Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,615
Shida ya maji ni balaa zaidi hata Kariakoo kwenye hakuna maji mkuuMiaka 60 ya utawala wa chama chake watu hawana maji. Na yanapoletwa hawana 2000 za kila wiki ili waunganishiwe maji.
Miaka 60 ya kujitawala mwananchi anaona ni ajabu kupata maji.
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria.
Amandla...