Tanzania: Mhariri wa gazeti lililofungiwa Simon Mkina, atishiwa maisha

Jeshi letu nalo dhaifu sana - au halitaki tu kuanza investigation. Kama mpigaji wa simu amepiga simu akiwa hapa Tanzania hata kama namba aliificha, kuna namna inaweza kufanyika.
Hakuna private number since 2006 basi atakuwa ni usalama ndiowalitumia private..jamaa wapo kisiasa kuliko maslahi ya taifa
 
Aseme tu nae kama anataka kujiteka kama Ben saa 9..Image ya Demokrasia ya Tanzania kimataifa haiwezi kuharibiwa na wahariri wapumbafu kama hawa wenye kuvunja katiba kwa kutaka kuwadhalilisha wazee wetu huku wakiyakumbatia madude ya mafisadi waliyonayo.
Wewe una laana ya ukoo wenu siyo bure, image gani waliyonayo mkapa na kikwete?
Mikataba mibovu ya madini ilisainiwa Kwa maelekezo ya nani?
Kuna watu mnajitoa fahamu Kwa Sababu ya mikate ya Lumumba, kila lenye mwanzo halikosi mwisho ccm haiwezi kutawala Tanzania milele.
 
Kubenea hana tena credibility ya kuzungumzia ufisadi ....hiki kichaka cha upinzani kinatumika vibaya sana .....kutishiwa maisha ni kitu kibaya lakini wametengeneza mazingira ya kutoaminika hata kwenye issues za msingi ....

Kama wewe huwaamini wapinzani, huo ni msimamo wako. Usiwasemee watu milioni sita waliochagua upinzani.
 
Kubenea hana tena credibility ya kuzungumzia ufisadi ....hiki kichaka cha upinzani kinatumika vibaya sana .....kutishiwa maisha ni kitu kibaya lakini wametengeneza mazingira ya kutoaminika hata kwenye issues za msingi ....
Una akili sana lakini jifunze kuelewa.
 
Back
Top Bottom