Mkuu,
Labda developed world....bongo sijui.....! Mimi nimeshabadilisha ajira kama mara tatu hivi tangia ni graduate, lakini hakuna hapa Employer mmoja aliye nikabidhi msahafu huu....nafikiri kwa sababu waajiri wengi hawapendi kufuata hizi sheria za kazi so sitashangaa kuona hawawapi copy waajiriwa wao!
Hautoshushwa,Bali watakata kila mwezi..!wanajamii naomba kuuliza hivyi ikitokea mwajiri kakulipa msharaha kimakosa (yani kazidisha amount fulani katika mshahara wako kwa mda wa zaidi ya miezi 2) je ni sahihi mshahara wako kushushwa tena kama hilo kosa lilikuwa la mwajiri. je sheria ya kazi inasemaje kuhusu hilo wanasheria tunaomba mtutafsirie.
Hamna kitu kama hicho,kinachofanyika ni Fair ya mwajiri.Nimesikia kuna labour law(mpya) inasema kuwa mwanamke anaruhusiwa kwenda martenity leave ya miezi mitatu hata kama hajamaliza miaka mitatu toka martenity leave iliyopita. Mwenye kujua naomba aniambie ni kipengele namba ngapi.
Kwa nini msahafu na sio. Biblia??Lakini iko haja ya kuijua sheria ya kazi
hapa nilipo Contract ya job na msaafu unakabidhiwa ..
wakuu sheria inamzuia mtu ambaye hajafikisha miezi sita kazini kwa muajiri mmoja kwa mkataba wa muda maalumu kufungua shauri kudai Unfair termination of contract under sub e ya sheria ya kazi na mahusiano kazini sasa mtu huyu ana haki kwa sheria gani ikiwa atahisi ameonewa katika kukatishwa mkataba wake wa kazi?
Wakuu, mm naomba mwenye nayo hiyo New Tanzania labor law anitumie kwenye email pmwitinda@gmail.com
Baada ya resignation walikuambia watakulipa terminal benefits na leave pamoja na. Mshara wako ndani ya soku 14? Lakin unasema cha kushangaza mpka siku ya 21 hawaja fany malipo yoyote..Wakuu hebu tusaidieni halo kwa hili suala, hats mm nahisi naelekea kua muhanga. Actually mm niliingia kazini katika benki moja hapa mjini kwa contract ya miezi sits. Ilipotimia miezi 5 nilipata kazi sehemu nyingine so nikaandika barua ya resignation ya one month resignation note. Barua ilipokelewa na kukubaliwa ILA cha kushangaza ulipofika mwisho WA mwezi nikaambiwa pesa yangu (mshahara na leave+ terminal benefits) nitalipwa after 14ays. Leo ni siku ya ishirini sijaingiziwa pesa yangu kila siku napigwa danadana na sijapewa barua yoyote kuonyesha ni kiasi gani niwadai. Je hapo naweza kuchukua hatua gani? Baada ya muda gani??
Kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini no.6 ya mwaka 2004 iko wazi kwamba kufukuzwa kusiko kwa haki (Unfair termination) hakutatumika kwa muajiriwa mwenye pungu ya miezi 6 katika ajira.wakuu sheria inamzuia mtu ambaye hajafikisha miezi sita kazini kwa muajiri mmoja kwa mkataba wa muda maalumu kufungua shauri kudai Unfair termination of contract under sub e ya sheria ya kazi na mahusiano kazini sasa mtu huyu ana haki kwa sheria gani ikiwa atahisi ameonewa katika kukatishwa mkataba wake wa kazi?
Kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini no.6 ya mwaka 2004 iko wazi kwamba kufukuzwa kusiko kwa haki (Unfair termination) hakutatumika kwa muajiriwa mwenye pungu ya miezi 6 katika ajira.
mkuu sasa position ya mtu aliyemaliza mkataba wa mwaka akaongeza mwingine ukakatishwa ndani ya miezi miwili ndiyo atahesabiwa ana muda gani kazini?Kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini no.6 ya mwaka 2004 iko wazi kwamba kufukuzwa kusiko kwa haki (Unfair termination) hakutatumika kwa muajiriwa mwenye pungu ya miezi 6 katika ajira.
mkuu jibu swalimkuu sasa position ya mtu aliyemaliza mkataba wa mwaka akaongeza mwingine ukakatishwa ndani ya miezi miwili ndiyo atahesabiwa ana muda gani kazini?
Kulingana na maelezo yako hapo juu yanadhihirisha kwamba mkataba wako wa pili ulikuwa ni muendelezo wa mikataba wa kwanza.mkuu sasa position ya mtu aliyemaliza mkataba wa mwaka akaongeza mwingine ukakatishwa ndani ya miezi miwili ndiyo atahesabiwa ana muda gani kazini?
thanks for quick responce mkuu nimekuelewa xanaKulingana na maelezo yako hapo juu yanadhihirisha kwamba mkataba wako wa pili ulikuwa ni muendelezo wa mikataba wa kwanza.
Hivyo nitahesabu kuwa nimefanya kazi ndani ya mwaka mmoja na miezi miwili. Hapa sheria lazima itanilinda.
Ikitokea sasa muajiri amesitisha huo mkataba bila kufuata sheria hakika hapo itakuwa ni kusitishwa kwa mkataba kusiko kwa haki(unfair termination).
Hivyo basi sheria inawalinda zaidi watu waliyo kwenye mkataba kuanzia miezi 6 na kuendelea dhidi ya unfair termination.