for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,395
- 4,431
Wewe jamaa ni muongo sana mficha malazi kifo humuumbua mtu anang'ombe ishilini atashidwa kuuza hata wawili akakidhi tatizo la njaa kinachouwa watu si hela braza ni accessibility ya msosi nyinyi hamna chakula kubalini tu maswala ya hela yatakuja baadae sisi tanzania kuna wakati watu wa vijijini hawana hela lakini inatokea kwasababu ya wingi wa msosi lakini hawana hela so wanabadilishana kama unampunga mwingi unatoa kiasi unaenda badilishana na wamahindi sio wajinga walosema njaa haina baunsaKama ungekua ulifikiria vizuri ungegundua jibu liko kwa comment ulio iandika..... Mara nyengine unafaa ufikirie critically na logically.. si lazima mtu mwengine akwambie kitu ndo ufwatilie upepo......
Rais akisema hatuwezi jilisha anamaanisha chakula tunachozalisha hakitutoshi na inabidi tuagizie chengine kutoka nje... Comment niliyosema hapo awali ni..... " Mahindi mengi pia yako Kenya mengine tulioagizia kutoka nje, shida si kwamba hakuna chakula, shida ni kwamba wanaokumbwa na kiangazi hawana hela za kununua chakula, "
Kwahivyo si eti Kenya ina uhaba wa chakula, Unga uko kwa maduka, mafuta ya kupikia yako kwa maduka, mchele uko kwa maduka na bei yake haijapanda iko pale pale.... (kumbuka bei ya bidhaa inategemea supply and demand.... Kama kungekua na uhaba wa chakula bei ya mahindi na vyakula vyengine ingekua ilipanda)...... Kwahivyo tatizo si eti hakuna chakula Kenya, Tatizo ni kwamba watu wa eneo kama turkana hua hawana hela ya kununua hivi vyakula na hua wanategemea mvua kupanda mahindi na vyakula vyengine na kuyakausha ili watumie mwaka mzima, kwahivyo kukiwa na kiangazi zaidi ya mwaka mmoja inamaanisha familia haitakua na mahindi au chakula chochote chakukausha na kutumia mwaka ufwatao..
Sent from my using Tapatalk