusimamisha mauwaji iwapo ndugu zako wataendelea kama kawaida yao... kwa upande mwingine hata mkisimamisha mauwaji it is too late, majeshi lazima yatakwenda kusimamia utekelezaji wa mambo watakayo kuwa wamekubaliana kule Kampala... kwa kifupi ni hali kama ile iliyopelekea Nkurumbi kuomba UN imsindikize Burundi kutokana na kutowaamini warundi wenzake kipindi kile, kama unakumbuka baada ya makubaliano ya Arusha, alipewa wanajeshi wa SA kumuhakikishia usalama wake

Nkurunzinza alioomba kusindikizwe na UN kwani hakuwaamini watusti wa Burundi ambao walikua wamejazana jeshini.

Kamwe wahutu hawatasahu mulivyo muua Ndadaye. Sasa wembe shingoni. Mkileta mlizomletea Ndadaye hakuna namna watawachinja tu
 
Hao panya-road wa kitutsi ndiyo wanaoleta shida huko Burundi
 
lol! kwa hiyo hakuna vita lakini watu wanaendelea kuuwawa na wakimbizi wanazidi kufurika? kwa hiyo tumlaumu nani? I guess Kagame... Zanzibar-ASP

Hakuna vita Burundi, kuna wendawazimu tu wanaosumbua RAIA kama ilivyo nchi nyingine yoyote duniani ambayo mauaji huwa hayakosekani. Hapa Tanzania juzi tu wameuawa RAIA wema kwa risasi,kwa hiyo mnataka mlete jeshi la AU Tanzania?
 
Last edited by a moderator:
Nkurunzinza alioomba kusindikizwe na UN kwani hakuwaamini watusti wa Burundi ambao walikua wamejazana jeshini.

Kamwe wahutu hawatasahu mulivyo muua Ndadaye. Sasa wembe shingoni. Mkileta mlizomletea Ndadaye hakuna namna watawachinja tu

Sahihi kabisa mkuu
 
Good question mkuu. Let me tell you one thing, si umemsikia kagame amesema hapeleki jeshi Burundi kulinda amani ? Huku nyuma anamsisitiza museveni ahimize majeshi yapelekwe ili kumpindua nkurunziza, cha ajabu Rwanda tu ndio inaona kuwa kuna vurugu Burundi nchi zingine hazioni ? Baada ya msimamo wa Tanzania warundi kwa wingi wao na umoja wao leo wamefanya maandamano makubwa kupinga uinguzwaji wa jeshi la kulinda amani Burundi maana wao hawana vita.

Mkuu wala husiwe na wasi wasi mbinu zoa zote zilisha shutukiwa siku nyingi tu na Viongozi wa Africa wanao tambua vizuri hulka za Mseveni na Kagame, kinacho endelea wanawapa enough rope wajimalize wenyewe - M7 hana ubavu wa kulazimisha chochote Barani Africa labda nchini mwake Uganda au Rwanda, wahusika watamsikiliza mapendekezo yake ya kinafiki halafu watamkatalia kidiplomasia ili hasijisikie vibaya basi.

Ni Kiongozi gani Barani Afrika mwenye akili timamu anaweza kuwachukulia seriously binadamu wenye elements za u-lunacy na dhalau zilizo pitiliza mipaka - kukaa kwao madarakani kwa robo karne wanajiona wana akili kuliko kiongozi yeyote within Continental Africa, nani ambae hajui kwamba M7 na PK lao moja? Eti hapeleki majeshi Burundi - ulaghai mtupu.

Mkuu we unafikiri kwa nini Rwanda inapigia debe uwepo wa majeshi ya kulinda Amani Burundi - wanafikia mpaka hatua ya kuwaonga wandishi wa habari,magazeti - tuseme media karibu zote ili wazuge Dunia kwamba Burundi inakaribia kutekeleza genocide - Serikali ya Rwanda ni mahili sana kutumia media kuchezea watu akili - Mchambawima1 ni sehemu tu ya watu waliokuwa planted humu na Serikali yao kutekeleza propaganda zao za kitoto, mimi nilishagunduwa hilo siku nyingi tu - wakati mwingine wanatumia multiple alias names kuficha their true identity - wanafikiri Watanzania hatuna akili za kulingamua hilo.

Mchambawima1 ni hivi: Plan "A" yenu imegonga mwamba baada ya waasi walio kuwa recruited kwenye makambi yenu ya wakimbizi kuvurumishwa na majeshi ya Nkuruzinza walipo jaribu kuvamia makambi za kijeshi Bujumbura - who knows wangeweza kabisa kuvamia hata Ikulu - sina shaka na wewe unakubali kwamba plan "A" imesombwa na Tsunami.

Sasa naona mmevalia njuga plan "B" mnataka majeshi ya A.U yaingie kwa nguvu Burundi, Nkuruzinza akose mamlaka ya kudhibiti amani na Uongozi Nchini mwake halafu nyie mtumie udhaifu huo kurubuni baadhi ya wanajeshi wa AU wasio waminifu au mpenyeze majasusi wenu kutekeleza malengo yenu ya siku nyingi ya kumuweka madarakani Mtutsi mwenzenu - kukasirika kasirika kwako ovyo kunadhilisha hilo.

Mbinu za kutumia vibaya majeshi UN/AU ya kulinda amani yaliwahi kutokea huko Kongo kwenye miaka 1960s - udhaifu wa majeshi ya UN uliwezesha majasusi wajipenyeze na kumkamata Waziri Mkuu wa Kongo Patrice Lumumba,walifanikiwa kumuua actually alipigwa risasi pamoja na viongozi wenzake wachache - Maiti ya Lumumba ilitumbukizwa kwenye pipa kubwa lililo jaa Sulphuric au Nitric Acid!! Baada ya kumuua Patrice Lumumba wajasusi walimuweka madarakani puppet wao Mobutu Tse Tseko KukuMbenju wa Tzabanga - what a mouthful...., sasa na nyinyi Rwanda na Watutsi wa Burundi hilo ndilo lengo lenu kuu msitake kuzuga watu hapa - sisemi mnataka kumtoa pumzi Padri/Mchungaji Nkuruzinza, lakini mnaonekana mko determined kweli kweli - the good news is: HAMTAFANIKIWA - Kumbuka kwamba Warundi wote wako nyuma ya Nkuruzinza come rain or shine.
 
hivi ni nyinyi watanzania "EAC Super power" tu ndio mnao ona mambo ya Burundi tofauti na waafrica wenzenu, EU, US and others? linapokuja swala la mauwaji ya kikabila then don't count on Rwanda to defend you! remember never again isn't a slogan! hadi hivi huwa nnajiuliza huko UN huwa unafanya kazi gani endapo akili zenyewe ndio kama hizi... story za kuungaunga nikikuuliza swali haurudi tena na baada yake unakuja ni vistory vipya kwa kupitia mlango wa nyuma, haujisikii haibu? nnapo muongelea Nkurumbi huwa nnaleta facts na sio ku shout tu kama wewe... jMali, vyuma, einstein newton
 
Last edited by a moderator:
Hakuna vita Burundi, kuna wendawazimu tu wanaosumbua RAIA kama ilivyo nchi nyingine yoyote duniani ambayo mauaji huwa hayakosekani. Hapa Tanzania juzi tu wameuawa RAIA wema kwa risasi,kwa hiyo mnataka mlete jeshi la AU Tanzania?
dah! yani wewe... afadhali ya Bukyanagandi anaye ulizwa maswali na kukimbia na baaaaaadaye sana unamuona kaibukia upande wa pili na story mpya! lakini wewe duh! yani pumba mtindo mmoja tena bila aibu ya watu watakaosoma utmbo wako... jMali, Bukyanagandi, einstein newton
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wala husiwe na wasi wasi mbinu zoa zote zilisha shutukiwa siku nyingi tu na Viongozi wa Africa wanao tambua vizuri hulka za Mseveni na Kagame, kinacho endelea wanawapa enough rope wajimalize wenyewe - M7 hana ubavu wa kulazimisha chochote Barani Africa labda nchini mwake Uganda au Rwanda, wahusika watamsikiliza mapendekezo yake ya kinafiki halafu watamkatalia kidiplomasia ili hasijisikie vibaya basi.

Ni Kiongozi gani Barani Afrika mwenye akili timamu anaweza kuwachukulia seriously binadamu wenye elements za u-lunacy na dhalau zilizo pitiliza mipaka - kukaa kwao madarakani kwa robo karne wanajiona wana akili kuliko kiongozi yeyote within Continental Africa, nani ambae hajui kwamba M7 na PK lao moja? Eti hapeleki majeshi Burundi - ulaghai mtupu.

Mkuu we unafikiri kwa nini Rwanda inapigia debe uwepo wa majeshi ya kulinda Amani Burundi - wanafikia mpaka hatua ya kuwaonga wandishi wa habari,magazeti - tuseme media karibu zote ili wazuge Dunia kwamba Burundi inakaribia kutekeleza genocide - Serikali ya Rwanda ni mahili sana kutumia media kuchezea watu akili - Mchambawima1 ni sehemu tu ya watu waliokuwa planted humu na Serikali yao kutekeleza propaganda zao za kitoto, mimi nilishagunduwa hilo siku nyingi tu - wakati mwingine wanatumia multiple alias names kuficha their true identity - wanafikiri Watanzania hatuna akili za kulingamua hilo.

Mchambawima1 ni hivi: Plan "A" yenu imegonga mwamba baada ya waasi walio kuwa recruited kwenye makambi yenu ya wakimbizi kuvurumishwa na majeshi ya Nkuruzinza walipo jaribu kuvamia makambi za kijeshi Bujumbura - who knows wangeweza kabisa kuvamia hata Ikulu - sina shaka na wewe unakubali kwamba plan "A" imesombwa na Tsunami.

Sasa naona mmevalia njuga plan "B" mnataka majeshi ya A.U yaingie kwa nguvu Burundi, Nkuruzinza akose mamlaka ya kudhibiti amani na Uongozi Nchini mwake halafu nyie mtumie udhaifu huo kurubuni baadhi ya wanajeshi wa AU wasio waminifu au mpenyeze majasusi wenu kutekeleza malengo yenu ya siku nyingi ya kumuweka madarakani Mtutsi mwenzenu - kukasirika kasirika kwako ovyo kunadhilisha hilo.

Mbinu za kutumia vibaya majeshi UN/AU ya kulinda amani yaliwahi kutokea huko Kongo kwenye miaka 1960s - udhaifu wa majeshi ya UN uliwezesha majasusi wajipenyeze na kumkamata Waziri Mkuu wa Kongo Patrice Lumumba,walifanikiwa kumuua actually alipigwa risasi pamoja na viongozi wenzake wachache - Maiti ya Lumumba ilitumbukizwa kwenye pipa kubwa lililo jaa Sulphuric au Nitric Acid!! Baada ya kumuua Patrice Lumumba wajasusi walimuweka madarakani puppet wao Mobutu Tse Tseko KukuMbenju wa Tzabanga - what a mouthful...., sasa na nyinyi Rwanda na Watutsi wa Burundi hilo ndilo lengo lenu kuu msitake kuzuga watu hapa - sisemi mnataka kumtoa pumzi Padri/Mchungaji Nkuruzinza, lakini mnaonekana mko determined kweli kweli - the good news is: HAMTAFANIKIWA - Kumbuka kwamba Warundi wote wako nyuma ya Nkuruzinza come rain or shine.
Mkuu sina la kuongeza, umemaliza kila kitu.Hongera sana kwa uchambuzi mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom