Mimi kuna kitu kimoja kina nitatiza kuhusu Mkapa. Mimi naamini Nyerere hakua mtu wa kukurupuka. Kama alimchagua Mkapa naamini kabisa Nyerere alidhani anafaa. Je Mkapa ni alikua anaficha makucha yake au kweli alikuwa "Clean" akaja kubadilika baadae?
So what went wrong with Mkapa mkuu?Mwalimu alimfahamu Mkapa toka siku nyingi, toka Mkapa akiwa Mwanafunzi wa Pugu sekondari,Na Nyerere alikuwa Mwalimu wake na alimpenda pia. Wakati Nyerere akiwa Rais Mkapa amewahi ku-serve kama Waziri wa Mambo ya Nje, na unapokuwa Waziri wa mambo ya nje enzi ya mwalimu siyo kitu kidogo.
Nimewahi kuongea na Mzee Ibrahim Kaduma ambaye pia aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Nyerere, kwa kweli anasema ilikuwa kazi kubwa kwa Muhusika, Mwalimu anaweza kumuita mtu wakati wowote na kutaka taarifa zozote, kwa hiyo ni kazi amabayo ilikuwa inataka muhusika awe na Taarifa nyingi, lakini inahitaji mtu amabye ni HARD WORKING, na Mkapa ni Hardworking, Tofauti na JK Ambaye kwake vitu vingi vinafanyika ki kawaida sana, JK ni mvivu wa kufikiri, kila kitu kwake ni rahisi sana, hata vitu vinavyohitaji umakini uvirahisisha.
Moja ya mambo yaliyomchafua Mkapa ni familia yake hasa mkewe na EOTF yake.So what went wrong with Mkapa mkuu?
Moja ya mambo yaliyomchafua Mkapa ni familia yake hasa mkewe na EOTF yake.
my head is spinning...i've learned a lesson or two,.while we are busy winning our daily bread,things happen in country,..a bullet can fly at you in the pavement,bust your brains out..next month you are forgotten..that's a damn system..thanks for the info.
Tumenasa wengi kwa wake zetu. Nasikia hata yule mchezaji maarufu wa Argentina na ManCity, Tevez, ni mkewe hataki waishi England pamoja na malipo mazuri anayopata kwa wiki! Maraisi wengi ving'ang'anizi wa madaraka na utafutaji wa utajiri kwa nguvu kisa hasa ni wake zao. Mwalimu aliliona hili. Kuna kipindi Maria huyu alikaa kijijini kwao muda mrefu tu.So ni the classic blame it on the wife mkuu? Maana Kitine nae walisema mke wake alimuingiza mkenge. Kibaki walisema mke wake alimforce ahakikishe haachii madaraka. Gbagbo nao Ivory Coast inasemekana alikua tayari kuachia ngazi mke akamuambia asi thubutu. Mwinyi nae walidai anaendeshwa na mkewe. Inaelekea hawa mamama wana influence kubwa sana.
Yeah, inategemea wewe unautazama vipi Udini kwa sababu Malima alichoandika wala sio kusema ni kuonyesha imbalance ktk elimu na jinsi Waislaam na wanawake walivyokuwa hawapewi nafasi sawa na vijanwa kikristu kuendelea na masomo hata kama wanatoka shule moja.. Na kibaya zaidi yeye alikuwa waziri wa Elimu lakini sisi wote tulimpiga vita pamoja na kwamba alikuwa na report kamili yenye ushahidi wa kuonyesha kutokuwepo uuwiano huo...
Sasa nambie kwa nini hatukufanya hata uchunguzi kuitazama report yake badala yake alikuwa akihojiwa tu ili kuonyesha jionsi gani alivyokuwa mdini ktk kutetea report yake ambayo iliwahusu both waislaam na wanawake..Halafu utawasikia watu kama Boss wanasema nakuja na malalamiko hali It is a report for Christ sake na ndio tunaizungumzia na ndio ilikuwa kazi alopewa Malima kuifanya akiwa kama waziri wa elimu..
Sasa kasema hakuna uuwiano na utafiti anao tayari akapachikwa Udini ipi habari kamili ama malalamiko, besides no one could prove him wrong hadi leo hii tunazungumza hapa JF!
Tumenasa wengi kwa wake zetu. Nasikia hata yule mchezaji maarufu wa Argentina na ManCity, Tevez, ni mkewe hataki waishi England pamoja na malipo mazuri anayopata kwa wiki! Maraisi wengi ving'ang'anizi wa madaraka na utafutaji wa utajiri kwa nguvu kisa hasa ni wake zao. Mwalimu aliliona hili. Kuna kipindi Maria huyu alikaa kijijini kwao muda mrefu tu.
Kwa hili la Kikwete kujiandaa tangu utoto linasemekana kuwa ni kweli na hata ukiwauliza ndugu wa karibu na familia yake.Ukweli ni kwamba JK kajiandaa tokea ni mdogo kuja kuwa raisi tokea mahusiano aliyo tengeneza UDSM, jeshini na kwenye chama. Tokea mwanzo alikua na nia ya uraisi na akajiwekea mazingira ya kuuchukua na ukweli ni kapata. Mimi naamini system nzima siyo inayo panga nani awe raisi bali hata system yenyewe ina vikundi mbali mbali. Kundi la JK lilijipanga vizuri na nilitambua kuwa kati ya JK ndiye electable kwa hiyo yeye atashinda na wengine kuchukua nafasi zilizo baki. Hata ukiangalia watu wenye cheo sasa ni watu wamefahamiana at a personal level na JK muda mrefu.
Mrema alikubalika Nchi nzima. Wizara ya Mambo ya Ndani ilikuwa imemjenga sana kwa jinsi alivyokuwa akishughulikia kero za Watanzania. Alifahamika na kukubalika zaidi kwa WATANZANIA kuliko wagombea wote wa CCM na vyama vingine. Wakati wa kampeni ndipo yakajitokeza makundi ya ajabu ya Kichagga yakichangishana fedha kwa wingi na kufanya mikutano yao wenyewe utadhani alitakiwa kuwa Rais wao peke yao.
So what went wrong with Mkapa mkuu?
Je Benjamin Mkapa alipo shinda uraisi alimpa JK kama compromise ili wafuasi wa JK wasikatae kuisaidia CCM wakati wa kampeni? Kwa maana naamini JK kupewa uwaziri na Mkapa haikuwa bahati mbaya.
nina ndugu ni ccm insiders
hata la kikwete kuhamia chadema 2005 ni la ukweli na mbowe alipewa bilioni tatu za kuandaa mazingira
but leo ukilisema hilo utaoonekana unazusha
mkuu jk huyu wa leo na wa 1995 ni vitu viwili tofauti
jk wa 1995 alikuwa na sifa nyingi tu
kwanza alishiriki kuunda tra baada ya nchi kuwa na sifa ya kusamehe kodi ovyo ovyo
jk alipopewa uwaziri wa fedha aliunda tra
na hakum favour kighoma malima
kwenye skendo ya kodi
so watu walimuona hana ukabila wala udini
na mchapakazi pia
So what changed mkuu and why?
The Boss said:mkuu jk huyu wa leo na wa 1995 ni vitu viwili tofauti
jk wa 1995 alikuwa na sifa nyingi tu
kwanza alishiriki kuunda tra baada ya nchi kuwa na sifa ya kusamehe kodi ovyo ovyo
jk alipopewa uwaziri wa fedha aliunda tra
na hakum favour kighoma malima
kwenye skendo ya kodi
so watu walimuona hana ukabila wala udini
na mchapakazi pia