Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania) | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Buswelu, Feb 20, 2009.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 2,002
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Check attachment.....
   

  Attached Files:

 2. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #81
  Sep 14, 2013
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha kazi
   
 3. l

  lucius batty Member

  #82
  Aug 30, 2014
  Joined: Aug 23, 2014
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi ni fundi mtu alinipa kazi mbili zinafanyika kwa wakati mmoja na wakati kaz zote zinaendelea akasimamisha moja na kusema tu


  malize mojawapo na tulipomaliza akasema ananisimamisha kazi na ela yangu ataki kulipa akisema nimechelewesha kaz ambayo awali alisema tusimamishe naweza kupata msaada wa vifungu vya sheria ya kaz vinavyonisaidia kupata haki yangu mahakamani
   
 4. Dotto Mnzava

  Dotto Mnzava R I P

  #83
  Jan 13, 2015
  Joined: Mar 6, 2014
  Messages: 865
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hili tatizo litaumiza watannzania wenzetu wasiopata sehemu za kujisemea.
   
 5. kawakama

  kawakama JF-Expert Member

  #84
  Jan 21, 2015
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  mkuu naomba msaada wako,
  hivi je laws upon unfair termination of employment zilikuwepo kabla ya ELRA 1977?

  msaada kwenye tuta learned brotherz

   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #85
  Jan 21, 2015
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,370
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  Kama amekupa barua ya increment ya mshahara, then anataka kukushusha kwamba alifanya makosa sheria inasemaje!
   
 7. n

  nkolaniwe Member

  #86
  Feb 9, 2015
  Joined: Jan 18, 2015
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  je? muajiri anapovunja mkataba wa zamani na kukupa mpya unaoonesha ongezeko la mshahara kwa madhumuni ya kuhamisha kitengo kimoja kwenda kingine kisha ukakaa mwezi mzima bila kufanya kazi kitengo hicho kipya atatakiwa kukulipa mshara wa mkataba mpya au wa zamani msaada tafadhali.
   
 8. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #87
  Mar 26, 2015
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,257
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Why would only Acting Allowance be a taxable income?
  What about other allowances? are there any regulations on this?
  Please assist.
   
 9. Gazaniga

  Gazaniga JF-Expert Member

  #88
  Apr 14, 2015
  Joined: Apr 12, 2015
  Messages: 1,053
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Shukran sana kwa hii attachment
   
 10. Illovo

  Illovo JF-Expert Member

  #89
  Apr 27, 2015
  Joined: Feb 21, 2015
  Messages: 2,409
  Likes Received: 576
  Trophy Points: 280
  jamani mm nina acting nafasi kwa muda mrefu lkn napata mshahara wangu uleule, je kuna allowance yoyote na inalipwaje???
   
 11. M

  Mdanganywa JF-Expert Member

  #90
  May 16, 2015
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 542
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Kule kwenye website ya Bunge unapata Pricipla Act lakini hupati Subsidiary zake yaani Regulations zake.
   
 12. M

  Mdanganywa JF-Expert Member

  #91
  May 16, 2015
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 542
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Calculate the difference bwteen your salary and the salary of your superior acting post. Msingi mkuu ni katiba yetu isemayo {Every person is entitled to just remuneration (Katiba ya Tanzania, section. 23)}.

  Hivyo, unapo-act unakuwa unafanya kazi ya post ya juu na hivyo mapato unatakiwa upate kama yake maana unafanya uzalishaji kama wake.
   
 13. M

  Mdanganywa JF-Expert Member

  #92
  May 16, 2015
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 542
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Kuhusu mahudhurio nenda kasome Code of Good Practice ilitoka mwaka 2007. Kuhusu kuukuzwa kazi hazuiwi na sheria kuwatangazia lakini huyo mfanyakazi akishinda kesi itakuwa taabu kwa mwajiri maana hilo tangazo litakuwa limemdharirisha na itabidi kumlipa fidia kubwa.
   
 14. M

  Mdanganywa JF-Expert Member

  #93
  May 16, 2015
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 542
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Leave ni siku 28 mfululizo bila kukatakata.

  31.-(1) An employer shall grant an employee at least 28 conse-cutive days' leave in respect of each leave cycle, and such leave shall
   
 15. M

  Mdanganywa JF-Expert Member

  #94
  May 16, 2015
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 542
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  42.-(1) For the purposes of this section, ''severance pay'' means an
  amount at least equal to 7 days' basic wage for each completed year of
  continuous service with that employer up to a maximum of ten years.

  (2) An employer shall pay severance pay on termination of emploment
  if-
  (a) the employee has completed 12 months continuous service
  with an employer; and
  (b) subject to the provisions of subsection (3), the employer terminates
  the employment.
   
 16. M

  Mdanganywa JF-Expert Member

  #95
  May 16, 2015
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 542
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Je, wanaozifuatilia kinawatokea nini huko makazini?
   
 17. Magnificient

  Magnificient JF-Expert Member

  #96
  May 20, 2015
  Joined: Aug 8, 2013
  Messages: 1,119
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Huwekewa zengwe na kufukuzwa/kuacha kazi
   
 18. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #97
  May 29, 2015
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kiwsahili?
   
 19. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #98
  May 29, 2015
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba sheria hii ya kazi kwa kiswahili in pdf please
   
 20. k

  kijanamimi Senior Member

  #99
  Jun 3, 2015
  Joined: May 29, 2015
  Messages: 167
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  google sheria ya ajira na mahusiano kazini
   
 21. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #100
  Jun 6, 2015
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,453
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Hivi ni section gani inazungumzia malipo baada ya mkataba kuisha? Sec 42 ya ELRC 2004 inasema severance pay ni hadi uwe terminated sasa mimi mkataba umeisha na sikuwa terminated, natambua section 42.1 inasema malipo yapo ila section 42 iko chini ya heading "other incidents of termination" naomba msaada jamank
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...