Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
hivi hapa tz hakuna ubalozi wa Iran?
kama upo basi hii inaonesha jinsi gani anavyotumia dirpomasi vizuri ajili ya nchi yake.
kama asivyoitumia vizuri huyo balozi anayelalamika.ule usemi wa samaki mmoja akioza basi wote huoza wakati mwingine sio.Natoa rai kwa anayelalamika tz bado kuna fursa nyingi za uwekezaji achangamkie.
 
Aidha, wametamka wazi kwamba, wana haki ya kutumia bendera ya JMT kwakuwa ZNZ nayo ni sehemu ya muungano. Lakini pamoja na kuwa na mamlaka hayo, wao wametamka wazi kwamba hakuna meli yoyote ya Iran ambayo ama wameisajili wao moja kwa moja au kupitia kwa wakala wake aliyepo Dubai.

Chifu, kwa hali ya kawaida sidhani kama SMZ wanaweza kukiri rasmi na kwa uwazi kwamba waliwaruhusu au hata kukubaliana na Iran juu ya upeperushaji wa bendera ya Tanzania katika meli za Iran! Kwani kukubali kwake kutazua maswali mengi zaidi kuliko majibu!

Na hata ukiisoma vizuri hiyo barua ya Berman, wala hawajasema kwamba hiyo meli imesajiliwa Tanzania bali inapeperusha bendera ya Tanzania. Hapo kinachoonekana ni speculation tu toka USA kwamba provided meli hizo zinapeperusha bendera za TZ basi kuna uwezekano kwamba zimepata baraka kutoka TZ ama kusajiliwa TZ!!

Sawa. Lakini kwanini meli hizo zipeperushe bendera ya Tanzania? Kwanini siyo ya Kenya? Uganda? Urusi? China? Na nchi nyingine nyingi tu ambazo Iran wana mzuri uhusiano nazo?! Ina maana hiyo ni coincidence tu ama? Na juzijuzi hapa kiongozi mmoja wa Iran aliitembelea Tanzania!!

Kinyume chake, haigharimu chochote kwa meli yoyote kupeperusha bendera ya nchi yoyote!!! Zile bendera ni vitambaa tu na sizani kama zina security mark yoyote ambayo mtu anaweza kuhoji ilikuwaje hadi wahusika wakapata bendera yenye security mark.

Chifu, unaelewa umuhimu wa bendera ya taifa? Bendera inasymbolise taifa fulani - na kwa Tanzania (naamini ni hivyo pia kwa mataifa mengine), bendera ni moja ya nembo za taifa - zingekuwa ni vitambaa tu chifu - basi hata wewe ungeweza kuweka bendera ya Iran mbele ya nyumba yako na hakuna mtu angekuja kukusumbua! Ila kama unaona bendera hazina maana yoyote, basi jaribu kuweka bendera ya Marekani, Iran au nchi yoyote nyingine mbele ya nyumba yako.
 
Aha aha aha aha..Tanzania saa ya ukombozi ni sasa lazima viongozi watambue kua misaada haitotusaidia kitu ata km tunashida vipi ni miaka zaidi ya 50 tumekua tukipewa miasaada lakini bado tupo kwenye lepe la umaskini...Ni wakati kwa viongozi kuacha anasa na kuanza kufanya kazi na kufight rushwa aya yote ni aibu kwa serikali yetu japo wengi walio comment inaonekana kwao kua bila US/UK hatuwezi kusonga mbele na kwao misaada ndo kila kitu..Hivi inawezaje kua Mbunge wa Tanzania amuandikie barua OBAMA ya kumuonya na wamarekani eti wafurahie hii yote ni ufinyu wa fikra.US kuna matatizo mengi lakini kwenye interest za kitaifa wanaweka tofauti zao za vyama na wanakua km nchi tofauti na sisi tunavyomshabulia tena kwa kejeri Rais wetu...Lazima tujue hii sanction siyo ya umoja wa mataifa bali ni ya US ndo maana CHINA wamesema US cant impose unilateral sanctions over another nations kwani sio UN...Na lazima tujue TZ ni non-aligned nation (NAM) so tuna interest zetu km nchi na hatuwezi kuingiliwa na nchi yeyote as long as we dont break the rule of UN...na ugomvi wa US na IRAN hautuhusu kwani inafahamika chuki zao na ata km issue ni nyuklia ni nani anazimiliki so tusiwe marofa kwanii ata TZ tukijikomboa leo kwa teknolojia ndogo tu ya kuchimba madini yetu then tukawafukuza hawa bado italeta ugomvi kwani sera za hawa walikua hawadhani km itatokea siku mataifa mengine yatakua na technilogy km hizi....
 
NasDaz,

..Zanzibar hawana haki ya kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye masuala yasiyo ya muungano.

..kama suala hili la usajili wa meli halina mahusiano na muungano basi Zanzibar walipaswa kupeperusha bendera yao.

..Siku zote Zanzibar wanalilia kuwa huru na kujiamulia mambo yao wenyewe. Sasa ktk hili la kusajili meli za wa-Iran wameshindwa nini kuji-assert na kupeperusha bendera yao??

Kwenye suala la bendera nimekuelewa.....na ofcoz, suala la usajili wa meli sio la kimuungano kwahiyo kama upo right, then isn't right kwa znz kupeperusha bendera za JMT kwa meli ambazo imezasajili kupitia SMZ. Lakini hoja ya msingi hapa ni kwamba, ZNZ wamekanusha kusajili meli yoyote ya Iran.....labda kama unataka kuniambia SMZ imedanganya!!! Na ndio maana hoja yangu ipo pale pale kwamba, hata kama meli hizo hazijasajiliwa na mamlaka halali ya JMT/SMZ, bado haiwezi kuwa shida kwao kupeperusha bendera ya JMT.

Sana sana ninachokiona kwenye barua hiyo ni silika waliyonayo baadhi ya watu. Kuna baadhi ya watu wana silika ya ajabu sana...watu wa aina hii endapo wanahitilafiana na baadhi baadhi ya watu, basi wanataka wale wote wanaoshirikiana nao nao wawe wahitilafiane na hao watu!!! Yaani, ikwa JokaKuu, FJM na Jasusi ni maswahiba, na mara JokaKuu akaingia kwenye mgogoro na NasDaz, basi hapo JokaKuu atatamani FJM na Jasusi nae wamnunie NasDaz!!!!! Lakini JokaKuu akiona JFM na Jasusi wanacheka na kunywa pamoja, JokaKuu atachukia....!!! Sasa kama sio wehu tuite nini?! Hapa kinachoonekana ni kwamba, pamoja na kwamba USA inaisaidia sana TZ na kumpa JK heshima ya kwenda kwao mara kwa mara; lakini bado TZ haitaki kununua kesi ya USA na Iran...!! Kwavile USA inafahamu kwamba TZ ni nchi huru yenye haki ya kujiamulia mabo yake; ikakosa sababu ya kuitaka TZ ivunje uhusiano na Iran. Hivyo, ilipotokea issue ya bendera, ndipo ikaona "hapa hapa" waeleze hisia zao za kutofurahishwa na kitendo cha TZ kuendelea kuwa na uhusiano na Iran Bila shaka furaha ya USA ni kuona nchi zote zenye uhusiano mzuri na wao(USA) basi zinunue kesi za USA zote na kuzifanya zao!!
Sana sana ninachoweza ku-conclude hapa ni kwamba, hawa USA waache upuuzi wao unless wa-prove beyond reasonable doubt kwamba meli hizo zimepata baraka halali toka URT/SMZ na kwamba URT/SMZ wamevunja vipengele HALALI vya UN, otherwise waache kutishia watu hapa. By the way, bado nasisitiza kwamba kupeperusha bendera ya nchi yoyote sio issue; hata dala dala zetu za Tandika ndani unakuta bendera za nchi mbalimbali including US.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Sasa hapa sijui tusemeje, Angekua mnyika angetolewa bungeni kwa utovu wa nidhamu, jamaa anamuonya rais wetu kama bwana mdogo flani hivi, afu kwa kiburi barua inawekwa kwenye mtandao
 
Umeona, eeh? Sasa unaelewa ni kwa nini Bush alikuja na ataendelea kuja Tanzania. Siyo kwamba anatutakia mema.
Amewekeza mirija yake huko.

Ndio Maana anaitaka Kigamboni, Na sasa Hivi Wamesimamisha Ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni Serikali ya Kikwete

Haisemi chochote ni kwanini, Wananchi wa Kigamboni wanataka kujua, Mbunge hajui na Wajenzi wa Mji wa Kigamboni

Wana Ramani na kila kitu lakini Wameambiwa Wasubiri hawajui wanasubiri nini, Marafiki zangu walinunua Viwanja huko

Wamezuiliwa kujenga Pia.
 
barua_JK_3.jpg
 
Mkuu unabisha umefanya utafiti au umeamua tu kubisha sababu Ritz kasema.

Oh, Sikukujibu Samahani Niliwajibu wengine... Oh yeah Makao Makuu yako Canada lakini Owner ni George Bush

Marekani... You were dead Right Bro...
 
Jamani Wach(a)e -ni mke mwenza naye afaidi mpunga wa maharamia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwavile USA inafahamu kwamba TZ ni nchi huru yenye haki ya kujiamulia mabo yake;

Chifu, seriously?! Tanzania ni nchi huru? Nchi haiwezi ikawa huru chifu kama zaidi ya asilimia 40 ya bajeti yake inatokana na misaada kutoka kwa "wakubwa". Nyakati zote nchi ya namna hiyo itajitahidi kutowachukiza "wakubwa" zake ili iendelee kupata misaada. Tanzania imo katika kundi la nchi za namna hiyo. Nchi haiwezi ikawa huru kama ina tegemea misaada kutoka development partners kwa ajili ya kuendesha nchi chifu.

By the way, bado nasisitiza kwamba kupeperusha bendera ya nchi yoyote sio issue; hata dala dala zetu za Tandika ndani unakuta bendera za nchi mbalimbali including US.

Chifu, this is too low! Huwezi kufananisha suala linalojadiliwa na mfano wa bendera kwenye daladala za bongo. Political tensions zilizopo kati ya Iran na EU/US ni za moto mno, kitu chochote kikitokea, uchochea moto zaidi. Sasa imekuwa bahati mbaya Tanzania imetokea sasa na inaelekea kuchochea moto zaidi na kuwepo uwezekano wa moto huo kuunguza hadi Tanzania.
Pia linapokuja suala la matumizi ya bendera katika international boundaries, mambo yanakuwa tofauti na mfano wako wa Tandale!! Ni sawa wakati wa vita uweke bendera ya Marekani katika ndege ya kijeshi ya Tanzania, halafu adui Iran anaiona ndege hiyo kwenye site yake, hapo unategemea nini?!
Chifu, bendera ina maana kubwa sana kuliko unavyotaka kuaaminisha watu.
 
Haya ndio matunda ya kuwa Omba Omba.... Lazima tuwe na mtazamo tofauti na taifa letu. Check tunavyodharauliwa, Ranking officer writing to the President of United Republic of Tanzania? I was expecting President Barack Obama and not otherwise... :shetani:

wakati Netanyahu amesema ukweli, Great sinkers walikuja juu,haya USA amesema kwa vitendo kama kidume kweli ahoji uhalali wa kuandikiwa na desk officer...
 
Kwenye suala la bendera nimekuelewa.....na ofcoz, suala la usajili wa meli sio la kimuungano kwahiyo kama upo right, then isn't right kwa znz kupeperusha bendera za JMT kwa meli ambazo imezasajili kupitia SMZ. Lakini hoja ya msingi hapa ni kwamba, ZNZ wamekanusha kusajili meli yoyote ya Iran.....labda kama unataka kuniambia SMZ imedanganya!!! Na ndio maana hoja yangu ipo pale pale kwamba, hata kama meli hizo hazijasajiliwa na mamlaka halali ya JMT/SMZ, bado haiwezi kuwa shida kwao kupeperusha bendera ya JMT.

Sana sana ninachokiona kwenye barua hiyo ni silika waliyonayo baadhi ya watu. Kuna baadhi ya watu wana silika ya ajabu sana...watu wa aina hii endapo wanahitilafiana na baadhi baadhi ya watu, basi wanataka wale wote wanaoshirikiana nao nao wawe wahitilafiane na hao watu!!! Yaani, ikwa JokaKuu, FJM na Jasusi ni maswahiba, na mara JokaKuu akaingia kwenye mgogoro na NasDaz, basi hapo JokaKuu atatamani FJM na Jasusi nae wamnunie NasDaz!!!!! Lakini JokaKuu akiona JFM na Jasusi wanacheka na kunywa pamoja, JokaKuu atachukia....!!! Sasa kama sio wehu tuite nini?! Hapa kinachoonekana ni kwamba, pamoja na kwamba USA inaisaidia sana TZ na kumpa JK heshima ya kwenda kwao mara kwa mara; lakini bado TZ haitaki kununua kesi ya USA na Iran...!! Kwavile USA inafahamu kwamba TZ ni nchi huru yenye haki ya kujiamulia mabo yake; ikakosa sababu ya kuitaka TZ ivunje uhusiano na Iran. Hivyo, ilipotokea issue ya bendera, ndipo ikaona "hapa hapa" waeleze hisia zao za kutofurahishwa na kitendo cha TZ kuendelea kuwa na uhusiano na Iran Bila shaka furaha ya USA ni kuona nchi zote zenye uhusiano mzuri na wao(USA) basi zinunue kesi za USA zote na kuzifanya zao!!
Sana sana ninachoweza ku-conclude hapa ni kwamba, hawa USA waache upuuzi wao unless wa-prove beyond reasonable doubt kwamba meli hizo zimepata baraka halali toka URT/SMZ na kwamba URT/SMZ wamevunja vipengele HALALI vya UN, otherwise waache kutishia watu hapa. By the way, bado nasisitiza kwamba kupeperusha bendera ya nchi yoyote sio issue; hata dala dala zetu za Tandika ndani unakuta bendera za nchi mbalimbali including US.

Unfortunately, Marekani wana tabia ya kuchagulia wengine marafiki, na mtu aliyeweza kuishi dhana ya 'maskini jeuri ni Nyerere'. Sina hakika kama bado tuna msuli wa kusema usituchagulie rafiki. Nahisi hatuna.

Kwenye blue; Ukisoma tena barua ya huyo mmarekani amejitahidi sana kuungaunga mambo ili apate kile anachotaka na amesema hivi: "This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism".

Tukirudi nyuma mapenzi ya Tanzania na Iran yamenawiri sana miaka hii ya usoni, viongozi wa juu wa nchi mbili hizi wamekuwa wanatembeleana mara kwa mara. Misaada (tena mingine misaada mbuzi) imekuwa inatitirika na sisi kwa ugonjwa wa bakuli tunaona hewala.

Sifamu experience yako kwenye mambo ya diplomasia uko vipi, lakini hii ni aibu kwa Tanzania whichever way you want to look at. Kuna nchi nyingi sana hapo katitkati lakini Iran imepiga mbizi mpaka hapa kwetu, kwa nini?

Kwenye red: Kama kweli ndivyo ilivyo unafikiri kwa nini Marekani wameandika barua?

Nimalizie, Tanzania tuna matatizo lukuki, maji, barabara, huduma za afya, etc. Kwa nini tunajitumbikiza kwenye ugomvi usiotuhusu wakati sisi tunaogelea kwenye dimbwe la matatizo?
 
Yasije tukuta jamani,marekani ndio kilakitu kataa kubali,kama neti tu mpaka marekani,tangazo dogo tu kwa hisani ya marekani,ukichukiwa na marekani hakuna atakae kupenda,kubali kataa marekani ndio boss

I can see the truth in your lies.
 
Kumbe hawezi chomoka maana akisema mikataba haijasainiwa kwenye awamu yake kam Rais tutamwambia ilisainiwa kipindi ni waziri utawala wa Mwinyi

CCM ni CULT ndio Maana hawafukuzani... Wanajiondoa lakini wamo humo humo...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom