Tanzania na Uganda tuungane kusaidia wenzetu Wakenya waliokumbwa na baa la njaa

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
828
709
Ukame Kenya Waturkana 14 wafa kwa njaa

Nimewahi kusema maneno mengi hayavunji mfupa. Wakenya wengi wanaleta habari za kuonyesha kuwa wako second world, lakini ukiwaambia kuwa utajiri mwingi haupo kwa wananchi wa kawaida hawaelewi. Utajiri mwingi wa Kenya Umelala Nairobi sehemu nyingine ni maskini wa forth world. Any way tusahau hayo

Tumuombe Rais wetu pamoja na Rais wa Uganda tuwasaidie hawa majirani tuna mahindi mengi sana tuwasaidie na Mungu atatuonyesha makuu
Asanteni
 
Mahindi mengi pia yako Kenya mengine tulioagizia kutoka nje, shida si kwamba hakuna chakula, shida ni kwamba wanaokumbwa na kiangazi hawana hela za kununua chakula, Kawaida sehemu nyingi africa familia maskini hua zinapanda mahindi na vyakula vyengine wakati wa msimu wa mvua alafu ikifika msimu wa jua wanaendelea kula walichovuna msimu uliopita... Mahali kama turkana kiangazi kinapiga mwaka mzima alafu hakuna makampuni ya kufanyi kazi biashara ilioko ni kufuga ngamia,ngombe na mbuzi yote inategemea maji na nyasi... Watu wa turkana wanahitaji maji ndo waweze kujitegemea
 
But How is this possible ?Kenya ni Nchi ya Kipato cha Kati,
Yaani kuna watu hata hawawezi kununua mahindi kwenye nchi ya Kipato cha kati??
 
wakenya wanapo nifurahisha tunaweza tukapeleka misaada ya vyakula mwisho wa siku ukasikia kwenye ripoti kenya imeongoza kwa kuzalisha mazao.mfano vyakula vingi vinavo kwenda UK vinatoka tanga na arusha lakini vikipelekwa kenywa na kusafirishwa
 
But How is this possible ?Kenya ni Nchi ya Kipato cha Kati,
Yaani kuna watu hata hawawezi kununua mahindi kwenye nchi ya Kipato cha kati??
Technically ni Lower middle income ambapo tuko na 26% ya population wanaishi chini ya $1 a day, Sehemu ya turkana iko on the extreme level ambapo maskini hawawezi hata panda chakula ni lazima wanunu kila kitu wakati hawana kitu, Angalau watu wa pwani woko na maembe na minazi ....
Hii data ya County Gross Product per capita imetolewa mwaka huu na KNBS kwa mara ya kwanza inaonyesha Mandera, West Pokot, Turkana na Samburu ndo County ambazo ziko na mapato madogo kabisa...... Alafu hakuna maendeleo yoyote huko

1552933875093.png
 
Mahindi mengi pia yako Kenya mengine tulioagizia kutoka nje, shida si kwamba hakuna chakula, shida ni kwamba wanaokumbwa na kiangazi hawana hela za kununua chakula, Kawaida sehemu nyingi africa familia maskini hua zinapanda mahindi na vyakula vyengine wakati wa msimu wa mvua alafu ikifika msimu wa jua wanaendelea kula walichovuna msimu uliopita... Mahali kama turkana kiangazi kinapiga mwaka mzima alafu hakuna makampuni ya kufanyi kazi biashara ilioko ni kufuga ngamia,ngombe na mbuzi yote inategemea maji na nyasi... Watu wa turkana wanahitaji maji ndo waweze kujitegemea
Wewe unasema kwa maoni yako, lakini Uhuru Kenyatta amekiri juzi kwamba Kenya haina uwezo wa kujilisha, hayo mahindi mnayozalisha hayatoshi kulisha Wakenya kwa mwaka, kila mwaka lazima Kenya inunue chakula toka Uganda na Tanzania.

Jambo linalonishangaza Sana ni kwamba ninyi Wakenya mnajifanya mnajua kila kitu zaidi ya kila mtu, hivi unawezaje kusema kwamba mna mahindi yakutosha wakati rais wako mwenye amekiri hadharani kwamba hamuwezi kujilisha na Kenya inategemea kununua chakula toka Uganda na Tanzania?, kwanini mnakosa aibu, busara na hekima kiasi hicho?, tatizo you have highly inflated ego.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ungekua ulifikiria vizuri ungegundua jibu liko kwa comment ulio iandika..... Mara nyengine unafaa ufikirie critically na logically.. si lazima mtu mwengine akwambie kitu ndo ufwatilie upepo......

Rais akisema hatuwezi jilisha anamaanisha chakula tunachozalisha hakitutoshi na inabidi tuagizie chengine kutoka nje... Comment niliyosema hapo awali ni..... " Mahindi mengi pia yako Kenya mengine tulioagizia kutoka nje, shida si kwamba hakuna chakula, shida ni kwamba wanaokumbwa na kiangazi hawana hela za kununua chakula, "

Kwahivyo si eti Kenya ina uhaba wa chakula, Unga uko kwa maduka, mafuta ya kupikia yako kwa maduka, mchele uko kwa maduka na bei yake haijapanda iko pale pale.... (kumbuka bei ya bidhaa inategemea supply and demand.... Kama kungekua na uhaba wa chakula bei ya mahindi na vyakula vyengine ingekua ilipanda)...... Kwahivyo tatizo si eti hakuna chakula Kenya, Tatizo ni kwamba watu wa eneo kama turkana hua hawana hela ya kununua hivi vyakula na hua wanategemea mvua kupanda mahindi na vyakula vyengine na kuyakausha ili watumie mwaka mzima, kwahivyo kukiwa na kiangazi zaidi ya mwaka mmoja inamaanisha familia haitakua na mahindi au chakula chochote chakukausha na kutumia mwaka ufwatao..
 
Nimeona hii taarifa kwenye BBC Dira ya dunia aisee wananchi wanasikitisha wamebaki mifupa tu yani......
 
Ngoja nikupe nikujulishe ili uelewa, tukisema nchi au mtu hana chakula au anakumbwa na tatizo la njaa, maana yake anapungukiwa na Kati ya moja ya haya mambo yafuatayo
1)Availability
2)Accesibility
3)Affordability
4)Consumability/Utility

Kati ya hayo maybe, kama likikosekana hata moja tu, basi husababisha njaa, Wewe umeshikilia hilo moja la kwanza pekee, ambalo hata hilo pia Bado Kenya haijitoshelezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
March 18, 2019
Turkana county, Kenya

Zaidi ya wakaazi 800,000 katika kaunti (mikoa / majimbo) za Turkana na Baringo wamekumbwa na hali ya ukame na njaa kali. Waziri wa Ugatuzi (Devolution) Bw. Eugene Wamalwa amethibitisha tishio hilo la njaa kali kwa uhai wa raia. Serikali imesema ina changamoto kubwa kukabiliana na ukame katika zaidi ya kaunti 18 katika nchi ya Kenya ikiwemo ukosefu wa malori kusafirisha misaada ya chakula ya tani chache 600 kwa malaki ya raia.

Njaa hiyo ilianza kunyemelea na kuikaba vikali maeneo hayo toka mwaka 2017 na kufikia mwaka huu 2019 hali imekuwa mbaya sana. Nzige pia wameonekana katika maeneo hayo wakishambulia majani machache ya mimea yanayoonekana hapa na pale na serikali haina uwezo wa kukabiliana nao kwa kupulizia dawa ya kutokomeza nzige hao toka angani kwa kutumia ndege maalum.

Hivyo hata mvua ikinyesha siku za karibuni basi mazao hayo machanga ya kilimo cha chakula pia yatakumbwa na balaa hilo la mdudu nzige. Ukosefu wa chakula umesababisha utapia-mlo wa kutisha katika rika za vikongwe na watoto wadogo hata wale wa shule za msingi pia. Wakaazi wanaomba viongozi wa ngazi za mashinani, kaunti na serikali kuu kufanya juhudi za kuwasaidia dhidi ya balaa hilo la njaa na maji ya kunywa.

Jamii hizi za kaunti za Baringo, Pokot na Turkana wanajulikana kwa uwezo wao wa kukabiliana na ukame kwa miongo mingi lakini ukame wa kipindi hiki umevunja rekodi na hivyo jamii hizo kusihi wahisani ngazi ya NGOs, Kaunti, serikali kuu na mashirika ya kimataifa kamaRed Cross, World Food Programme WFP, USAID wajitokeze kuokoa maisha yao.

Kikubwa kinachojitokeza ni kutokuwepo ushirikiano wa karibu (co-ordination) katika mfumo wa ugatuzi, yaani ufanyaji kazi kwa pamoja kati ya serikali za kaunti (majimbo) na serikali kuu iliyopo Nairobi. Kutokana na mkanganyiko na ukosefu wa uwezo (capacity) katika ngazi ya majimbo na serikali kuu, baadhi ya wataalamu wanasema serikali itangaze hali ya hatari ya chakula ( National Disaster) ili kukabiliana na hali hiyo ngumu na hatarishi.

Source: Kenya Citizen TV
 
Moja ya barabara ya 'kwenda kuzimu' inayoelekea maeneo ya janga la njaa ya Pokot ya Magharibi na Turkana nchini Kenya. Barabara hiyo pia inaunganisha nchi za Kenya na Sudan ya Kusini. Kuna sehemu barabara ya lami ilijengwa juu ya mchanga laini tifutifu na hivyo barabara hizo kusombwa na maji kwa urahisi kabisa. Madereva pia wanakumbana na changamoto kubwa ya kuona barabara ilipo, maana barabara mbovu inafanana na mto mkubwa wa maji uliokauka..Mamlaka inayosimamia barabara nchini Kenya KENHA (Kenya National Highways Agency) imebaini kazi duni za makandarasi wajenzi wa barabara na kuahidi kuinua viwango vya barabara kufikia viwango vinavyokubalika na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tatizo hilo linatokana na masuala ya ufisadi mkubwa katika miradi mikubwa ya fedha nyingi kama ujenzi wa miundo-mbinu ya barabara .

March 18, 2019
Nairobi, Kenya

BIG STORY : Is Kenya a Starving Nation, And Why

The Kenyan government has denied being late in its response to the prevailing drought in parts of the country. Denying reports of any loss of lives as a result of the drought Deputy President William Ruto now claims that the situation currently is far much better than was in yester years and that the government focus is on long term measures to end the cycle of drought which continues to plague the country every year.

Source: KTN News Kenya
 
Ngoja nikupe nikujulishe ili uelewa, tukisema nchi au mtu hana chakula au anakumbwa na tatizo la njaa, maana yake anapungukiwa na Kati ya moja ya haya mambo yafuatayo
1)Availability
2)Accesibility
3)Affordability
4)Consumability/Utility

Kati ya hayo maybe, kama likikosekana hata moja tu, basi husababisha njaa, Wewe umeshikilia hilo moja la kwanza pekee, ambalo hata hilo pia Bado Kenya haijitoshelezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huko Tz kuna wengi Sana hawazi afford chakula ... 3/4 ya hayo ulioandika yanapatikana Tz na nchi nyingi Africa ikiwemo SA, tofauti ni kwamba mvua husaidia familia nyingi chochole kupanda mahindi,mihogo..etc ambayo wanatumia kujistiri... Hii ndo maana haitaskia watu wa Lamu au Kwale au maeneo mengine kama hayo yanakumbwa na njaa ilihali haya maeneo hua yako na watu maskini kwasababu mvua hunyesha haya maeneo na maji si haba kama vile kule jangwani upande wa kaskazini....

Mwaka iliopita Kenya ilikua na uhaba wa mahindi na bei take ikapanda kiasi ambacho hakijawai onekana Kenya, huo mda wote haukuskia watu wa Turkana wakiwa na njaa,...why? Kwasababu walikua na stoke yao ya chakula na visima vilikua havijakauka... Mpatie mtu WA Turkana maji na hautaskia tena habari za kutoka huko...
 
Hivi wakenya mkiongelea hili janga la njaa nchini kwenu (Zaidi ya 10 counties) bila kuitaja Tanzania mnapungukiwa na nini? This is not about the battle, this is your problem within your boundaries sio Tanzania na wala Tanzania haijawahi kuwa hivi, am not trying to brag sababu najua hawa watu hawakupenda wawe na njaa lakini your corrupt and greedy government lead all this

Nasikia mlikua na mradi mkubwa ukanda huo uliofadhiliwa na Israel ili kutosheleza chakula lakini ufisadi umeutafuna mradi mzima plus blackmail mradi wote umekufa hilo mbona hamliongelei? Lakini Tanzania lazima muihusishe?

Tanzania haijawahi kutokea mtu akafa na njaa wala watu kunywa matope
 
Hata huko Tz kuna wengi Sana hawazi afford chakula ... 3/4 ya hayo ulioandika yanapatikana Tz na nchi nyingi Africa ikiwemo SA, tofauti ni kwamba mvua husaidia familia nyingi chochole kupanda mahindi,mihogo..etc ambayo wanatumia kujistiri... Hii ndo maana haitaskia watu wa Lamu au Kwale au maeneo mengine kama hayo yanakumbwa na njaa ilihali haya maeneo hua yako na watu maskini kwasababu mvua hunyesha haya maeneo na maji si haba kama vile kule jangwani upande wa kaskazini....

Mwaka iliopita Kenya ilikua na uhaba wa mahindi na bei take ikapanda kiasi ambacho hakijawai onekana Kenya, huo mda wote haukuskia watu wa Turkana wakiwa na njaa,...why? Kwasababu walikua na stoke yao ya chakula na visima vilikua havijakauka... Mpatie mtu WA Turkana maji na hautaskia tena habari za kutoka huko...
Mbona unataka kubisha vitu bilivyowazi kabisa?. Serikali yenu ilitangaza mwaka Jana kwamba njaa na ukame ni janga la kitaifa, UN kupitia WFP nao walitangaza kwamba Wakenya Milioni nne wanakabiliwa na njaa na kuomba jumuiya ya kimataifa kuisaidia Kenya chakula.

Ili kuitikia mwito huo, nchi mbali mbali zikiwemo China, Turkey, UAE na nyingine nyingi zilitoa chakula cha msaada ili kuokoa maisha ya hao watu toka Turkana, Sio kweli kwamba mwaka Jana Turkana hawakukumbwa na njaa, isingekuwa chakula cha msaada toka katika hizo nchi, Wakenya wengi wanfekufa, mwaka huu Bado Kenya haijapikea chakula cha msaada ndiyo sababu watu waneanza kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huko Tz kuna wengi Sana hawazi afford chakula ... 3/4 ya hayo ulioandika yanapatikana Tz na nchi nyingi Africa ikiwemo SA, tofauti ni kwamba mvua husaidia familia nyingi chochole kupanda mahindi,mihogo..etc ambayo wanatumia kujistiri... Hii ndo maana haitaskia watu wa Lamu au Kwale au maeneo mengine kama hayo yanakumbwa na njaa ilihali haya maeneo hua yako na watu maskini kwasababu mvua hunyesha haya maeneo na maji si haba kama vile kule jangwani upande wa kaskazini....

Mwaka iliopita Kenya ilikua na uhaba wa mahindi na bei take ikapanda kiasi ambacho hakijawai onekana Kenya, huo mda wote haukuskia watu wa Turkana wakiwa na njaa,...why? Kwasababu walikua na stoke yao ya chakula na visima vilikua havijakauka... Mpatie mtu WA Turkana maji na hautaskia tena habari za kutoka huko...

Hii ni njaa iliyoikumba Kenya mwaka Jana, ilikua mbaya kuliko hii ya sasa, kilichowaokoa Wakenya wengi ni chakula cha msaada, acha kudanganya kwamba eti mwaka Jana Turkana hawakua na njaa kwasababu walikua na chakula cha akiba, huo ni uongo na denial, mifugo yao karibia yote ilikufa kutokana na njaa na ukame mwaka Jana, ninaendelea kukuletea clips za video kuonyesha hali ilivyokua mbaya mwaka Jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom