Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.

Thats true on your keyboard you Moron.... The problem is we cant stop begging from West... Try to think BIG and tell me when Our Budget had no western Money??? We depend on West on Almost everything......

Don't be so silly u make yourself look stupid .. topic ilikuwa about amercans trying to tell us who we should friend with ... na hiyo budget unayozungumzia upo sure hilo bakuli anajaza huyo bwana wenu mmarekani..?! we have friends alot of them .... just Get back in your little hole & rudi ukiwa na hoja ya msingi!

Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.

Ritz, aaaaah, umeamka usingizini? Naona hujasukutua mdomo bado. Sasa turudi kwenye mada, kama CCM inalijua hili na Kiwete analijua hilo, mbona mmekubali kuwauzia kigamboni kwa Marekani kwa bei ya nyanya? Mbona Kiwete kiguu na njia kila siku kwenda marekani kujisalimisha na kuuza migodi kwa Bush? unadhani hatujui eeh? Unadhani sisi ni wajinga mnatuletea Bush akae TZ siku nne, lakini nchi zingine za Africa anapitilzia uwanja wa ndege, hata ikulu haendi? Unafikiri hatujui jinsi mlivyouza migodi yetu kwa wamarekani kwa exchange na neti za mbu? Acha ujinga, acha kujishebedua na kujifanya ndo mna uchungu na nchi yetu kumbe wezi wa kutupwa nyie. Anyway, nenda kachukue posho yako kwa Nape na Mwigulu.
 
Tanzania tunapaswa kuwa na uhuru wa kuamua ni nchi gani tunashirikiana nayo kidiplomasia, kiuchumi n.k. Lakini kimsingi uhuru huo hatuna kwa sasa kwani nchi tajiri na wahisani wanatuamria nani tushirikieane naye na nani tufarakane naye kwa kigezo cha utegemezi wetu kwao. Tunahitaji mabadiliko katika dira ya uongozi ili tuwe nchi yenye uhuru kamili.

Tunapashwa kuamua lakini ni Iran na Uislam wake .I don't and we cannot as a Nation
 
Na kutofungamana na upande wowote ndio kuliko fanya Tz kuwa masikini ukilinganisha na nchi kama Kenya. Lazima mtu uwe na upande bana; si kote kote

Ni kweli mkuu maana sifa ya nchi zisizofungamana na upande wowote ni unafiki maana zilikuwa zinashindwa kuonyesha msimamo wao kutokana na vita baridi kati ya nchi za kibebari na kishoshalist enzi. Kote wanataka matokeo yake hata zile nchi marafiki haziwi na urafiki wa dhati na nchi husika, hapa kinachotakiwa ni kuonyesha msimamo wako ili lolote litakalo tokea katika mapinduzi ya uchumi uweze kukabiliana nalo
 
Siamini nchi hii imefikia huku.... Ndugu Mwananchi kemea Shetani nadhani Tumemsahau Muumba Wetu...

Mwokozi Watoe Roho utuepushe na mabalaa Maisha,amani Utulivu siasa safi tumechezea sasa hivi Tutalala Na Njaa
Chemsha Bongo kabla hatujapagawa
 
Inaonekana wengi wameshindwa kuielewa na kuichambua barua hiyo ya marekani kama ni barua kweli na sio vitisho tu. Hebu tujaribu kuitupia macho kidogo.

Ktk jumla ya maneno ya kwenye barua yanasema 'Tanzania must stop' kwahiyo kinachotakiwa ni Tanzania kuacha kama imefanya. Ingawaje haikowazi kwamba hiyo ni amri au ni ombi. Kipengele cha pili ni kile kinachosema 'Tanzania will face threat of sunction or damage its ties with Washington' Hii nayo sio Tanzania tu ambayo itaathirika na vikwazo hivyo na hadi sasa iliyopo ni dhana tu kitu kwamba kitu fulani kimefanyika kama walivyotumia neno accused. Huwezi kumuadhibu mtu yoyote kwa kutumia dhana.

Kuna maswal mengi ya kujadili ktk hili, kwa mfano je sheria inasemaje kuhusu kusajili meli? Baadae kuna ule wasiwasi wa kua Tanzania kwa kufanya hivyo itakua imesaidia Iran neclear enrichment ambayo Iran wenyewe walishaeleza kwamba nuclear yao ni kwa peaceful purpose.

Kinachotakiwa kufahamika ni kwamba Tanzania ni nchi kamili yenye uhuru kamili hakuna haja ya kuogopa, kama inahisi imefanya kitu ambacho hakiko kinyume na sheria let say International law. Ni vyema wakafahamishwa wowote wale kwamba uhusiano mzuri ni muhimu kwa pande zote na kama ikibidi kua uvunjike kwa sababu ya dhana tu, Tanzania nayo haitakua na choice baadae tuone watajibu nini. Tumeshadanganywa sana tokea vita kuu pili ya dunia hadi leo Africa haina maendeleo yoyote, huu ni wakati wa kujaribu plan mbadala kama vile china badala ya kuogopaogopa ambako hakusaidii chichote.

Waelezwe tu kwamba' We are not aware of such activities taking place, even if that was the case, it was within international law boundaries as far we are concerned. We ll look into the matter closely and if we believe that something was wrong we will hold responsilities the part concerned. We undestand that our ties are important not only for Tanznaian but for both side, however, we don't believe that such ties can be jeopadise by accusation as your letter suggested. Our believes is that, it will unwise to reach such conclusion without enough evidences. Until the whole circumstances surrounnding the episode are clear nothing can be justified. By

Ndugu usijibu kama huna taarifa za kutosha swali gumu halijibiwi kwa majibu mepesi kama hayo. Zanzibar wameshathibitisha wanahusika na hizo meli halafu Rais akaseme hakuwa analijua hilo?

Zanzibar washasema kama Tanzania kama nchini wanaogopa hivyo vitisho vya USA wao watawaambia wahusika wabadilishe bendera waweke ya Zanzibar. Sasa hapo unataka JK abishane kivipi?
 
Don't be so silly u make yourself look stupid .. topic ilikuwa about amercans trying to tell us who we should friend with ... na hiyo budget unayozungumzia upo sure hilo bakuli anajaza huyo bwana wenu mmarekani..?! we have friends alot of them .... just Get back in your little hole & rudi ukiwa na hoja ya msingi!

Hiyo barua haiongelei kuhusu urafiki na Iran, bali biashara na Iran. Kufanya biashara si lazima muwe marafiki na kuwa marafiki si lazima mfanye biashara. USA walipitisha azimio kuwa yeyote atakaefanya biashara na Iran basi atakuwa sehemu ya vikwazo vya Iran na USA itamtenga kwenye misaada yake. sasa Tanzania imegundulika inafanya biashara na Iran kiujanja ujanja. Sasa wanapewa onyo ama wasitishe hiyo biashara au wapigwe BAN na USA thats all kwa hiyo hakuna suala la kuchaguliana marafiki hapo.
 
Hawa Wazenj si inadaiwa tayari wana bendera ya Taifa lao la Zenj? au hakuna kitu kama hicho? Kama wana bendera yao basi waruhusu bendera yao itumike badala ya ile ya Tanganyika.

Hakuna Nchi inayoitwa zanzibar katika International business. Usidhani kuwa US hawakujua kuwa Zanzibar ndio guilty of this business scam japo naamini Jamuhuri ilikuwa inalijua hili. Lakini hawawezi kuaddress Zanzibar maana sio Nchi, Ni wajibu wa Rais wa Nchi kuishughulikia Zanzibar au la Tanzania kwa ujumla wake ikumbane na US-EU BAN.
 
Mkuu, hakuna uhuru usiokuwa na mipaka, la sivyo inakuwa kero na vurugu tupu. Hatuwezi kuamua tu kushirikiana na magaidi eti kwa sababu tunataka kuwa na uhuru wa kuchagua nani tushirikiane naye. Iran wameshatamka hadharani kuwa wakipata silaha za nuklia watazitumia kuifuta Israel kwenye uso wa dunia; unataka tuendelee kushirikiana nao na kuwasaidia katika kufanikisha jambo hilo? Hata kama tungekuwa hatupati misaada ya west, bado tunapaswa kutumia akili katika kuchagua nani tushirikiane naye na nani tusishirikiane naye.

acha kuongea kiushabiki iran wamefanya tukio gani baya kuliko usa?kila cku
 
we have the wrong government in place hawawezi kutufanya tuamue kujitegemea, wanafikiri kwa matumbo, unajua nini maana ya vikwazo vya kiuchumi? Waulize wairan wenyewe pinch wanayo feel mpaka wameamua kutumia bendera ya nchi ambayo watu wake ni dhaifu na hawana vichwa. mwambie bwana dhaifu awapigie magoti wamsamehe vinginevyo tanzania will be the HELL ON EARTH.
 
Kikwete hawezi kukwepa!! Maongezi yake ya siri na makamu wa rais wa Iran, Mohammad Rahim (30/5/2012) tumeishayanasa!!! Muda muafaka ukifika tutayaweka hewani!! Ndiye aliyeruhusu bendera ya Tanzania kutumika!! Tanzania inatia huruma!!! Imeuzwa!!!

Maongezi yao mengine ya siri ni juu ya maandalizi ya mitafaruku ya kidini ili uchaguzi wa mwaka 2015 uvurugwe. Serikali ya Irani imekwisharidhia kufadhili fujo na mitafaruku ya kidini. Iran inaitaka Zanzibar kwa gharama yoyote. Rushwa nono wameahidiwa wanasiasa ili kufumbia macho uamsho!! Poleni watanzania!!! Iwapo ikulu inapinga ijitokeze ili nasi tumwage ukweli wote!!!

542944290.jpg
let me say it again JK is a religious fanatic who can not think beyond his religion feelings and beyond that he is finest in inclusive Islamic hypocrisy.
 
JK atawasikiliza wamarekani lazima, maana safari za kwenda US zitapungua
 
Hakuna Nchi inayoitwa zanzibar katika International business. Usidhani kuwa US hawakujua kuwa Zanzibar ndio guilty of this business scam japo naamini Jamuhuri ilikuwa inalijua hili. Lakini hawawezi kuaddress Zanzibar maana sio Nchi, Ni wajibu wa Rais wa Nchi kuishughulikia Zanzibar au la Tanzania kwa ujumla wake ikumbane na US-EU BAN.

Nalijua hilo swali langu halikuwa kama Zenj ni nchi au la? lilikuwa kuhusu bendera yao ambayo inasemekana ipo kwa miaka zaidi ya mitano sasa na pia wana wimbo wao wa Taifa.
 
Kama 75% ya Budget inategemea misaada kutoka Ulaya na Marekani,
Kama Rais wetu kila siku ni kiguu na njia kuomba misaada.
Ili kudumisha udhaifu huo ni lazima kutii amri ya Mabwana hawa.
Hakuna msaad usio na masharti.

Kwa upande mwingine
Wasitishe tu hiyo misaada ili ukombozi uharakishwe.
Misaada ikikoma serikali ya CCM itabaki uchi wa mnyama

Maneno mazuri sana bro. Kwa kweli, katika hali ya kawaida ningesema Tanzania iendelee kufanya jambo ambalo inaliona ni katika maslahi yake bila kujali Obama au omama. Kwani yeye angeiomba ruhusa Tanzania?
Lakini serikali yetu si ya kawaida. Tumesema mara nyingi, Tanzania ijaribu kujitegegemea badala ya kuwategemea akina Obama. Sasa inaonekana wazi athari za kutegemea omba omba. Marekani inataka kufanya sheria zake za ndani zifuatwe na Tanzaniana .
Kimsimamo kwa kweli Marekani haina haki ya kuilazimisha Tanzania, hasa hasa katika jambo kama hili ambalo ni tija ya unafiki na shinikizo la Mazayuni wanayoitawala Marekani. Iran haijatengeneza silaha za nuklia na wala hakuna dalili kama wanataka kutengeneza.
 
Hiyo barua haiongelei kuhusu urafiki na Iran, bali biashara na Iran. Kufanya biashara si lazima muwe marafiki na kuwa marafiki si lazima mfanye biashara. USA walipitisha azimio kuwa yeyote atakaefanya biashara na Iran basi atakuwa sehemu ya vikwazo vya Iran na USA itamtenga kwenye misaada yake. sasa Tanzania imegundulika inafanya biashara na Iran kiujanja ujanja. Sasa wanapewa onyo ama wasitishe hiyo biashara au wapigwe BAN na USA thats all kwa hiyo hakuna suala la kuchaguliana marafiki hapo.

huwezi ukafanya biashara na adui yako! 2ND na pia kwani azimio likipitishwa na USA lazima tulitekeleze...?! wao kama nani kutuamulia la kufanya ..? mbona tuna fikra za kitumwa !.. unaogopa tutakosa misaada! eh! Tuna nchi rafiki nyingi sana ambazo tuna historia nazo kuliko hawa USA na bahati nzuri hizo inchi zina ushindani na hao wamarekani wenu

P.S - kuna azimio la kukubali ndoa za jinsia moja obama kalipitisha ... nalo unataka tutekeleze kisa kasema President wa USA
 
Ukiwa muongo usiwe msaulifu,begger has no choice na mtaka mawili kwa pupa moja umpokonyoka.Iran wanachangia kiasi gani kwenye bajeti tegemezi?kulinganisha na USA na EU?serikali mmefanya impact assment ya mahusiano mnayotaka kuanzisha kwa uchumi wetu na miradi ya maendeleo?au ndiyo maana wamekubali kuwapa madr? Msije tema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
 
Inaonekana wengi wameshindwa kuielewa na kuichambua barua hiyo ya marekani kama ni barua kweli na sio vitisho tu. Hebu tujaribu kuitupia macho kidogo.

Ktk jumla ya maneno ya kwenye barua yanasema 'Tanzania must stop' kwahiyo kinachotakiwa ni Tanzania kuacha kama imefanya. Ingawaje haikowazi kwamba hiyo ni amri au ni ombi. Kipengele cha pili ni kile kinachosema 'Tanzania will face threat of sunction or damage its ties with Washington' Hii nayo sio Tanzania tu ambayo itaathirika na vikwazo hivyo na hadi sasa iliyopo ni dhana tu kitu kwamba kitu fulani kimefanyika kama walivyotumia neno accused. Huwezi kumuadhibu mtu yoyote kwa kutumia dhana.

Kuna maswal mengi ya kujadili ktk hili, kwa mfano je sheria inasemaje kuhusu kusajili meli? Baadae kuna ule wasiwasi wa kua Tanzania kwa kufanya hivyo itakua imesaidia Iran neclear enrichment ambayo Iran wenyewe walishaeleza kwamba nuclear yao ni kwa peaceful purpose.

Kinachotakiwa kufahamika ni kwamba Tanzania ni nchi kamili yenye uhuru kamili hakuna haja ya kuogopa, kama inahisi imefanya kitu ambacho hakiko kinyume na sheria let say International law. Ni vyema wakafahamishwa wowote wale kwamba uhusiano mzuri ni muhimu kwa pande zote na kama ikibidi kua uvunjike kwa sababu ya dhana tu, Tanzania nayo haitakua na choice baadae tuone watajibu nini. Tumeshadanganywa sana tokea vita kuu pili ya dunia hadi leo Africa haina maendeleo yoyote, huu ni wakati wa kujaribu plan mbadala kama vile china badala ya kuogopaogopa ambako hakusaidii chichote.

Waelezwe tu kwamba' We are not aware of such activities taking place, even if that was the case, it was within international law boundaries as far we are concerned. We ll look into the matter closely and if we believe that something was wrong we will hold responsilities the part concerned. We undestand that our ties are important not only for Tanznaian but for both side, however, we don't believe that such ties can be jeopadise by accusation as your letter suggested. Our believes is that, it will unwise to reach such conclusion without enough evidences. Until the whole circumstances surrounnding the episode are clear nothing can be justified. By

mkuu hicho kiingereza inabidi ipigwe msasa...usiitumie kwenye udiplomasia. ni chafu kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom