Tanzania: Mhariri wa gazeti lililofungiwa Simon Mkina, atishiwa maisha

Kubenea hana tena credibility ya kuzungumzia ufisadi ....hiki kichaka cha upinzani kinatumika vibaya sana .....kutishiwa maisha ni kitu kibaya lakini wametengeneza mazingira ya kutoaminika hata kwenye issues za msingi ....
Hii jf kama imekusanya wasio na uwezo kiasi hiki basi ni hatari sana !

Simon Mkina amegeuka kuwa Kubenea kuanzia lini ?
 
Mkina amesema kuwa tayari ametoa taarifa kwa bodi ya gazeti hilo pamoja na jeshi la Polisi ambalo limemjibu kuwa itakuwa vigumu kufanya uchunguzi kwakuwa simu zenyewe hazikuwa na namba.

Jeshi letu nalo dhaifu sana - au halitaki tu kuanza investigation. Kama mpigaji wa simu amepiga simu akiwa hapa Tanzania hata kama namba aliificha, kuna namna inaweza kufanyika.
 
Eti polisi haitaweza kuwajua sbb wameficha namba?, aibu hii. Sasa usalama. wetu kama taifa upo wapi?
 
Kwa hiyo teknolojia ya nchi hii ni ndogo sana,mtu akikupigia private watu wa cyber na makampuni ya mitandao ya simu hawawez kung'amua?
 
Aseme tu nae kama anataka kujiteka kama Ben saa 9..Image ya Demokrasia ya Tanzania kimataifa haiwezi kuharibiwa na wahariri wapumbafu kama hawa wenye kuvunja katiba kwa kutaka kuwadhalilisha wazee wetu huku wakiyakumbatia madude ya mafisadi waliyonayo.
Mkuu jana ilikuwa siku yenu, kukata KANYAMA kalikopo sehemu ambayo kameota . Katoe Kwanza hako KANYAMA then urudi tena.
 
Kubenea hana tena credibility ya kuzungumzia ufisadi ....hiki kichaka cha upinzani kinatumika vibaya sana .....kutishiwa maisha ni kitu kibaya lakini wametengeneza mazingira ya kutoaminika hata kwenye issues za msingi ....
Ni kama vile wewe ulivyopoteza Credibility yako humu jukwaani
 
Mkuu sikatai mchango wa CCM kwenye mabaya mengi sana ....lakini itafika mahali tutabadili tu majina ya vyama na Chadema kuiita CCM and CCM kuiita Chadema then wote tuendee kuikataa CCM ....pengine hatujamjua vyema adui wetu ....
Tatizo ni jina CCM
 
Eti polisi haitaweza kuwajua sbb wameficha namba?, aibu hii. Sasa usalama. wetu kama taifa upo wapi?
Ukisikia hivyo ujue hiyo namba wanaijua lakini hawawezi kuisogelea, ina moto!
 
Yaani police wanashindwa kuchunguza kisa namba hazionekani.....??? Sasa nini kazi ya police au mpaka namba zionekane....yaani jeshi la police na tcra mnashindwa kwa wataalamu mlionao wanaolipwa pesa za kodi zetu.....

Hii ndio tz
 
Inteligensia ya police haiwezi kupata no isioonekana hahahah hahahah baasi tu assume jini lilimpigia
 
Inteligensia ya police haiwezi kupata no isioonekana hahahah hahahah baasi tu assume jini lilimpigia;
 
Mkuu sikatai mchango wa CCM kwenye mabaya mengi sana ....lakini itafika mahali tutabadili tu majina ya vyama na Chadema kuiita CCM and CCM kuiita Chadema then wote tuendee kuikataa CCM ....pengine hatujamjua vyema adui wetu ....

Adui ni ccm
 
Back
Top Bottom