Tanzania opposes AU intervention force in Burundi, pushes 'political solution'

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Posts
7,038
Reaction score
9,353
Dec 24, 2015

TANZANIA opposes an African Union plan to deploy as many as 5,000 peacekeepers to stem violence in neighbouring Burundi and backs a political solution to the East African nation?s eight-month crisis, the Citizen newspaper reported.

Foreign Affairs Minister Augustine Mahiga will try to convince the AU to reconsider its proposal and give a chance to regionally backed negotiations, due to restart in Uganda on Dec. 28, the Dar es Salaam-based newspaper cited him as saying. Mahiga will travel to meet Ugandan President Yoweri Museveni, who?s leading the talks, as well as Burundian leader Pierre Nkurunziza this week, the Citizen said.

The African Union on Dec. 18 approved troops for Burundi, where violence spurred by Nkurunziza?s bid for a third presidential term has left more than 400 people dead since April. The AU also suggested it would send in a force even if the Burundi government is opposed it, saying another genocide would not happen on its watch.

Burundian officials, given four days to agree, have rejected the plan, saying it would violate the country?s sovereignty.

On Tuesday Rwanda?s President Paul Kagame said the eight-month crisis in Burundi may need armed intervention to quell the violence, while ruling out sending Rwandan troops.

?The crisis in Burundi is political, not military, but it may require some level of military to quiet down the guns,? Kagame said Tuesday in televised comments after a national political conference in the capital, Kigali. ?We are appealing to Burundians to sort out their problems.?

However, Kagame said Rwanda would not be directly in any such effort.

Tanzania has historically played big brother to Burundi, and expects its view of events on Burundi to be taken seriously. It also tries as much as it can not to be at odds with Bujumbura.

It is currently hosting more than 120,000 refugees from Burundi, according to Mahiga.

On a personal note, Mahiga must be approaching the Burundi crisis with a mild sense of de javu.

Previously, he was the United Nations Special Representative and Head of the United Nations Political Office for Somalia, and part of the effort to stitch back the broken Horn of Africa nation.
 
I think we should stay out of Burundi's business, we have got our own mess to deal with. If they don't wanna live in peace then let them destroy each other. We are tired of dealing with their mess.
 
Kaka kama Mtanzania lazima ujue Geopolitics za East africa, Burundi ndio getway yetu reliable iliyobaki kuingia EAST DRC, watu wa COW wanalazimisha Burundi iwe chini ya raisi mwingine ambaye wanaweza kubully na kuiingiza Burundi ndani ya COW, kama Mtanzania lazimaufatilie kwa makini sana hapa tunazungumzia Bandari yetunya Dar na mustakabarimwa Taifa letu kwa ujumla wake

mgogoro wa Burundi una support kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na DRC kwa mbali, Kenya/Mombasa wanapigania sana kuimonopoly biashara ya Mizigo kupitia route ya Mombasa-Uganda-Rwanda-Burundi-DRC

Soma na fatilia kaka usiwe mtu wa kukubali eti kwa sababu mzungu kasema
 
hawa wanamsikiliza yule jamaa wa kuzungusha mikono rafiki ya kagame
 
Kaka kama Mtanzania lazima ujue Geopolitics za East africa, Burundi ndio getway yetu reliable iliyobaki kuingia EAST DRC, watu wa COW wanalazimisha Burundi iwe chini ya raisi mwingine ambaye wanaweza kubully na kuiingiza Burundi ndani ya COW, kama Mtanzania lazimaufatilie kwa makini sana hapa tunazungumzia Bandari yetunya Dar na mustakabarimwa Taifa letu kwa ujumla wake

mgogoro wa Burundi una support kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na DRC kwa mbali, Kenya/Mombasa wanapigania sana kuimonopoly biashara ya Mizigo kupitia route ya Mombasa-Uganda-Rwanda-Burundi-DRC

Soma na fatilia kaka usiwe mtu wa kukubali eti kwa sababu mzungu kasema

Ukiwa na akili za Lumumba kazi kupangilia uogo tu.
 
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.

Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.

Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.
 
Unamaanisha Kuruzinza kubaka democrasia na kusababisha wakimbizi na mauaji ni sahihi? Kuruzinza anatakiwa atoke aidha kwa nguvu ama vyovyote vile nashukuru tu Wazanzibar wameamua kutumia hekima kwa kuwa na subira tofauti na hivyo hata Maalim Seifu nae mngesema anatumiwa na Kenya, Uganda na Rwanda kwa namna mlivyoashibishwa propaganda ambazo hata mtoto wa nursery anaweza kuziona mapema tu. Juzi tu kabla ya uchaguzi hata Lowassa alikuwa anatuhumiwa kuwa ni pandikizi mkiongozwa na marehemu Mtikila sasa kaamua kulinda amani kwa kuwajenga kisaikolojia mashabiki wake wakubaliane na matokeo na kuepusha umwagaji damu.
 
Kaka kama Mtanzania lazima ujue Geopolitics za East africa, Burundi ndio getway yetu reliable iliyobaki kuingia EAST DRC, watu wa COW wanalazimisha Burundi iwe chini ya raisi mwingine ambaye wanaweza kubully na kuiingiza Burundi ndani ya COW, kama Mtanzania lazimaufatilie kwa makini sana hapa tunazungumzia Bandari yetunya Dar na mustakabarimwa Taifa letu kwa ujumla wake

mgogoro wa Burundi una support kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na DRC kwa mbali, Kenya/Mombasa wanapigania sana kuimonopoly biashara ya Mizigo kupitia route ya Mombasa-Uganda-Rwanda-Burundi-DRC

Soma na fatilia kaka usiwe mtu wa kukubali eti kwa sababu mzungu kasema

Boresha bandari na miundo mbinu, wala hutakua na haja ya kuhangaika nani rafiki yako wala nini. Jameni Wabongo mtaamka lini na kuelewa biashara haina urafiki wala undugu ila maslahi tu. Sasa badala ya kutia bidii kuboresha miundo mbinu ya kuwafikishia hao Wakongoman mizigo yao kwa wakati, mpo busy kulalamika eti matatizo ya Burundi yapo kwa ajili ya kuwazuia kibiashara.

Muendelee kusubiri hapo mkilia lia wakati sisi tupo mbioni kuikamilisha reli ya kisasa hadi kwa Kagame, na hapo tunaunganisha hadi kwa hao Kongoman

images

sgr.png
 
Mambo yote tuyafanyayo yana ukweli na uongo wake ambao hauwezi kubadilishwa kwa wewe kuandika au kutoandika hapa.
Kwa maana hiyo unakubali kuwa anachofanya Nkulunzinza kiendele kwa ajili ya maslahi mapana ya Tanzania huku Warundi wakifa!?
Ni kweli kwa ni kati ya wananchi milioni 10 wa Burundi unadhani ni mwananchi mmoja tu Nkurunzinza anayeweza kutusaidia katika kuinusuru bandari ya Dar es Salaam ambayo wote tumeshuhudia ilivyokuwa imeoza!?
 
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.

Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.

Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.
Watanzania tuna matatizo na tusipoangalia matatizo yetu yatazidi kuongezeka kila uchao. Inawezekana waliotuaminisha hizi propaganda ni lile genge ambalo lilikuwa likisimamia wizi wa makontena bandarini ambapo wengine wameshaanza kujitetea kabla hata ya kuhojiwa!
bandari ya Dar es Salaam ni strategic katika ukanda huu na hilo halitakaa liondoke. Ndio maana baada ya Magufuli kulibaini ameanza kwa kuisafisha badala ya kuendeleza propaganda za kitoto za eti Wakenya na Wanyarwanda.
Jamani tusisahau dunia ni nchi moja na sisi ndio raia, sahau mambo ya mipaka, rangi, dini wala makabila bali pale ukiona binadamu mwenzio anatahabika kama zile maiti zinazookotwa Burundi kila uchao inabidi uguswe.
Kosa kubwa la Nkulunzinza ni kutomuandaa mrithi kwani hapa Tanzannia ccm inaweza kutuletea hata candidates ambao ni dhaifu sana lakini tunakuwa tunahesabia miaka yao kumi tunajua ikiisha itakuja mwingine na amani inaendelea!

Boresha bandari na miundo mbinu, wala hutakua na haja ya kuhangaika nani rafiki yako wala nini. Jameni Wabongo mtaamka lini na kuelewa biashara haina urafiki wala undugu ila maslahi tu. Sasa badala ya kutia bidii kuboresha miundo mbinu ya kuwafikishia hao Wakongoman mizigo yao kwa wakati, mpo busy kulalamika eti matatizo ya Burundi yapo kwa ajili ya kuwazuia kibiashara.

Muendelee kusubiri hapo mkilia lia wakati sisi tupo mbioni kuikamilisha reli ya kisasa hadi kwa Kagame, na hapo tunaunganisha hadi kwa hao Kongoman

images

sgr.png

Hako karoute mmekajaribu sana lakini hakana tija yo yote. Bado the best route ni kutoka dar! Waulize hao cow mbwembwe zote zimeishia wapi? Kila aliyealikwa kuingia cow anatoka kimya kimya na akitoka huko anapitia Dar kwa ushauri!
 
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.

Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.

Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.

Naam , nakukubali mkuu; good analysis, safi sana!
 
Supporting mauwaji kwa kijiadanganya eti ni yeye tu anaweza kuongoza nchi huo ni wazimu. lukindo umenena vyema kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hako karoute mmekajaribu sana lakini hakana tija yo yote. Bado the best route ni kutoka dar! Waulize hao cow mbwembwe zote zimeishia wapi? Kila aliyealikwa kuingia cow anatoka kimya kimya na akitoka huko anapitia Dar kwa ushauri!

Pia tunasubiri na kuunganisha na Mwanza na Kaskazini mwa Tanzania yote. Hao wafanyi biashara na wajasiria lazima tuwafuate fuate. Piga kazi wacha propaganda na siasa.
 
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.

Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.

Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.

Mkuu mnatakiwa watu kama nyinyi mnaoangalia mambo kwa upana wake. Kuna njemba humu jamvini wanazoza tu bila h?ta kuangalia nje ya mada husika.
 
Mambo yote tuyafanyayo yana ukweli na uongo wake ambao hauwezi kubadilishwa kwa wewe kuandika au kutoandika hapa.
Kwa maana hiyo unakubali kuwa anachofanya Nkulunzinza kiendele kwa ajili ya maslahi mapana ya Tanzania huku Warundi wakifa!?
Ni kweli kwa ni kati ya wananchi milioni 10 wa Burundi unadhani ni mwananchi mmoja tu Nkurunzinza anayeweza kutusaidia katika kuinusuru bandari ya Dar es Salaam ambayo wote tumeshuhudia ilivyokuwa imeoza!?

Nkurunziza kafanya nini ? Kagame amejipa ufalme Rwanda lakini mmeufyata. Museveni je ? Kwa muhima kung'ang'ania madaraka sawa ila kwa mmbantu hapana, acheni unafiki!
 
Kaka kama Mtanzania lazima ujue Geopolitics za East africa, Burundi ndio getway yetu reliable iliyobaki kuingia EAST DRC, watu wa COW wanalazimisha Burundi iwe chini ya raisi mwingine ambaye wanaweza kubully na kuiingiza Burundi ndani ya COW, kama Mtanzania lazimaufatilie kwa makini sana hapa tunazungumzia Bandari yetunya Dar na mustakabarimwa Taifa letu kwa ujumla wake

mgogoro wa Burundi una support kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na DRC kwa mbali, Kenya/Mombasa wanapigania sana kuimonopoly biashara ya Mizigo kupitia route ya Mombasa-Uganda-Rwanda-Burundi-DRC

Soma na fatilia kaka usiwe mtu wa kukubali eti kwa sababu mzungu kasema
You said it all, una akili sana
 
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.

Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.

Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.
Tunataka watu kama nyie -Asante kwa maelezo safi
 
Back
Top Bottom