Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Kenya tafuteni suluhu ya hili tatizo ila mkitegemea jirani mtadhalilika kwa matusi.
Hii ndo maana tulianzisha Lapsset Project ambayo itafikia haya Maeneo yote kame... Northern Kenya hakuishiki ilhali ni asilimiia 70% ya Kenya..... Lapsset project ilianzishwa ili kuleta maendeleo maeneo haya manake kwasasa 70% ya wakenya wote wanaishi ndani ya 30% ya ardhi.... Huko kwengine ni watu wachache
70% of Kenyans live in 30% of the land mass
Na pia ukichunguza zaidi kwa google maps satellite image utagundua hayo maeneo ambayo wakenya wengi wamekimbia ni hayo maeneo kame