mr.dominick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 244
- 29
Hapo lazima mavi yagonge Chupi
yangegonga kwa mzee mugabe na ndio kwanza anadunda na wamekaa kimya wanamuwacha Tshangirai anakula vibano
Hapo lazima mavi yagonge Chupi
Uamsho
Kitu kinachonishangaza ni Zanzibar ina Bendera ya Taifa lake; Kwanini hawakuitumia hiyo Bendera ya Taifa lao?
Wakatumia Bendera ya Tanzania? sasa kwanini Umuhimu wa kudai Bendera yao?
Sanctions, Sijui hao ndugu zetu wa Uamsho watakimbilia Oman, na kuwaacha Wanzibari tupu
na kukabiliana na Sanction, sababu nia yao ni kuharibu nchi sio kujenga nchi.
Kwetu sisi bara, hapo ndio tutaona Matunda ya kuwatukuza Mafisadi Uzuri ni fedha zao zote zitashikiliwa huko kwenye mabenki ya nje wataumia kama sisi, Hakuna Riz1 kumiliki
hiki wala kile, maumivu wote tutayapata pamoja.
![]()
Kwahiyo hata watengeneza nuclear tuwasupport.Tanzania ni inchi isiyo fungamana na upande wowote! hawa wamerekani wanatakiwa walijue hilo... ukoloni mambo leo ulipitwa na wakati!
Mmmmm!! ngoma inogile tuone DK kikwete atajibu nini!!!
naomba nikuulizi maswali yafuatayo. tanzania ni nini?. Na je? Zanzibar ku2mia bendera ya tanzania ni kosa.
so far hakuna aliyeleta hiyo sheria ya kimataifa ambayo Tanzania imekiuka
sasa tunajadili upepo?
Ndio maana kuna msemo huwa unasema heri alie moto au baridi kuliko alie vuguvugu maana msimamo wake haujulikani
Mkuu wangu Nzi,
Nakubaliana na maelezo yako kwa ++100%....sina tatizo katika hilo!! Hoja ya kwangu ni kwamba, hao USA hawana uhakika kwamba kupeperushwa huko kwa bendera kuna baraka toka JMT....!! Kuwa na baraka kutoka JMT maana yake ni kwamba ama meli hizo ziwe zimesajiliwa na sehemu moja wapo ya JMT au kulikuwapo na makubaliano ya siri/wazi kati ya JMT/SMZ na Iran katika kutumia bendera hizo. Kinyume chake, haigharimu chochote kwa meli yoyote kupeperusha bendera ya nchi yoyote!!! Zile bendera ni vitambaa tu na sizani kama zina security mark yoyote ambayo mtu anaweza kuhoji ilikuwaje hadi wahusika wakapata bendera yenye security mark.
Mkuu hiyo hapo kwenye red Umeongeza Chumvi... huwezi kupitisha Siku bila Uongo!
Ni muhimu kutunza jina na heshima ya Tanzania katika ngano na siasa za kimataifa. UN ikifikia resolution haiwezekani mwanachama kama Tanzania akafanya vitendo vya kuhujumu azimio hilo.
Hata hivyo ni wakati sasa wakumkumbusha Mhe. Rais kwamba matatizo ya nchi hii kwa sasa yametokana na vitendo vya kionevu, dharau na udhalilishaji vilivyofanywa na vinavyofanywa na viongozi na watendaji wa ngazi za juu wa serikali yake.
Leteni kipengele chenye kuonyesha sheria ipi ya Kimataifa ambayo Zanzibar imevunja