Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania) | Page 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Buswelu, Feb 20, 2009.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 2,002
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Check attachment.....
   

  Attached Files:

 2. b

  boss B Member

  #121
  May 5, 2016
  Joined: Apr 4, 2016
  Messages: 40
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Umekwisha pewa mkataba wa kazi tayari mkuu,maana usije kua unasema umeajiriwa na mkataba hauna,kama ushapewa mkataba tayari,wajibu wa kutoa kazi anaomwajiri,kuwe kuna kazi au hakuna unapaswa kulipa,kama watakunyima kazi wanapaswa kukulipa ,maana kwanza unakua usumbufu labda ndani ya huo muda ungeweza kua ushapata kazi sehemu nyingine.
   
 3. mchagahalisi

  mchagahalisi JF-Expert Member

  #122
  May 11, 2016
  Joined: Dec 2, 2012
  Messages: 615
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Hata mimi nina mdogo wangu alipangiwa kituo na utumishi ila alipoenda kuripoti wakampa mkataba wa kazi na kumwambia arudi watampigia mpaka sasa ni miezi 2 imepita yupo tu hapa nyumbani kwangu na kazi aliyokuwa anafanya mwanzo aliacha ili ajiunge huko.
   
 4. blackeye

  blackeye JF-Expert Member

  #123
  May 25, 2016
  Joined: Mar 28, 2016
  Messages: 300
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Kubadilisha aijira mara tatu imetosha sasa ujiajili
   
 5. m

  mzee wa ngada JF-Expert Member

  #124
  Jul 25, 2016
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 616
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 60
  Hautoshushwa,Bali watakata kila mwezi..!
   
 6. m

  mzee wa ngada JF-Expert Member

  #125
  Jul 25, 2016
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 616
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 60
  Hamna kitu kama hicho,kinachofanyika ni Fair ya mwajiri.
   
 7. nanjanga

  nanjanga JF-Expert Member

  #126
  Aug 18, 2016
  Joined: Jan 3, 2014
  Messages: 317
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kwa nini msahafu na sio. Biblia??
   
 8. s

  stunnar JF-Expert Member

  #127
  Sep 14, 2016
  Joined: Aug 24, 2016
  Messages: 237
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Nashukuru kwa kutuletea hii kitu mkuu.....maana waajiri wanasumbua sana
   
 9. mtafiti05

  mtafiti05 JF-Expert Member

  #128
  Nov 8, 2016
  Joined: Oct 17, 2016
  Messages: 969
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 180
  Je sheria inasemaje mtu alieajiriwa serkalin badae kusitishwa ajira yake bila yy kukosa ila tu ni kwa taratb zao na kwa muda usiojurkana? MF ndg zetu wa Mahakama waliositishiwa ajira zao toka June mpaka leo November! Je wanahaki yeyot kisheria? Waanzie wap? Wameenda wizara kuuliza hatima yao wamefukuzwa kama mbwa wakiambiwa wasubr! Bila muda maalum na wamekaa mtaan miez 5 sasa!
   
 10. Think Again

  Think Again Senior Member

  #129
  Nov 11, 2016
  Joined: Mar 22, 2015
  Messages: 110
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Habari wakuu.
  Samahani naombeni msaada wa kukokotoa malipo ya overtime, likizo na mengineyo.
  Natanguliza shukurani.
   
 11. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #130
  Nov 22, 2016
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 2,002
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  Naamini kwa sasa utakuwa umeshafanikiwa kupata copy yako ni rahisi sana kwa kuidownload hapo moja kwa moja.

  Thanks Buswelu.
   
 12. P

  Political Engineer2 Member

  #131
  Mar 5, 2018
  Joined: Feb 23, 2018
  Messages: 74
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 25
  Wadau kuna kitu kinaitwa Gratuity,hii upewa mwajiliwa wa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kufikia mwisho wa mkataba kabla ya Ku renew mkataba mpya . hivi hii kitu inastahiri kukatwa kodi?
   
 13. P

  Political Engineer2 Member

  #132
  Mar 5, 2018
  Joined: Feb 23, 2018
  Messages: 74
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 25
  Unapewa Gratuity 25% of total amount you accumulated during entire contract period
   
 14. d

  dketikai Member

  #133
  Mar 18, 2018
  Joined: Nov 13, 2016
  Messages: 16
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  Ni swali kidogo. Mfano ulipewa mkataba mwenye gratuity baada ya miaka miwili. Ila mkataba huo kila mwaka ukiisha unasaini upya. Mwaka mmoja ukaisha vema. Mwaka wa pili unataka usaini gafla kipengele kimeondolewa. Je kuna haki yoyote muajiriwa anaweza kupata hapa?
   
 15. m

  mlunje Member

  #134
  Mar 19, 2018
  Joined: Mar 19, 2018
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  unajua mkuu,watz wengi hawana muda wakusoma hiyo katiba ya ili wajue sheria na haki yao inasemaje,ndio mana wengi tunaburuzwa ktk makampuni na taasisi za umma,
   
Loading...