Tanzania opposes AU intervention force in Burundi, pushes 'political solution'

Tanzania opposes AU intervention force in Burundi, pushes 'political solution'

Kule visiwa vya Comoro bila hata kutumwa na mtu, Tanzania tulipeleka Askari wa kutosha na kufanya mapinduzi, hakutaka siasa. Sasa leo Burundi ambako kunanuka damu za watu wanaouwawa kila siku, Eti Tanzania inapinga jeshi la AU la kulinda Amani lisipelekwe, badala yake siasa zitumike!

Uwendazimu huu.
 
once again, you just don't get it! we are very concerned as they collaborate with FDLR... our intelligence officers know how they got in there and the reason to be there... but if you don't believe us then you may ask Kikwete or Membe, they know much!

Man, thank you then for revealing kagame's secrets. Now i am sure people in the world knows exactly why you want nkurunziza (a hutu) to be dismissed from power! Eventually we are now aware to why Kigali is recruiting Burundi's refugees, you give them military training for two weeks then you send them to attack civilians or military barracks,once they are killed you faster run in medias to tell the world that nkurunziza is a killer! The same trick you used in Congo that you are after Fdlr while the truth is steeling Congo's wealth. You want a fellow hima to take over power in Burundi so that you can be safe, you are lying to yourselves, the only solution is for you to have talks with fdlr otherwise we will be sorry for you!
 
Tatizo kuu la Burundi ni Nkurunzinza kuendelea kutaka kubaki madarakani. Nina uhakika hata leo hii Nkurunzinza akiachia madaraka, Burundi itatulia kabisa.

Nkurunzinza ni JIPU!!
 
Sisi watanzania tumejaa UJINGA, UNAFIKI na UWENDAWAZIMU. Serikali yetu nayo imekuwa hivyo hivyo. Tuna matatizo makubwa sana katika bongo zetu.

Hali ya Burundi ni mbaya sana, watu wanauwawa kila siku kama kuku, wanaofanya hayo mauaji ni Askari na Makundi yenye Silaha. Hakuna kupoteza tena muda na Blah blah za kisiasa, Jeshi la kulinda Amani la AU ni lazima linapaswa kupelekwa sasa ili kulinda maisha ya watu na mali zao. Huku hizo siasa zenu zikiendelea huku kwa wanafiki wanaojiita Watanzania.
jMali, vyuma, Bukyanagandi einstein newton
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Man, thank then for reveal kagame's secrets. Now i am sure people in th? world knows exactly why you want nkurunziza (a hutu) to be dismissed from power! Eventually we are now aware to why Kigali is recruiting Burundi's refugees, you give them military training for two weeks then you send them to attack civilians ,once they are killed you faster run in medias to tell the world that nkurunziza is a killer! The same trick you used in Congo that you are after Fdlr while the truth is steeling Congo's wealth. You want a fellow hima to take over power in Burundi so that you can be safe, you are lying to yourselves, the only solution is for you to have talks with fdlr otherwise we will be sorry for you!

vyuma acha ujinga wako. Unaandika vitu vya ajabu ajabu hapa. Uzushi unautengeneza mwenyewe halafu unaupost hapa then unakuja kuureply mwenyewe.
Huo ni ushetani mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
to protect the minority and to bring law and order in that country...

To protect what? Please don't make me laugh mchambawima1! Who are the minority? You mean your fellow tutsi? Come on, how long are going to cheat to yourselves? Burundi amani ni tele, na leo wananchi wamelipinga jeshi lenu la kihuni! Even nkosozana dhlamin zuma, today has congratulated president Magufuli for taking over the Burundi problems! Hayo majeshi unayolazomisha kwenda Burundi ili kumuweka muhima madarakani, umenoa! Hebu click mtandao huu "ikiriho. bi " ujifaidie ma-news!
 
Man, thank then for reveal kagame's secrets. Now i am sure people in th? world knows exactly why you want nkurunziza (a hutu) to be dismissed from power! Eventually we are now aware to why Kigali is recruiting Burundi's refugees, you give them military training for two weeks then you send them to attack civilians ,once they are killed you faster run in medias to tell the world that nkurunziza is a killer! The same trick you used in Congo that you are after Fdlr while the truth is steeling Congo's wealth. You want a fellow hima to take over power in Burundi so that you can be safe, you are lying to yourselves, the only solution is for you to have talks with fdlr otherwise we will be sorry for you!
ukabila utakumaliza wewe! Arusha agreements want him to go and not us, by the way I am not a government spokesperson but you need to support your allegations with some facts... last time I asked you to at least tell us the location of the training, name of the instructors and not just bla bla!
 
vyuma acha ujinga wako. Unaandika vitu vya ajabu ajabu hapa. Uzushi unautengeneza mwenyewe halafu unaupost hapa then unakuja kuureply mwenyewe.
Huo ni ushetani mkubwa.

Wewe ndio mjinga maana huelewi hata unachokiandika hapa. Hebu tuambie,,ni mahali gani kuna vita Burundi? Unazo taarifa kwamba leo wananchi wa province mbalimbali kwa maelfu wameandamana kupinga hilo jeshi unalolitaka wewe? Au wewe ni miongoni mwa wanajeshi wanaotaka kupelekwa Burundi ili ukawaibie wananchi? Huna ulijualo wewe, tafuta mtandao huu ujionee; ikiriho.bi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kinacho nisikitisha zaidi unakuta watu hao ni Watanzania wenzetu, hawaoni mbali hata kidogo - masaa yote wanafikiria masuala ya UKAWA, CCM na Lowassa!! Kama sio umahili wa TISS na JWTZ madui wetu wanaweza kijipenyeza Tanzania kirahisi na kutusambaratisha sisi tukiwa kwenye malumbano yasio na tija kuhusu vyama, hii ni hatari sana.

Kwa hiyo tuseme nawe ni mzaa miwani nyeusi??? Ngoja nianze kuifatiria ID yako na post zako tuone kama unauweza wa kuona maili mia.
 
To protect what? Please don't make me laugh mchambawima1! Who are the minority? You mean you fellow tutsi? Come on, how long are going to cheat to yourselves? Burundi amani ni tele, na leo wananchi wamelipinga jeshi lenu la kihuni! Even nkosozana dhlamin zuma, today has congratulated president Magufuli for taking over the Burundi problems! Hayo majeshi unayolazomisha kwenda Burundi ili kumuweka muhima madarakani, umenoa! Hebu click mtandao huu "ikiriho. bi " ujifaidie ma-news!
unachanganya mambo hao hao unaowaita watutsi kumbuka ya kwamba ndio walio mpa nchi aongoze baada ya makubaliano ya Arusha... sasa unategemea warundi wamkenulie kwa mambo ambayo waliyaheshimu na kumpa uongozi? kwa taarifa yako hawapiganii kumweka mtutsi! wanachopigania ni kuona Raisi muuwaji na dhaifu anawapisha, come on man, watu wote sio mafala kama ulivyo
 
Wewe ndio ---- maana unadanganya kweupee! Wadanganye mambulula wenzio, propaganda zako za kihunihuni tumezikataa na tutaendelea kuzikataa. Hao wananchi unaosema unaenda kuwakomboa sijui kuwatetea na zaidi hao unaowaita minority leo wameandamana kuupinga ufala wenu!
 
Wewe ndio mjinga maana huelewi hata unachokiandika hapa. Hebu tuambie,,ni mahali gani kuna vita Burundi? Unazo taarifa kwamba leo wananchi wa province mbalimbali kwa maelfu wameandamana kupinga hilo jeshi unalolitaka wewe? Au wewe ni miongoni mwa wanajeshi wanaotaka kupelekwa Burundi ili ukawaibie wananchi? Huna ulijualo wewe, tafuta mtandao huu ujionee; ikiriho.bi.
lol! kwa hiyo hakuna vita lakini watu wanaendelea kuuwawa na wakimbizi wanazidi kufurika? kwa hiyo tumlaumu nani? I guess Kagame... Zanzibar-ASP
 
Last edited by a moderator:
Sisi watanzania tumejaa UJINGA, UNAFIKI na UWENDAWAZIMU. Serikali yetu nayo imekuwa hivyo hivyo. Tuna matatizo makubwa sana katika bongo zetu.

Hali ya Burundi ni mbaya sana, watu wanauwawa kila siku kama kuku, wanaofanya hayo mauaji ni Askari na Makundi yenye Silaha. Hakuna kupoteza tena muda na Blah blah za kisiasa, Jeshi la kulinda Amani la AU ni lazima linapaswa kupelekwa sasa ili kulinda maisha ya watu na mali zao. Huku hizo siasa zenu zikiendelea huku kwa wanafiki wanaojiita Watanzania.

Ni ujinga na uhuni mkubwa sana kumlazimisha MTU apokee msaada wako ilhali hajakuomba!
 
Wewe ndio mjinga maana huelewi hata unachokiandika hapa. Hebu tuambie,,ni mahali gani kuna vita Burundi? Unazo taarifa kwamba leo wananchi wa province mbalimbali kwa maelfu wameandamana kupinga hilo jeshi unalolitaka wewe? Au wewe ni miongoni mwa wanajeshi wanaotaka kupelekwa Burundi ili ukawaibie wananchi? Huna ulijualo wewe, tafuta mtandao huu ujionee; ikiriho.bi.

vyuma nimekudharau sana. Unafanya mambo ya kitoto humu JF. Hiyo kitu unayofanya siyo sawa kabisa. Ni ujinga na ushamba. Haiwezekani Uje na Sumu yako kuja kutulisha humu then unajifanya kureply wakati source ni wewe mwenyewe.

Tukija kwenye Topic yetu, issue ya usalama burundi ndio kitu cha kwanza kwa sasa na should be very urgent.
Mauaji ya kuvizia yanaendelea mpaka sasa, kila siku kuna watu wanaokotwa wamekufa, na hakuna upande unaokubali kuhusika.

Kama ni waasi wanafanya hayo kwanini Jeshi la serikali linashindwa kuzuia hayo?
Na kama jeshi la serikali ndio linafanya mauaji hayo, nani atazuia hayo yasitokee?
Na kama hakuna viashiria vya vita kwanini wakimbizi kutoka Burundi wanazidi kuja Tanzania, Rwanda, Kongo nk?

Na hapo ndipo haja ya Jeshi la AU la kulinda Amani linapaswa haraka sana liwepo Burundi, kwa maslahi ya kila upande na warundi wote.
 
Last edited by a moderator:
lol! kwa hiyo hakuna vita lakini watu wanaendelea kuuwawa na wakimbizi wanazidi kufurika? kwa hiyo tumlaumu nani? I guess Kagame... Zanzibar-ASP

Exactly, it is paka to be blamed for all that is happening in Burundi.
 
Last edited by a moderator:
Ni ujinga na uhuni mkubwa sana kumlazimisha MTU apokee msaada wako ilhali hajakuomba!
ndugu zenu Interahamwe walikuwa wakisema hayohayo 94 lakini hatimaye UN ilipelekwa kwa nguvu, kama hauamini muulize jMali ukiwa umeshindwa kuheshimu makubaliano yaliyopelekea kukabidhiwa nchi na kuishia kuuwa raia wako wasio na hatia kisa eti wamekukumbusha majukumu yako basi lazima kieleweke zanziba-ASP
 
Last edited by a moderator:
vyuma nimekudharau sana. Unafanya mambo ya kitoto humu JF. Hiyo kitu unayofanya siyo sawa kabisa. Ni ujinga na ushamba. Haiwezekani Uje na Sumu yako kuja kutulisha humu then unajifanya kureply wakati source ni wewe mwenyewe.

Tukija kwenye Topic yetu, issue ya usalama burundi ndio kitu cha kwanza kwa sasa na should be very urgent.
Mauaji ya kuvizia yanaendelea mpaka sasa, kila siku kuna watu wanaokotwa wamekufa, na hakuna upande unaokubali kuhusika.

Kama ni waasi wanafanya hayo kwanini Jeshi la serikali linashindwa kuzuia hayo?
Na kama jeshi la serikali ndio linafanya mauaji hayo, nani atazuia hayo yasitokee?
Na kama hakuna viashiria vya vita kwanini wakimbizi kutoka Burundi wanazidi kuja Tanzania, Rwanda, Kongo nk?

Na hapo ndipo haja ya Jeshi la AU la kulinda Amani linapaswa haraka sana liwepo Burundi, kwa maslahi ya kila upande na warundi wote.
hayo maswali tushayauliza sana lakini badala ya kujibiwa we subili matusi na kuitwa Mtutsi anayetaka kupanua Hima-empire, kweli kikwete tutamkumbuka kwa mengi...
 
MK254, hujui kama kuna mkutano Entebe tar 28 Dec na January mwanzoni kutakuwa na mkutano mwingine Arusha, hizi ni juhudi za Tz za kujaribu kuachana kuletwa peacekeepers wa AU Burundi ila kutatua suala hili kidiplomasia na kisiasa.
mtanzania1989 Nafahamu tena sana kuhusu huo mkutano, ila pia unafaa uelewe huu sio mkutano wa kwanza kuhusu Burundi, imefanyika mingi tu na kufikia azimio kila mara, ila zinakiukwa hapo baadaye. Pia fahamu hali ya Burundi inafaa pawe na usimamizi wa jeshi kutoka nje maana taarifa zipo za wanajeshi wa serikali kuingia nyumba baada ya nyumba na kuwaulia mbali raia wa nchi. Hali kama hiyo lazima idhibitiwe kijeshi.

Kwa sasa hivi Tanzania haifai kupinga kauli ya Afrika yote, dunia yote wakati ilikua kimya hadi hali Burundi ikafikia hapa tulipo.
 
Last edited by a moderator:
Nimepata mambo mapya hapa...nadhan tukijadiliana kwa namna hii tutafika mbali sana....Lakini mbona naona...mizigo mingi sana ya kwenda congo DRC kutoka bandarini inapita mpaka wa rusumo.....ambao uko Rwanda....kati ya border ambayo imepooza sana ni border ya Kabanga iliyopo wilayani Ngara....Lakini hata ukija kuangalia baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe kumalizika nchini Rwanda na Burundi wilaya za pembezoni mwa Tanzania zimekufa kabisa kimaendeleo...na wananchi wa sehemu hizo cha kushangaza wanaomba watu wavurugane ili wanufaike kiuchumi kwa kupokea wakimbizi.
Kwa aliewahi kwenda wilaya hizo wakati wa vita ilipokuwa imepamba moto burundi anaweza kuelewa ninachosema.
Lakini pamoja na hayo yote nadhan viongozi wa juu wanafahamu what is behind Burundi Conflicts.
DR Magufuli will take care of everything....
 
Back
Top Bottom