Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

hapana,kuna mikataba yote ya miaka mitano na michango ya nssf ilivyokuwa ikiingia
mhh okay,lakini tusiende mbali sana maana ishu yako kubwa ni uhitaji wa michango yako ya NSSF tu,jitahidi kufuata utaratibu wa kufanya marekekebisho ya michango kama ilivyoelekezwa na wadau huko juu ,ila michango ya Mwaka na miezi 9 kwa sababu ulikuwa haukatwi chochote kwa ajili ya NSSF na mwajiri wako katika kipindi hiko ni ngumu kuidai,na hatujui ilikuwa mwaka gani pia. ila nakutakia kila kheri katika mchakato wako.
 
Sijui labour law mara katiba mambo ya sheria ni utapeli na ujinga mtupu ,kazi kuwapumbaza watu ila hayo mambo hayafuatwi...

Kuna watu wanapata uhamisho wa mbali mpaka wanapewa deadline ya kuripot wanafika hawapati stahiki zao ng'o eti tunafuata mchakato ,wanakaa vikao kupanga mtu apate stahiki zake.

Mtu kahamishwa tena ghafla alipotoka kaacha kodi ya miezi labda 3 mbele then apewi chake eti wanasubiria mchakato wa malipo na kuripot anatakiwa kufika ghafla ...

MaHR hawajielewi kutoa stahiki mpaka wakae vikao izo sheria zimebaki kweny makaratasi ni utapeli mtupu.

Nilihamishwa na taasisi mwaka fulani ,nimekaa nao miaka kibao ila kunilipa eti wanafanya uhakika washenzi kabisa msharaha wamenilipa mda sana ila kulipa kwa mkupuo stahiki hawataki mpaka nimeripot na kuanza kazi miezi miwili mbele ndio wamelipa.
Ujinga mtupu baadhi ya taasisi za serikali ndio zinafuata ila wengi ni hovyo kabisa
 
sikuwa nakatwa,nilikuwa nafanya kazi kama mwajiriwa lkn bila mkataba
Hapo utakuwa unataka kujikosesha haki zako kama mwajiriwa kwa kuwaza hivi, ipo hivi mfanyakazi yoyote atakaefanye kazi siku moja au zaidi awe skilled or unskilled anapaswa kuwa na mkataba kisheria kabisa na mfanyakazi huyo anatakiwa achangiwe kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii, NSSF Act inamtaka mwajiri kupeleka michango ya wafanyakazi nssf mwezi mmoja baada ya offisi hiyo kusajiliwa hizo ni sheria zipo hamjazipitia tu, na haijalishi wewe ni skilled au unskilled worker mkataba kwako ni lazima na lazima michango yako ipelekwe nssf ili kupata huduma mbalimbali , fanya kama ushauri wa awali niliokupatia waonyeshe nssf ulianza kibarua chako lini
 
Sijui labour law mara katiba mambo ya sheria ni utapeli na ujinga mtupu ,kazi kuwapumbaza watu ila hayo mambo hayafuatwi...

Kuna watu wanapata uhamisho wa mbali mpaka wanapewa deadline ya kuripot wanafika hawapati stahiki zao ng'o eti tunafuata mchakato ,wanakaa vikao kupanga mtu apate stahiki zake.

Mtu kahamishwa tena ghafla alipotoka kaacha kodi ya miezi labda 3 mbele then apewi chake eti wanasubiria mchakato wa malipo na kuripot anatakiwa kufika ghafla ...

MaHR hawajielewi kutoa stahiki mpaka wakae vikao izo sheria zimebaki kweny makaratasi ni utapeli mtupu.

Nilihamishwa na taasisi mwaka fulani ,nimekaa nao miaka kibao ila kunilipa eti wanafanya uhakika washenzi kabisa msharaha wamenilipa mda sana ila kulipa kwa mkupuo stahiki hawataki mpaka nimeripot na kuanza kazi miezi miwili mbele ndio wamelipa.
Ujinga mtupu baadhi ya taasisi za serikali ndio zinafuata ila wengi ni hovyo kabisa
pole sana ,ila naona serikalini kuna changamoto sana tofauti na sekta binafsi .
 
Back
Top Bottom