mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Ukame Kenya Waturkana 14 wafa kwa njaa
Nimewahi kusema maneno mengi hayavunji mfupa. Wakenya wengi wanaleta habari za kuonyesha kuwa wako second world, lakini ukiwaambia kuwa utajiri mwingi haupo kwa wananchi wa kawaida hawaelewi. Utajiri mwingi wa Kenya Umelala Nairobi sehemu nyingine ni maskini wa forth world. Any way tusahau hayo
Tumuombe Rais wetu pamoja na Rais wa Uganda tuwasaidie hawa majirani tuna mahindi mengi sana tuwasaidie na Mungu atatuonyesha makuu
Asanteni