Mmmmm!! ngoma inogile tuone DK kikwete atajibu nini!!!
Inaonekana wengi wameshindwa kuielewa na kuichambua barua hiyo ya marekani kama ni barua kweli na sio vitisho tu. Hebu tujaribu kuitupia macho kidogo.
Ktk jumla ya maneno ya kwenye barua yanasema 'Tanzania must stop' kwahiyo kinachotakiwa ni Tanzania kuacha kama imefanya. Ingawaje haikowazi kwamba hiyo ni amri au ni ombi. Kipengele cha pili ni kile kinachosema 'Tanzania will face threat of sunction or damage its ties with Washington' Hii nayo sio Tanzania tu ambayo itaathirika na vikwazo hivyo na hadi sasa iliyopo ni dhana tu kitu kwamba kitu fulani kimefanyika kama walivyotumia neno accused. Huwezi kumuadhibu mtu yoyote kwa kutumia dhana.
Kuna maswal mengi ya kujadili ktk hili, kwa mfano je sheria inasemaje kuhusu kusajili meli? Baadae kuna ule wasiwasi wa kua Tanzania kwa kufanya hivyo itakua imesaidia Iran neclear enrichment ambayo Iran wenyewe walishaeleza kwamba nuclear yao ni kwa peaceful purpose.
Kinachotakiwa kufahamika ni kwamba Tanzania ni nchi kamili yenye uhuru kamili hakuna haja ya kuogopa, kama inahisi imefanya kitu ambacho hakiko kinyume na sheria let say International law. Ni vyema wakafahamishwa wowote wale kwamba uhusiano mzuri ni muhimu kwa pande zote na kama ikibidi kua uvunjike kwa sababu ya dhana tu, Tanzania nayo haitakua na choice baadae tuone watajibu nini. Tumeshadanganywa sana tokea vita kuu pili ya dunia hadi leo Africa haina maendeleo yoyote, huu ni wakati wa kujaribu plan mbadala kama vile china badala ya kuogopaogopa ambako hakusaidii chichote.
Waelezwe tu kwamba' We are not aware of such activities taking place, even if that was the case, it was within international law boundaries as far we are concerned. We ll look into the matter closely and if we believe that something was wrong we will hold responsilities the part concerned. We undestand that our ties are important not only for Tanznaian but for both side, however, we don't believe that such ties can be jeopadise by accusation as your letter suggested. Our believes is that, it will unwise to reach such conclusion without enough evidences. Until the whole circumstances surrounnding the episode are clear nothing can be justified. By