CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba.
-
"Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho kwa upande wangu si sawa" - Prof. Ibrahim Lipumba, mgombea Urais wa Chama cha Wananchi CUF