Tanzania opposes AU intervention force in Burundi, pushes 'political solution'

Mkuu wala husiwe na wasi wasi mbinu zoa zote zilisha shutukiwa siku nyingi tu na Viongozi wa Africa wanao tambua vizuri hulka za Mseveni na Kagame, kinacho endelea wanawapa enough rope wajimalize wenyewe - M7 hana ubavu wa kulazimisha chochote Barani Africa labda nchini mwake Uganda au Rwanda, wahusika watamsikiliza mapendekezo yake ya kinafiki halafu watamkatalia kidiplomasia ili hasijisikie vibaya basi.

Ni Kiongozi gani Barani Afrika mwenye akili timamu anaweza kuwachukulia seriously binadamu wenye elements za u-lunacy na dhalau zilizo pitiliza mipaka - kukaa kwao madarakani kwa robo karne wanajiona wana akili kuliko kiongozi yeyote within Continental Africa, nani ambae hajui kwamba M7 na PK lao moja? Eti hapeleki majeshi Burundi - ulaghai mtupu.

Mkuu we unafikiri kwa nini Rwanda inapigia debe uwepo wa majeshi ya kulinda Amani Burundi - wanafikia mpaka hatua ya kuwaonga wandishi wa habari,magazeti - tuseme media karibu zote ili wazuge Dunia kwamba Burundi inakaribia kutekeleza genocide - Serikali ya Rwanda ni mahili sana kutumia media kuchezea watu akili - Mchambawima1 ni sehemu tu ya watu waliokuwa planted humu na Serikali yao kutekeleza propaganda zao za kitoto, mimi nilishagunduwa hilo siku nyingi tu - wakati mwingine wanatumia multiple alias names kuficha their true identity - wanafikiri Watanzania hatuna akili za kulingamua hilo.

Mchambawima1 ni hivi: Plan "A" yenu imegonga mwamba baada ya waasi walio kuwa recruited kwenye makambi yenu ya wakimbizi kuvurumishwa na majeshi ya Nkuruzinza walipo jaribu kuvamia makambi za kijeshi Bujumbura - who knows wangeweza kabisa kuvamia hata Ikulu - sina shaka na wewe unakubali kwamba plan "A" imesombwa na Tsunami.

Sasa naona mmevalia njuga plan "B" mnataka majeshi ya A.U yaingie kwa nguvu Burundi, Nkuruzinza akose mamlaka ya kudhibiti amani na Uongozi Nchini mwake halafu nyie mtumie udhaifu huo kurubuni baadhi ya wanajeshi wa AU wasio waminifu au mpenyeze majasusi wenu kutekeleza malengo yenu ya siku nyingi ya kumuweka madarakani Mtutsi mwenzenu - kukasirika kasirika kwako ovyo kunadhilisha hilo.

Mbinu za kutumia vibaya majeshi UN/AU ya kulinda amani yaliwahi kutokea huko Kongo kwenye miaka 1960s - udhaifu wa majeshi ya UN uliwezesha majasusi wajipenyeze na kumkamata Waziri Mkuu wa Kongo Patrice Lumumba,walifanikiwa kumuua actually alipigwa risasi pamoja na viongozi wenzake wachache - Maiti ya Lumumba ilitumbukizwa kwenye pipa kubwa lililo jaa Sulphuric au Nitric Acid!! Baada ya kumuua Patrice Lumumba wajasusi walimuweka madarakani puppet wao Mobutu Tse Tseko KukuMbenju wa Tzabanga - what a mouthful...., sasa na nyinyi Rwanda na Watutsi wa Burundi hilo ndilo lengo lenu kuu msitake kuzuga watu hapa - sisemi mnataka kumtoa pumzi Padri/Mchungaji Nkuruzinza, lakini mnaonekana mko determined kweli kweli - the good news is: HAMTAFANIKIWA - Kumbuka kwamba Warundi wote wako nyuma ya Nkuruzinza come rain or shine.

Mkuu @Bukyanagandi umemaliza kila kitu shida ya Rwanda nikuona mTutsi anatawala Burundi na hili naona serekali ya Dr Magufuli chini ya nguli wa diplomasia Dr Mahiga wameshalibaini siku nyingi.Bila shaka Dr Vasco alipomkabidhi ofisi Dr Magufuli suala ya EAC & CoW alilisasambua vizuri anachofanya Dr Magu & Dr Mahiga ni kuhakikisha serekali ya Bujumbura inabaki salama kama hatua madhubuti za kudhibiti amani ya kudunu eneo lote la maziwa makuu.

Kati ya mambo niliyokuwa na wasiwasi nayo iwapo serekali ingeangukia chini ya utawala wa UKAWA ni ukosefu wa ujuzi,mbinu na mikakati ya muda mfupi na mrefu wa kushughulikia masuala ya EAC.Nadhani serekali ya UKAWA ingeingia kichwa kichwa na kuikandamiza Burundi na baadae wajikute Burundi imeangukia CoW mbinyo wa kiuchumi,usalama hakika usingeiacha Tanzania salama badala yake kila pendekezo hata lisilokuwa na maslahi na wananchi wa Tanzania tungejikuta tunakubaliana nao ikiwemo ajira,ardhi,uraia na mwisho wa siku ingetengenezwa serekali ya kidikiteta Tanzania ili kuendena na matakwa ya CoW.
 
nyie watu mnanishangaza kweli! sasa amani gani mtakayopeleka kule zaidi ya iliyoletwa na makubaliano ya Arusha? kumbuka(thanks to Arusha agreements) kwa mara ya kwanza nadani ya mda mrefu burundi imekuwa na amani kwa miaka 10 na yalipo puuzwa, amani ikaisha... hay sasa, nini cha kufanya nie wenye akili nyingi na "super power"? hebu niambieni, labda mnaweza mkanishawishi kukubaliana nanyi but pleeeeeeeeas, this time use common sense! chuki pembeni!
 
Mkuu @Bukyanagandi umemaliza kila kitu shida ya Rwanda nikuona mTutsi anatawala Burundi na hili naona serekali ya Dr Magufuli chini ya nguli wa diplomasia Dr Mahiga wameshalibaini siku nyingi.Bila shaka Dr Vasco alipomkabidhi ofisi Dr Magufuli suala ya EAC & CoW alilisasambua vizuri anachofanya Dr Magu & Dr Mahiga ni kuhakikisha serekali ya Bujumbura inabaki salama kama hatua madhubuti za kudhibiti amani ya kudunu eneo lote la maziwa makuu.

Kati ya mambo niliyokuwa na wasiwasi nayo iwapo serekali ingeangukia chini ya utawala wa UKAWA ni ukosefu wa ujuzi,mbinu na mikakati ya muda mfupi na mrefu wa kushughulikia masuala ya EAC.Nadhani serekali ya UKAWA ingeingia kichwa kichwa na kuikandamiza Burundi na baadae wajikute Burundi imeangukia CoW mbinyo wa kiuchumi,usalama hakika usingeiacha Tanzania salama badala yake kila pendekezo hata lisilokuwa na maslahi na wananchi wa Tanzania tungejikuta tunakubaliana nao ikiwemo ajira,ardhi,uraia na mwisho wa siku ingetengenezwa serekali ya kidikiteta Tanzania ili kuendena na matakwa ya CoW.
Mkuu nimemsikia balozi Mahiga akihijiwa na mwandishi wa habari akisema kwamba amewakuta warundi wanafanya kazi zao kwa amani na furaha! Tena akaongeza kuwa warundi wanashangaa kusikia eti Burundi watu wanauwawa kila kukicha, mkuu ukiwasikiliza wapambe wa Kagame kuhusu Burundi utadhani ni jehanamu. Burundi ni amani tele,hizo picha wanazozionesha zingine ni vipande vya filamu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom