Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,624
Ni aibu huku kukiwa matumizi ni makubwa hasaUchumi wa dunia unahusiana nini na Nzega, Isikizya, Tabora, Urambo, Kaliua, Igunga, Sikonge na vijiji vinavyozunguka miji hii kukosa maji ya uhakika toka tupate uhuru? Au miaka sitini baada ya uhuru tunajengewa vyoo na USAID katika shule zetu? Au tunazungumzia matundu ya vyoo miaka sitini baada ya uhuru badala ya shule ( utajengaje shule isio na vyoo vya kuaminika au utatumiaje majengo kama shule yasio na vyoo vyakuaminika) ?
Tatizo ni kubwa sana kama miaka 60 baada ya uhuru kuna watu kama wewe ambao wanadhani ni wajibu wa mabeberu kutupatia maji.
Amandla....