Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

sawa, karibu bila kusita furaha yangu inatawaliwa na kusaidia watu
Habari mkuu,,
Samahani mkuu Nina shida hapa ya kisheria naomba Sana unisaidie Kama hutojali,
Sheria ya kazi inasemaje kuhusiana na madai ya wafanyakazi ambao imepita miezi 2 ambazo Ni karibia siku 60 hawajaenda mahakamani kudai stahiki zao za malipo baada ya kukaa Muda mrefu hawajalipwa na mwajiri?

Je wakienda mahakamani kushitaki watalipwa stahiki zao au ndo malipo hayo yamepotea hivyo?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Habari mkuu,,
Samahani mkuu Nina shida hapa ya kisheria naomba Sana unisaidie Kama hutojali,
Sheria ya kazi inasemaje kuhusiana na madai ya wafanyakazi ambao imepita miezi 2 ambazo Ni karibia siku 60 hawajaenda mahakamani kudai stahiki zao za malipo baada ya kukaa Muda mrefu hawajalipwa na mwajiri..????
Je wakienda mahakamani kushitaki watalipwa stahiki zao au ndo malipo hayo yamepotea hivyo...???

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapana hayapotei mkuu kuna kiapo tu kinatakiwa kwanin mlichelewa kufanya hivyo japo mkikutana na mediator aliyepitishiwa fungu itakuwa changamoto ila kuna kiapo tu kinahitajika na mambo yanaanza upya fresh tu labda kama kuwe na sababu zingine za kulitupa mbali ilo shauri
 
Bado hana ujanja mkuu kinahitajika kiapo tu na kesi inafunguliwa maana hamna settlement yoyote iliyofanyika kati yenu kuonesha ilikuwa na lengo la kumaliza mgogoro wenu nje ya mahakama.
Mkuu tupo wafanyakazi 50 tuliosimamishwa kazi mwezi wa tano na ili kupata hizo stahiki zetu Ni mtu mmojammoja atahitajika kwenda kufungua kesi yake mahakamani au wakienda wachache wanaweza kuwakilisha hao 50..???

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hapana hayapotei mkuu kuna kiapo tu kinatakiwa kwanin mlichelewa kufanya hivyo japo mkikutana na mediator aliyepitishiwa fungu itakuwa changamoto ila kuna kiapo tu kinahitajika na mambo yanaanza upya fresh tu labda kama kuwe na sababu zingine za kulitupa mbali ilo shauri
Wewe jamaa una roho nzuri sana.
Mungu akufanikishe ufike mbali ili usaidie wengi.
 
Mkuu tupo wafanyakazi 50 tuliosimamishwa kazi mwezi wa tano na ili kupata hizo stahiki zetu Ni mtu mmojammoja atahitajika kwenda kufungua kesi yake mahakamani au wakienda wachache wanaweza kuwakilisha hao 50..???

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
hapo mnatakiwa kwanza kuwa kitu kimoja maana kesi za group huwa dah zinashida sana kuna wengine wanaweza kuwazunguka ila kama wote lenu ni moja mnaenda kama mlivyo mnafungua shauri ila chagueni kama muawakilishi ila kuna kitu kinaitwa Schedule of claim yani kila mtu atainisha madai yake maana naamini hata mishahara yenu ipo tofauti mtalipwa tu ila kwa mbinde sana maana mahakamani napo kunakuwaga na vita za nje ya uwanja unaweza kukata tamaa
 
Asante mkuu tupo pamoja ni kugawana maarifa tu mim furaha yangu tu ni mtu kusema alipata ufumbuzi wa tatizo lake huwa najisikiaga raha sana
 
hapo mnatakiwa kwanza kuwa kitu kimoja maana kesi za group huwa dah zinashida sana kuna wengine wanaweza kuwazunguka ila kama wote lenu ni moja mnaenda kama mlivyo mnafungua shauri ila chagueni kama muawakilishi ila kuna kitu kinaitwa Schedule of claim yani kila mtu atainisha madai yake maana naamini hata mishahara yenu ipo tofauti mtalipwa tu ila kwa mbinde sana maana mahakamani napo kunakuwaga na vita za nje ya uwanja unaweza kukata tamaa
Mkuu Kama mmeachishwa kazi wafanyakazi 50 na ikatokea ndani ya siku 60 wakajitokeza wafanyakazi 10 tu ndo walioenda mahakamani hao 10 wanaweza lipwa madai yao wenyewe tofauti na wale waliochelewa kufungua kesi ya madai yao...????

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kama mmeachishwa kazi wafanyakazi 50 na ikatokea ndani ya siku 60 wakajitokeza wafanyakazi 10 tu ndo walioenda mahakamani hao 10 wanaweza lipwa madai yao wenyewe tofauti na wale waliochelewa kufungua kesi ya madai yao...????

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Mahakamani watalipwa wale waliopo kwenye shauri husika na madai yao yote kama yalivyoainishwa kama 10 ndio mmefungua madai mtalipwa 10 hao hao waliobaki na wao wakija kufungua shauri nao watalipwa kulingana na kile walichokianisha kama madai ya malipo yao kwa muajiri husika
 
Mkuu,

Labda developed world....bongo sijui.....! Mimi nimeshabadilisha ajira kama mara tatu hivi tangia ni graduate, lakini hakuna hapa Employer mmoja aliye nikabidhi msahafu huu....nafikiri kwa sababu waajiri wengi hawapendi kufuata hizi sheria za kazi so sitashangaa kuona hawawapi copy waajiriwa wao!
Hata waajiriwa nao hawana uelewa sidhan kama kuna aliye omba akanyimwa
 
Hii inabidi kuwa nayo kwenye hali tete kama kule North Mara kwa sasa wanavyo punguza wafanyakazi kwa kisingizio cha GFC...huwezi jua wanatumia kigezo gani..wakati wanaacha expart 12 kwenye kitengo kimoja...
Wa nini..kwa kawaida Expart moja anatakiwa kuwa na watu wa chini yake 6 mpaka nane..sasa department ina wafanyakazi 30 Expart 12 wa nini?Harafu unataka punguza nationals..
Mkuu kuna mfanyakazi wa kampuni fulani aliwekwa kikao lengo ni kumpa Verbal Warning kwa misconducts alizo fanya.

Kwa maelezo yaliyo toka kwa HR ni kwamba Ili kuweka mambo sawa kwa upande wa HR aliandaa document ya kuonyesha kuwa kikao kilifanyika lengo likiwa ni kumuonya mtuhumiwa kwa Verbal Warning ili ikitokea baadae muhusika atakana basi kuwe na proof kwamba kikao kilifanyika na shahidi na ushahidi upo.

Kwa mana iyo document yenyewe inaonyesha all about how verbal warning process went on. ni kitu kama memo

na kuna sehemu ya HR kusaini kuna sehemu ya shaidi na Muhusika anae pewa verbal warning kusaini kama kweli alikuepo na kukubaliana na yaliyo zungumzwa.

NOTE: (IFAHAMIKE HII SIO WRITTEN WARNJNG DOCUMENT)

Swali: Je hii ni Sawa? na hii process ina negative implication yoyote kiutendaji? kisheria ina tatizo lolote maybe?
 
Umefanya kazi miaka mitatu na kumaliza mkataba vizuri. Mwajiri hajakulipa gratuity yako akaahidi kwamba atakulipa miezi miwili mbele. baada ya hapo mwajiri anakupatia mkataba mwingine huku akiahidi kulipa gratuity lakini halipo. Baada ya miezi 6 ya mkataba mpya ambao hauna maslahi mwajiriwa anaamua kuukatisha na kuacha kazi.

Bado mwajiri hajakulipa stahiki za mkataba wa zamani umesubirimiezi zaidi ya minne toka uache kazi ukijumlisha miezi6 ya mwanzo sasa inakaribia mwaka sheria inasemaje kuhusu waajiri wa namna hiyo ni wapi pakuanzia kumshitaki?
 
Nisaidieni hii situation.Umefanya kazi kwa miaka nane kwa mkataba wa miaka miwili miwili.Ulibeba vitu vya ndani mpaka na familia kutoka mkoa A hadi B kufanya hiyo kazi.Hukuwahi kupewa likizo ya malipo.Inafika muda wa kurenew mkataba unapendekeza maboresho ya mkataba hasa kwenye maslahi.

Bosi anadai hawezi kuboresha zaidi ya ulivyo na kama unaona unashindwa Basi usisaini mkataba mwingine ukatafute hayo maslahi kwingine.Anakulipa gratuity kwa njia ya asilimia.Kuna stahili gani zingine mwajiriwa anastahili hapa?
CC Buswelu,Bora Uhai,deonova na wengine wajuzi
 
Msaada Kwa wajuzi wa Sheria,

Niliajiriwa company flani nadhani kutokana na kutokujua Sheria au njaa zangu sula la muda wa kazi kuingia na kutoka sikuzingatia. Sasa ni kwamba nafanya kazi masaa 12 Kwa siku 6 za wiki yaani napumzika siku 1 Kwa wiki.

Nilijaribu kumdokeza mwajiri kuhusu kunilipa masaa ya ziada Ila akawa kama mbogo alie jeruhiwa. Nataka kujua endapo nitakwenda kufungua kesi je kuna uwezekano wa kupata stahiki zangu..maana hata muda wa kuingia kazini unajulikana Ila muda wa kutoka hakuna sehemu ya sign out

Lakini Nina ushahidi wa watu wanaojua muda ninaotoka.Sina daily evidence ya muda ninaotoka labda itokee kuna kitu basi namsainisha boss namwambia weka na muda uliopokea huu mzigo

Msaada Kwa wajuzi wa
 
Back
Top Bottom