mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
najuwa hawawezi kulijibu! ila cha muhimu unachotakiwa kujuwa haya nimatokeo ya misheni za Kikwete na mpambe wake Membe... inanikumbusha mapadri wa kihuni wanaosema fanyeni nnayowaambia na sio nnayoyatenda... jamaa alienda Burundi akamshauri Nkurumbi kinafiki(kuzuga) eti akigombea tena vitaleta machafuko Burundi lakini kilivyo nuka tu huyo huyo ndiye aliyempa helicopter na kumrudisha Burundi akaendeleze mauwaji... ushauri wangu ni kwamba Magufuli asichukue ushauri wowote kutoka kwa wacheza madili kama vile Kikwete au Membe! ni chini ya utawala wao ndio tulianza kusikia Hima Empire hapa JF zikiambatana na safari zisizo isha za Membe kwenda Paris(ufaransa) wenye akili timamu tulikuwa tushajuwa kitakacho fuata, haikuchukuwa mda FDLR ikapewa dili la kwenda kufundisha Imbonerakure kufanya kazi(gukora) na baada ya hapo waje kusaidizana ku destabilize Rwanda kwa kupitia Burundi... but that won't happen even French guys know that... walijaribu kwa upande DRC tukawashikisha adabu, wakaona haitoshi wacha wajaribu kwa Nkurunziza kumbe ndio kwanza wanamtia kimavi! jMali, vyuma, BukyanagandiHilo swali la msingi ambalo hawatakujibu. Sasa hivi wameitelekeza Burundi wakati huku wakijiita super power wa EAC. Burundi imekua ikiwang'eng'ania Tanzania, ikagoma kujiunga na miradi ya CoW, sasa wapo kwenye matatizo, wananchi wake wanauawa kiholela. Umoja wa bara Uropa EU, Umoja wa Afrika AU na dunia yote wameona busara jeshi litumwe huko kuzuia maafa zaidi, halafu ghafla Tanzania ambao ndio ndugu zao wa karibu wameibuka na kupinga hilo wazo, huku hawaonekani kufanya lolote la msingi kuzuia hayo maafa.
Last edited by a moderator: